Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Tony Blair UsiogopeShikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri.
Data zinaonyesha mambo yafuatayo:
1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana nchini.
2. Maisha yamepanda sana kwa sasa. Kwa sasa wafanyabiashara wanapandisha bei ya vitu namna wanavyotaka na wanavyojisikia.
3. Biashara nyingi ambazo ni formal zinasinyaa lakini taratibu sana tena sana.
4. Jitihada za kuipunguza na kui-manage informal sector hazipo tena. Kumbuka hii informal sector yetu ina athari mbaya zaidi kwenye uchumi, hasa mapato.
5. "Covid ya 2022" imekaribia.
6. Kodi zinaushambulia uchumi wakati uzalishaji umepungua.
Tusipotafuta majawabu ya hizi hatari sita hapo juu, kuna hatari ya uchumi wetu kuanza kuanguka mwanzoni mwa October 2023 na inaweza kutuchukua muda mrefu kurudi katika hali ya kawaida. Naomba nikupe tips zitakazokusaidia katika majadiliano ya kutafuta solutions. Ninaweza kuwa niko wrong pia.
1. Food security ni neno pana sana. Food security ni usalama wa taifa. Kama ningekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa let's say 2005, ningekuwa na mpango wa ku-forestate taifa kwa angalau miti bilion moja kwa miaka 16. Ningetengeneza misitu mikubwa sana ya kitaifa na maziwa makubwa (siyo ya kwangu. Namaanisha lakes) ambayo ni artificial. Ningetafuta masoko ya kudumu ya chakula nje ya nchi kwa miaka 16 kwa bei ambayo ni nafuu sana. Leo tungekuwa na "investors wa kati na wakubwa" wenye production capacity kubwa ya mazao ya kilimo. Ingawa tumechelewa, njia ya haraka ni investment ya serikali kwa wakulima wakubwa na wa kati wanaoweza kuzalisha chakula. Majeshi yetu yangeweza kufanya hii kazi kwa kuanza na vijana wa JKT na wale wanaozurura mijini bila kazi.
2. Kama usipoweka policy na sheria pamoja na mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za maisha hasa bei za vitu, tutajuta kama taifa muda si mrefu.
3. Tuweke mfumo mpya wa kutambua transactions na ku-document supply chain kwenye uchumi wetu.
4. Pesa zetu za ndani zisitumike kwenye mbinu za covid zilizofail. Pesa za ndani ni pamoja na mikopo kutoka kwa wazungu. Usije ukafunga uchumi hata kidogo kisa covid. Taifa litasinyaa. Usalama wa nchi yetu utayumba kabisa au kuanguka.
5. Sina uhakika kama nchi yetu ina mtu anayeitwa "National Security Advisor". Kama yupo, kuna haja ya kumfukuza kazi. Ila kama hayupo, teua haraka. Yeye ata-design mpango wa muda mfupi kwa ajili ya 2022 to 2024 akilenga kutatua hizi changamoto zilizofungamana na masuala ya usalama wa nchi. Lakini atatengeneza mpango wa muda mrefu, yaani wenye phase mbili za utekelezaji wa miaka minane minane. Hata hivyo, njia pekee ya kumpata mtu wa namna hiyo, ni lazima iwe ya uwazi na isiyo na upendeleo wa aina yeyote.
Siku njema. Ngoja nipate kwanza breakfast.
Acha utoto bas kwenye ishu za msingiUshauri mzuri ila kuufanyia kazi ni kazi nyingine View attachment 2022960
Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri.
Data zinaonyesha mambo yafuatayo:
1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana nchini.
2. Maisha yamepanda sana kwa sasa. Kwa sasa wafanyabiashara wanapandisha bei ya vitu namna wanavyotaka na wanavyojisikia.
3. Biashara nyingi ambazo ni formal zinasinyaa lakini taratibu sana tena sana.
4. Jitihada za kuipunguza na kui-manage informal sector hazipo tena. Kumbuka hii informal sector yetu ina athari mbaya zaidi kwenye uchumi, hasa mapato.
5. "Covid ya 2022" imekaribia.
6. Kodi zinaushambulia uchumi wakati uzalishaji umepungua.
Tusipotafuta majawabu ya hizi hatari sita hapo juu, kuna hatari ya uchumi wetu kuanza kuanguka mwanzoni mwa October 2023 na inaweza kutuchukua muda mrefu kurudi katika hali ya kawaida. Naomba nikupe tips zitakazokusaidia katika majadiliano ya kutafuta solutions. Ninaweza kuwa niko wrong pia.
