nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 492
- 664
Makafir wote ni wangese, wanafumbuliwa macho lkn wanapinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Wazungu nao wanakuwa kama kuku mbele ya mtu mweusi ni hatua nzuri sanaWaulize wafanyakazi wa ndani wanaofanyiwa hivyo uarabuni kama huwa inakuwa ni makubaliano. Human trafficking, na ubakaji uliochanganyika kwenye cults sio jambo rahisi kwa waathirika kutoka kama unavyofikiri.
Wafanyakazi wa bongo tu hapa wengi wanafanyiwa mambo ya ajabu na hawaendi popote wanakuwa kama kuku waliofungwa kamba mguuni.
We nae hebu punguza makasiriko,Kila Mtu anafanya anavyojisikia kama wewe mwerevu endelea kuwa mwerevu waache as long as pesa za sadaka ni zao na hawavunji Sheria ya nchiInawasaidia mbuzi wengine wastuke wasiwe wapumbavu wa kuliwa na hao matapeli.
TB Joshua alikuwa mtumishi wa shetani tuMTU alifariki 2021. Leo BBC ndio wanaleta Taarifa. BBC Wana Tabia ya kukuCrash Dini za Watu. Ili akamatwe Nani? Marehemu hayupo kujitetea, lolote Juu Yake laweza kusemwa. RIP TBJoshua Mtumishi WA Yesu Kristo.
Hii inawasaidia nini wakati the guy is already dead?
Wanasema za kuambiwa changanya na zako,
Ndio hao kondoo wa TB Joshua wameanza kujitokezaWe nae hebu punguza makasiriko,Kila Mtu anafanya anavyojisikia kama wewe mwerevu endelea kuwa mwerevu waache as long as pesa za sadaka ni zao na hawavunji Sheria ya nchi
Manyumbu Huwa hamkosekani hasa hii Jinsia Yako ,ndio maana mnabakwa.We nae hebu punguza makasiriko,Kila Mtu anafanya anavyojisikia kama wewe mwerevu endelea kuwa mwerevu waache as long as pesa za sadaka ni zao na hawavunji Sheria ya nchi
Wangemharibia biashara na pia kipindi hicho sio rahisi kupata mashahidi maana wanaweza uwawa.Walishindwa nini kumchunguza kipindi cha uhai wake. Kanisa lilianguka akiwa hai. Leo hii hata kama ni kweli inasaidia nini?
Tatizo linakuja kuwa wanadamu tumewekeza imani kubwa sana kwa Mungu kupitia wanadamu wenzetu. Imekuwa mtu hajiamini kumuomba Mungu moja kwa moja mpaka apitie kwa nabii na mitume, hili linafanya hao manabii wajihisi kuwa na wewe ni miungu pia.
Ifikie wakati watu kwa imani zao wenyewe wavunje hizi cult za manabii na mitume na wajikumbushe na kutambua kuwa Mungu anasikia maombi bila kuhitaji madalali.
Uzuri wa jinsia yangu ndio imekufanya uwepo wako ujulikane,,,be hambleManyumbu Huwa hamkosekani hasa hii Jinsia Yako ,ndio maana mnabakwa.
Relax,sijawahi wahi kuwa muumini wake ila sijawahi kuchukia... subiri documentaryNdio hao kondoo wa TB Joshua wameanza kujitokeza
Haiondoi ukweli kwamba hamna akili,ndio mumejaa huko Kwa matapeliUzuri wa jinsia yangu ndio imekufanya uwepo wako ujulikane,,,be hamble
cc: Bilionea Askofu Masanja Mkandamizaji,. Ubaruku - MbeyaInawasaidia mbuzi wengine wastuke wasiwe wapumbavu wa kuliwa na hao matapeli.
Miafrika ndivyo ilivyo acha itapeliweNa wamesahau kusema pia ni KAFARA.Kuna yule wa kukanyaga mafuta aliua watu kibao pale Moshi,serikali ikamlinda na idadi ya kihuni huni ila uhalisia Watz mnaujua.Halafu BBC Eye wakija na uchunguzi mnasema wanavita na dini.
Akili ni kutoumia na mambo yasiyokuhusu.sasa Kwa matapeli wanapenda wao,wanatapeliwa wao inakuwaje Tena Mtu na akili timamu unaumia?Haiondoi ukweli kwamba hamna akili,ndio mumejaa huko Kwa matapeli
Mnagaribu kizazi.Kama wewe unakula unga na unaharibika au unaliwa kiboga Ukiwa na akili timamu lazima uumie ila kama wewe ni mbuzi utaona kawaida.Akili ni kutoumia na mambo yasiyokuhusu.sasa Kwa matapeli wanapenda wao,wanatapeliwa wao inakuwaje Tena Mtu na akili timamu unaumia?