Kijana bilionea unahangaika na jeshi na wewe una pesa...si uende ukaishi ulaya wewe si una pesa ?😀😀Acha ujinga kijana pesa hainunui amani, na kusema nihame nchi niwaachie matatizo ndugu zangu huo ni upuuzi nao, ni lazima nipambane kuhakikisha kesho bora ya wanajamii wenzangu.
Hukumuona Osama na utajiri wake lakini aliamua kua gaidi mshika bunduki, fanya kile moyo wako unapenda kijana.Kijana bilionea unahangaika na jeshi na wewe una pesa...si uende ukaishi ulaya wewe si una pesa ?
Aliitwa dada maana wakati huo akiwa hapo colito barracks sahv lugalo baracks,kila akifumaniwa na manzi anasema huyu ni dada yangu,ndy akabatizwa jina hilo dadaWamuulize Idd Amini kwanini Aliitwa Dada na akavaa hijabu hali ya kuwa ni mwanaume tena aliepitia jeshi
Wachukue tuTukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.
Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
View attachment 3515731
View attachment 3515735
Umaarufu wako umefifia umechuja unaulazimisha ili uendelee kutrend ila umekataliwa na wana jf.Huwa napenda mno KUWAUDHI / KUWAKERA Waandamanaji Uchwara na ambao mnamchukia Rais Samia pasipo Kosa.
Warudi shule kusoma "The Nyerere Doctrine of State Succession".Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.
Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM
View attachment 3515731
View attachment 3515735
Vita ilishatokea na Uganda na kiukweli tuliaibika. Nyerere alizidiwa mpaka kukimbia nchi. Nasikia alikimbilia Uingereza uhamishoni.Yaani watu waogope jeshi linalijigamba kwa kupasuliana matifali vichwani? Ama mkiona wanajeshi wanaumiza raia wasio na silaha ndio mnaamini ni jeshi madhubuti? Ombeni isitokee vita itakuwa aibu.
Hilo halina shakamkuu unauhakika kwamba jeshi letu la sasa kwenye medani za kivita linaweledi??
Burundi ni Counter force ya TZ dhidi ya jirani mmoja mjanjamjanja waje tu ni ndugu zetu.
Asili ya jina lake 'Dada' ni ukoo wake. Baba yake mzazi aliitwa Amin Dada Nyabira. Kuna dhana pia iliyotamalaki kuwa alikuwa anapenda kuingiza vidosho kambini na kila alipobambwa alidai kuwa ni dada tu lakini haina mashiko.Hata hivo Burundi sasa hivi wako bizi kujipanga kwani M23 ama turahisishe tu Rwanda wamewazingira na nje na jeshi lao tegemeo lao la pili sisiWamuulize Idd Amini kwanini Aliitwa Dada na akavaa hijabu hali ya kuwa ni mwanaume tena aliepitia jeshi
Jina la baba yake ni Amin Dada NyabiraAliitwa dada maana wakati huo akiwa hapo colito barracks sahv lugalo baracks,kila akifumaniwa na manzi anasema huyu ni dada yangu,ndy akabatizwa jina hilo dada
Na wazungu
Ova
40yrs ago is a history. Vita ile Iddy Amin hakuwa na support kubwa ya wananchi wake.Vita ilishatokea na Uganda na kiukweli tuliaibika. Nyerere alizidiwa mpaka kukimbia nchi. Nasikia alikimbilia Uingereza uhamishoni.