1. Food security ni neno pana sana. Food security ni usalama wa taifa. Kama ningekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa let's say 2005, ningekuwa na mpango wa ku-forestate taifa kwa angalau miti bilion moja kwa miaka 16. Ningetengeneza misitu mikubwa sana ya kitaifa na maziwa makubwa (siyo ya kwangu. Namaanisha lakes) ambayo ni artificial. Ningetafuta masoko ya kudumu ya chakula nje ya nchi kwa miaka 16 kwa bei ambayo ni nafuu sana. Leo tungekuwa na "investors wa kati na wakubwa" wenye production capacity kubwa ya mazao ya kilimo. Ingawa tumechelewa, njia ya haraka ni investment ya serikali kwa wakulima wakubwa na wa kati wanaoweza kuzalisha chakula. Majeshi yetu yangeweza kufanya hii kazi kwa kuanza na vijana wa JKT na wale wanaozurura mijini bila kazi.
2. Kama usipoweka policy na sheria pamoja na mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za maisha hasa bei za vitu, tutajuta kama taifa muda si mrefu.
3. Tuweke mfumo mpya wa kutambua transactions na ku-document supply chain kwenye uchumi wetu.
4. Pesa zetu za ndani zisitumike kwenye mbinu za covid zilizofail. Pesa za ndani ni pamoja na mikopo kutoka kwa wazungu. Usije ukafunga uchumi hata kidogo kisa covid. Taifa litasinyaa. Usalama wa nchi yetu utayumba kabisa au kuanguka.
5. Sina uhakika kama nchi yetu ina mtu anayeitwa "National Security Advisor". Kama yupo, kuna haja ya kumfukuza kazi. Ila kama hayupo, teua haraka. Yeye ata-design mpango wa muda mfupi kwa ajili ya 2022 to 2024 akilenga kutatua hizi changamoto zilizofungamana na masuala ya usalama wa nchi. Lakini atatengeneza mpango wa muda mrefu, yaani wenye phase mbili za utekelezaji wa miaka minane minane. Hata hivyo, njia pekee ya kumpata mtu wa namna hiyo, ni lazima iwe ya uwazi na isiyo na upendeleo wa aina yeyote.
Siku njema. Ngoja nipate kwanza breakfast.
National security advisor kwa Tanzania ni DGIS na madeputy.your point?
Wanasema Mama anaupiga mwingi,Sisi huku Sukuma gang yetu macho, eti Nchi imerudi kwa wenyewe, ngoja tuone muda ni mwalimu, maana Nchi imeisha funguliwa, baada ya aliyekuwa amefunga kufa 😷Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri.
Data zinaonyesha mambo yafuatayo:
1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana nchini.
2. Maisha yamepanda sana kwa sasa. Kwa sasa wafanyabiashara wanapandisha bei ya vitu namna wanavyotaka na wanavyojisikia.
3. Biashara nyingi ambazo ni formal zinasinyaa lakini taratibu sana tena sana.
4. Jitihada za kuipunguza na kui-manage informal sector hazipo tena. Kumbuka hii informal sector yetu ina athari mbaya zaidi kwenye uchumi, hasa mapato.
5. "Covid ya 2022" imekaribia.
6. Kodi zinaushambulia uchumi wakati uzalishaji umepungua.
Tusipotafuta majawabu ya hizi hatari sita hapo juu, kuna hatari ya uchumi wetu kuanza kuanguka mwanzoni mwa October 2023 na inaweza kutuchukua muda mrefu kurudi katika hali ya kawaida. Naomba nikupe tips zitakazokusaidia katika majadiliano ya kutafuta solutions. Ninaweza kuwa niko wrong pia.
1. Food security ni neno pana sana. Food security ni usalama wa taifa. Kama ningekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa let's say 2005, ningekuwa na mpango wa ku-forestate taifa kwa angalau miti bilion moja kwa miaka 16. Ningetengeneza misitu mikubwa sana ya kitaifa na maziwa makubwa (siyo ya kwangu. Namaanisha lakes) ambayo ni artificial. Ningetafuta masoko ya kudumu ya chakula nje ya nchi kwa miaka 16 kwa bei ambayo ni nafuu sana. Leo tungekuwa na "investors wa kati na wakubwa" wenye production capacity kubwa ya mazao ya kilimo. Ingawa tumechelewa, njia ya haraka ni investment ya serikali kwa wakulima wakubwa na wa kati wanaoweza kuzalisha chakula. Majeshi yetu yangeweza kufanya hii kazi kwa kuanza na vijana wa JKT na wale wanaozurura mijini bila kazi.
2. Kama usipoweka policy na sheria pamoja na mikakati madhubuti ya kupunguza gharama za maisha hasa bei za vitu, tutajuta kama taifa muda si mrefu.
3. Tuweke mfumo mpya wa kutambua transactions na ku-document supply chain kwenye uchumi wetu.
4. Pesa zetu za ndani zisitumike kwenye mbinu za covid zilizofail. Pesa za ndani ni pamoja na mikopo kutoka kwa wazungu. Usije ukafunga uchumi hata kidogo kisa covid. Taifa litasinyaa. Usalama wa nchi yetu utayumba kabisa au kuanguka.
