Kinachofurahisha kwenye hii story, Wahanga ni waumini wa Kizungu kwenye kanisa la mtu mweusi katika dini waliyoileta wao Wazungu wenyewe. πŸ˜…

Hatari ninayoina ni moja; kwa sasa 'neno la mwanamke' linachukuliwa kama ni ushahidi kwenye kesi hizi dhidi ya watu maarufu. Hali hii ikiendelea watu wengi watachafuliwa na kuumizwa. Marekani, kumekuwa na mfululizo wa kesi ambazo Rappers wengi wameshtakiwa kwa unyanyasaji, kwa story tu za wanawake.
 
Fair warning for Boniface Mwamposa, the Tanzanian Kingpin of haywire commercial christianity.
 
Sawasawa..
 
MTU alifariki 2021. Leo BBC ndio wanaleta Taarifa. BBC Wana Tabia ya kukuCrash Dini za Watu. Ili akamatwe Nani? Marehemu hayupo kujitetea, lolote Juu Yake laweza kusemwa. RIP TBJoshua Mtumishi WA Yesu Kristo.
 
B
BBC wakafukunyue taarifa za Watangazaji wao Mashoga wenye Wake na Wapenzi wa Vijana Wadogo. WaTUACHIE NAbii wetu TB Joshua apumzike Kwa Amani. Wanakosa taarifa za kutafuta??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…