Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

Hakuna wa kuthubutu, wanachoangalia wao ni kwamba hawaguswi na njaa wala mfumuko wa bei,Mishahara ,posho nk vipo pale pale,ndio mana wameanza kampeni mapema za kubakia madarakani
 
Mbona ulishaangushwa , kinachofanyika Mh. Rais SSH anaufufua .. Mlikuwa hamjagundua kwasababu muda wote mlikuwa mnakenua meno na kupiga makofi kipindi cha bwana yule...
 
Yupo Tony Blair Usiogope

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Hizi taarifa fanya kama unaenda nazo moro ukivuka chalinze fanya kupitia msoga uziache hapo....wakati unarudi utakuta ka mrejesho ....
 

Watu nadhani wanaogopa kutoa mawazo!
Si ajabu ukaambiwa Ghala la Taifa Tuna Chakula cha Kutosha!Tani Kadhaa ziko Pale...
Wakikaa kaenye Vikao ndio ripoti wanambiana Aiseee..
Suala sio Tani Kadhaaa
Suala ni Chakula kiwepo Kuanzia Shambani hadi Sokoni!
Kisitegemee Mvua!
Maji tunayo yakutosha Ziwani.
Nadhani Wapo Wakulima Wakubwa wanaweza Kulisha Nchi aiseee Waangaliwe wawezeshwe ili Kuwe na Flow ya Chakula toka Mashambani hadi sokoni!
Kuwe na Man made lakes 2,3
Kwa ajili ya Kilimo cha umwagiliaji.
Achana sijui eti ghala la Taifa Kina Chakula tani kadhaaa Shit!
Yaani Hicho chakula ndio cha Kugawia watu kilo 5,10 Kila siku!
Acheni utani!
Imifika Hatua hiyo...Ya Kusdma eti tuna Chakula cha Kutosha ghalani...hiyo ni dalaili(Indicators) tosha ya Umaskini na Baa la njaa tuu!
Unachofanya ni Watu wapate kilo ya unga waione kesho over....Hatua Mbaya sana hiyo! Wala sio ya Kuzungumzia!
Ghala linatakiwa sokoni pakipungua Bidhaa ndio ile bidhaa ipelekwe toka Ghalani kwenda sokoni na Bei ishuke sababu Serikali inakuwa ine sabsidise.
 
Majina ya vyeo yanaweza kutifautiana kutoka nchi moja hadi nyingine lkn roles ni zile zile.
 
Wanasema Mama anaupiga mwingi,Sisi huku Sukuma gang yetu macho, eti Nchi imerudi kwa wenyewe, ngoja tuone muda ni mwalimu, maana Nchi imeisha funguliwa, baada ya aliyekuwa amefunga kufa 😷
 
Wanasema Mama anaupiga mwingi,Sisi huku Sukuma gang yetu macho, eti Nchi imerudi kwa wenyewe, ngoja tuone muda ni mwalimu, maana Nchi imeisha funguliwa, baada ya aliyekuwa amefunga kufa 😷
Nchi imefunguliwa kwani iko wazi?
 
Hilo ghala wakati wa njaa mwaka juzi waliambiwa serikali hailimi mashamba chakula wakapelekekewa msumbiji wa kwetu wanakufa njaa.
 
Mbona ulishaangushwa , kinachofanyika Mh. Rais SSH anaufufua .. Mlikuwa hamjagundua kwasababu muda wote mlikuwa mnakenua meno na kupiga makofi kipindi cha bwana yule...
Wewe ndio umesema ukweli.
 
Kama Kuna Rais atafanya vibaya kuliko Marais wote ni huyu mama ,inaonekana hakujipanga kurithi kitu cha boss wake kama kweli ilivyoainishwa kwenye katiba ikitokea ya kutokea kama ilivyotokea ,alikuwa liraksi na kuridhika alipo
Urais ni Taasisi Mama msimwonee
 
ccm system of eating
 
kwasasa nchi nyingi dunian zinaendelea na shughuli za uchumi na hazina mpango wa kurejesha lock down za kitaifa hali ya kiuchumi 2023 itakuwa nzuri kuliko mwaka jana na mwaka huu
Kwa maoni yako na sisi tumeathiriwa na lockdown?
 
Mpaka kufika mwezi wa sita mwakani tutashuhudia mambo mengi sana ambayo yatatikisa nchi. Hii serikali ikivuka salama mwaka wa fedha utakaoanza mwezi wa sita mwaka 2022 basi ntawanyooshea mikono, watakuwa wamevuka mtihani mkubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…