Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Huna akili una mapenzi yaliyokufanya uwe ukiongea bila kufikiri.
 
Sawa hapa tunakubali.kuna uzembe wa serikali but sio sawa kulaumu Samia as if hii Nchi ndio anaianzisha yeye wakati watu wamekuwepo Marais 5 kabla ila walikuwa wanapiga blaa blaa na wengine kuweka pesa kwenye vyanzo hatarishi kama maji..
Samia ndiye aliyeko madarakani sasa, na haonyshi kuwa na dira wala uthubutu wa kufanya tofauti na hao wengine.

In fact, akili yake imelala kabisa kwenye mambo ya uthubutu wa kufanya jambo lolote linaloweza kuifanya Tanzania ionekane imefanya jambo la muhimu zaidi.

Yeye ni kama anashikilia tu kwa muda, hadi hapo atakapopatikana kiongozi mwenye dira na uthubutu.
Anasukuma tu muda na vimiradi, kama hicho cha Same, ambacho hata wala siyo yeye aliyekibuni.
 
Chawa kazini
 
Boss hatuhitaji hata hizo dams or big lakes labda kwa big cities, almost kila kona Tanzania chini ya ardhi kuna aquifer zimejaa maji safi kuliko bahari ya Hindi, mfano miji karibu yote ya US wanatumia maji ya ardhini (visima) na wamemaliza hilo tatizo la maji kwa 100% na maji ni mojawapo ya kitu bei rahisi kuliko hata mkate, niliwahi kutembelea water supply ya city ya watu 100,000 in US jamaa alitueleza maji yote ya city source ni visima 10 walivyochimba vinavyopeleka maji kwenye water treatment plant and distribution towers, kila siku wana surplus ya maji na hawajawahi kupata tatizo la maji for as long as he can remember, nafikiri pia swala maji kila mji/kata wawe na solution zao na sio swala la kitaifa
 
Ondoa CCM nafuu itapatikana. Làkini Kama wanahonga ofisi na kujazwa mwenye kikosi kazi ....Nani kakwambia akili itakuwepo
 
Kipindi kile Cha mwendazake watu walipolalamika mliwaambia andamaneni,

Na Sasa tunasema andamaneni kama hammuelewi Maza.

Ful stop.
 
Unasumbuliwa na chuki binafsi na pengine hata hujielewi..

Rais Samia katoa maelekezo ya maji yaliyokuwa yaishie Kigamboni yaje Dar(mradi mpya?,

Samia katoa maelekezo ya wahusika wote wanaochepusha maji mto Ruvu washughulikiwe,

Samia ndio anajenga Bwawa la kidunda (lilishindikana toka uhuru),

Samia ndio anajenga Bwawa la farkwa Dodoma(likikuwa story toka uhuru),

Samia ndio anajenga miradi ya maji ya miji 28 Tanzania nzima(ilikuwa hadithi awamu ya 5),

Samia ndio amejenga miradi ya uviko ya Maji Nchi nzima zaidi ya bil.320 na Sasa kupitia Ruwasa anajenga zaidi ya miradi 1000 Nchi nzima(wenye mbupu mlishindwa),

Samia amekwamua miradi iliyojifia toka 2010 sasa anaikwamua..

Samia anajenga mabwawa makubwa Mikoa acha hayo hapo juu zaidi ya 13 Ili kufanya umwagiliaji na matumizi ya kawaida.

Kiufupi Rais Samia ndio game changer wa Tanzania hii ila nyie wapumbavu mliozea kupelekwa kama punda hamjui kinachofanyika kwa sababu hamtafuti taarifa na Rais wa Sasa hana mda wa pambio..

Uchaguzi ukija mkiangukia pua ndio mtaanza kulalama ooh sijui tumeibiwa ooh blaa blaa kibao za kipumbavu..

Sasa iko hivyo sekta zote kuanzia umeme ,kilimo,hadi Michezo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-190138.png
    324.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221014-211708.png
    215.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221027-215611.png
    179.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20221029-214659.png
    158.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082814.png
    45.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082935.png
    206.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-083019.png
    125.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221031-190132.png
    302.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221005-104854.png
    210.4 KB · Views: 1
Mkuu kama mahindi bei kubwa kwa nini usile magome ya miti?Tembo wanaishi vizuri tu kwa kubugia magome ya miti.Mimi mchokozi.
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-211629.png
    90.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082935.png
    206.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-082814.png
    45.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221030-083019.png
    125.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221029-214659.png
    158.6 KB · Views: 1
Magufuli alikuwa katili na jambazi.

Mama anaendekeza starehe na safari.

"........ mtanikimbuka......" ilisikika sauti ya yule mwanaume. Alikataa kupandisha bei ya umeme mara tatu. Aliamuru kuondoa tozo takribani 80 kwa wananchi wake.

Alipanmbana kuwekeza ili watu wapate unafuu wa huduma za jamii na miundonbinu.

R. I. P Magufuli
 
Huna akili una mapenzi yaliyokufanya uwe ukiongea bila kufikiri.
We ndoo mjinga Sasa Kama kanifanyia wema nisiseme nikalie kulia lia Kama wewe. Huyo mbwa wenu wa chato alitutesa Sana aendelee kuungua alipo. Imagine alipandisha riba ya mkopo kutoka 8% mpaka15% . Katili Mungu aliamua kulichukua tu.
 
Uingereza kumetokea mfululizo wa kujiuzulu kwa nafasi ya waziri mkuu katika kipindi kifupi, sidhani kama hawakuwa na sababu za kujitetea ili kuendelea na uongozi na kuonekana hawana makosa.
 
kwa akili yako unadhani samia hajui hayo?
 
Uchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?
Watz tumewazoea kila anapotawala mwislamu baaasi atadharauliwa mpaka na wapuuzi kabisa
Kwani waislamu wanafaidika nini kwa Samia kutawala hadi iwe shida kwa wengine?
 
Ni kweli Ulaya maisha magumu kiasi hadi viongozi wao wanajiuzulu kuonesha uwajibikaji ila Tanzania ndio kwanza serikali inafanya matumizi mabaya ya fedha katika kipindi hiki cha hali ngumu huku wakiwa wameweka tozo ambazo wananchi wakilalamika wanajibiwa kuwa kama hawataki wahame nchi ni tofauti kabisa na huko Ulaya, shida ya umeme imeanza kitambo na kila muda imekuwa zikibadilishwa sababu za hiyo shida ya umeme hadi sasa wanatembelea sababu ya ukame.
 
Hatujawahi kupata nafuu wanakuja wanakufa wanakufa wengine maisha yaleyale mbaya wetu hatujamjua tu tutamsingizia bure mpemba wa watu tatizo ni CCM na vibalaka wao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…