Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Mama ameshazungumza hilo kwenye hotuba zake leo kaongea nazani kama mara 2 au ya 3 jambo hilo la uchumi sikilizine hotuba zake lipo la uchumi kushuka
 
Kwa hiyo hatupo tena uchumi wa kati?
 
Shukrani kwa ufafanuzi
 
Usilie ndugu , Mwendazake alijitakia mwenyewe
 
Mzee alitupiga fix sana, ila alikuwa anajitengenezea matatizo bila sababu yoyote.

Kifo chake kilichangiwa na mambo mengi sana ya hovyoo

 
Wewe unaongea vitu tofauti kabisa; hii tabia inaitwa confirmation bias. Tanzania iwe na korona aua isiwe nayo haikuwa sababu ya uchumi kushuka bali uchmia wa dunia nzima ulishuka kutoka na korona kuzikumba nchi nyinge na kusababaisha kusimama kwa biashara baina ya Tanzania na nchi hizo. Watalaii wakawa hawaji, ndege zikafungiwa airport tu, watanzania wanao fanya biashaza za kuuaza nje mazaoa wakawa hawawezi kufanya tena kwa vile kuna lockdowna huko. Sasa wewe unakurupuka na kuja na hitimishoa la kitoto sana. Hata nchi ambazo hazikuwa na corona zilitikisika kiuchumi; kwa mfano New Zealand haikuwa na korona, lakini uchumi wake ulitikisika pia
 
Mhujumu uchumi umepata ahueni ya kuandika baada ya kufunguliwa kwenye chupa ulimofungiwa?
 
Muogope mungu! Acha uongo na uzandiki
 
Maana anatuingiza kwenye mstari ili agenda ya corona irudi kwa kasi

Asichojua corona imebakia mitandaoni huko mtaani huo ugonjwa ni haupo kabisaa na mikoani ndo washausahau
 
Maana anatuingiza kwenye mstari ili agenda ya corona irudi kwa kasi

Asichojua corona imebakia mitandaoni huko mtaani huo ugonjwa ni haupo kabisaa na mikoani ndo washausahau
Umesikia tanzia zilizokuwa zinabandikwa hapa kimkakati kukamilisha uovu uliopangwa?

Je, hakuna tena watu wanakufa kwa changamoto ya kupumua?

Ogopa wanasiasa kwa fitina na visasi vya chuki binafsi kutokana na kuzibiwa riziki na maslahi binafsi,.
 
Wewe jamaa famba kishenzi. Hivi unajua hata maana ya uchumi? Hivi unajua vigezo au viashiria vya uchumi kupanda au kushuka? Hivi inakuaje mtu unaongelea jambo ilihali hujui unachokiongea? Hivi unadhani hakuna wachumi hapa JF hadi uongee huu ugoro?
 
Mama naye kaanza kuchapia! Uchumi unapimwa kwa GDP. Anaposema umeshuka kutoka 6.9% kwenda 4.7% ana maanisha nini hasa? Au alikusudia kasi ya "ukuaji wa uchumi" wetu imepungua? Contraction (kushuka) kwa uchumi ingalikuwa negative rate. Ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…