5. Sina uhakika kama nchi yetu ina mtu anayeitwa "National Security Advisor". Kama yupo, kuna haja ya kumfukuza kazi. Ila kama hayupo, teua haraka. Yeye ata-design mpango wa muda mfupi kwa ajili ya 2022 to 2024 akilenga kutatua hizi changamoto zilizofungamana na masuala ya usalama wa nchi. Lakini atatengeneza mpango wa muda mrefu, yaani wenye phase mbili za utekelezaji wa miaka minane minane. Hata hivyo, njia pekee ya kumpata mtu wa namna hiyo, ni lazima iwe ya uwazi na isiyo na upendeleo wa aina yeyote.
Siku njema. Ngoja nipate kwanza breakfast.
Kwahiy ulitaka nitoe maoni gani lAbda ili uinjoy broo kiswahili kina utajiri wa misemo kama sijaelewa ni hivi ushauri wake ni mzuri ila huyo anayemshaur ni vigumu kuufanyiaAcha utoto bas kwenye ishu za msingi
Who advise about what?National security advisor kwa Tanzania ni DGIS na madeputy.
Nchi imefunguliwa kwani iko wazi?Wanasema Mama anaupiga mwingi,Sisi huku Sukuma gang yetu macho, eti Nchi imerudi kwa wenyewe, ngoja tuone muda ni mwalimu, maana Nchi imeisha funguliwa, baada ya aliyekuwa amefunga kufa 😷
Hilo ghala wakati wa njaa mwaka juzi waliambiwa serikali hailimi mashamba chakula wakapelekekewa msumbiji wa kwetu wanakufa njaa.Watu nadhani wanaogopa kutoa mawazo!
Si ajabu ukaambiwa Ghala la Taifa Tuna Chakula cha Kutosha!Tani Kadhaa ziko Pale...
Wakikaa kaenye Vikao ndio ripoti wanambiana Aiseee..
Suala sio Tani Kadhaaa
Suala ni Chakula kiwepo Kuanzia Shambani hadi Sokoni!
Kisitegemee Mvua!
Maji tunayo yakutosha Ziwani.
Nadhani Wapo Wakulima Wakubwa wanaweza Kulisha Nchi aiseee Waangaliwe wawezeshwe ili Kuwe na Flow ya Chakula toka Mashambani hadi sokoni!
Kuwe na Man made lakes 2,3
Kwa ajili ya Kilimo cha umwagiliaji.
Achana sijui eti ghala la Taifa Kina Chakula tani kadhaaa Shit!
Yaani Hicho chakula ndio cha Kugawia watu kilo 5,10 Kila siku!
Acheni utani!
Imifika Hatua hiyo...Ya Kusdma eti tuna Chakula cha Kutosha ghalani...hiyo ni dalaili(Indicators) tosha ya Umaskini na Baa la njaa tuu!
Unachofanya ni Watu wapate kilo ya unga waione kesho over....Hatua Mbaya sana hiyo! Wala sio ya Kuzungumzia!
Ghala linatakiwa sokoni pakipungua Bidhaa ndio ile bidhaa ipelekwe toka Ghalani kwenda sokoni na Bei ishuke sababu Serikali inakuwa ine sabsidise.
Wewe ndio umesema ukweli.Mbona ulishaangushwa , kinachofanyika Mh. Rais SSH anaufufua .. Mlikuwa hamjagundua kwasababu muda wote mlikuwa mnakenua meno na kupiga makofi kipindi cha bwana yule...
Urais ni Taasisi Mama msimwoneeKama Kuna Rais atafanya vibaya kuliko Marais wote ni huyu mama ,inaonekana hakujipanga kurithi kitu cha boss wake kama kweli ilivyoainishwa kwenye katiba ikitokea ya kutokea kama ilivyotokea ,alikuwa liraksi na kuridhika alipo
ccm hawataupenda huu.Most insightful narrative ya mwaka hii. Naunga hoja mkono
ccm system of eatingUzi fikirishi sana...
Hii nchi inahitaji reforms upya... Kwanza maendeleo yanashindwa kufika chini kwasababu hapo kati kuna milolongo ya watu wengi sana ambao ndio wanakwamisha vitu vingi...
Yaani mfano.. decision tu ya kujenga darasa ina msururu wa watu kibao hadi darasa likamilike... Na wote wanataka kitu kidogo..
Ni kupambana tu,,, serikali ni mimi na wewe..
Kwa maoni yako na sisi tumeathiriwa na lockdown?kwasasa nchi nyingi dunian zinaendelea na shughuli za uchumi na hazina mpango wa kurejesha lock down za kitaifa hali ya kiuchumi 2023 itakuwa nzuri kuliko mwaka jana na mwaka huu