Uchokozi: Burundi wataka kuichukua Kigoma kutoka Tanzania

Tukisema mnakimbikilia Amani wakati mjui mnachokifanya.

Sasa JWTZ endeleeni kulinda CCM

View attachment 3515731

View attachment 3515735
Ni Wapumbavu wenzako tu pekee ndiyo watakuelewa na kukuamini ila wenye Akili na tunaoijua vyema Tanzania hasa Kijeshi na Kiusalama bado sijaona nchi jirani ya kuweza kuchukua eneo lolote lile la Tanzania. Kama Rwanda linalosifika kuwa na Jeshi Imara na Idara imara ya Usalama iliitaka Kagera kwa kutumia Mbinu nyingi, ila ikashindwa ndiyo leo ije kuwa kwa Burundi ambayo hadi sasa ina Jeshi dhaifu kuliko nchi zote na Idara zake za Usalama.

Kama hawa Waburundi wako wanataka nchi yao ya Burundi iwe sehemu kamili ya Tanzania kisha uongeze katika Idadi ya Mikoa iliyopo Tanzania waambie wathubutu na waendelee kwani huenda wengi wenu hadi leo hamjui kwanini Tanzania inaitwa The Sleeping Giant na ina inaogopwa mno Kijeshi na Kiusalama japo baadhi yenu Mnabeza.
 
Cha ajabu machawa mnaishia kupewa bando tu.
 
Popoma kwenye kuchangia hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…