Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Thread zako nyingi ni za kufuatlia maisha maisha ya watu tu, mara mishahara midogo, mara wanateseka, mara mikojo duh!

Fanya kazi zako mkuu usipoteze muda wako sana kuandika hapa jf hakuna siku utapewa tuzo wala malipo.
 
Huo ni moja ya magonjwa ya akili,mtu aliyetimamu hawezi kukojoa kwenye kopo au ndoo,halafu akae na huo uchafu mpaka asubuhi aende kuumwaga,kuwa na ugonjwa wa akili siyo kuokota vitu jalalani tu au kukimbia ovyo barabarani bila nguo,

La hasha,yapo matatizo mengine yanaweza yakamkuta mtu yanayosababishwa na akili kuwa ngonjwa,moja wapo ni hili la kujisaidia kwenye makopo na ndoo.
 
Thread zako nyingi ni za kufuatlia maisha maisha ya watu tu, mara mishahara midogo, mara wanateseka, mara mikojo duh! Fanya kazi zako mkuu usipoteze muda wako sana kuandika hapa jf hakuna siku utapewa tuzo wala malipo.

Tusipoandika Sisi unataka JF Ife au ndio akili mgando?

Hujui Kwa kuandika kwetu kuna watu wameajiriwa JF na wanatunza familia zao kisa nyuzi zetu?

Wengine kuandika ndio hobby yetu.

Kuhusu kufanya kazi Hilo lisikusumbue Mkuu,

Mwisho, uache kukojoa kwenye ndoo
 
Huo ni moja ya magonjwa ya akili,mtu aliyetimamu hawezi kukojoa kwenye kopo au ndoo,halafu akae na huo uchafu mpaka asubuhi aende kuumwaga,kuwa na ugonjwa wa akili siyo kuokota vitu jalalani tu au kukimbia ovyo barabarani bila nguo,la hasha,yapo matatizo mengine yanaweza yakamkuta mtu yanayosababishwa na akili kuwa ngonjwa,moja wapo ni hili la kujisaidia kwenye makopo na ndoo.

Wanaogopa wachawi, wezi na majini.
 
Kukata gogo ndiyo pekee huwapeleka chooni,kuna jirani enzi hizo mpaka kopo likabadilika rangi aisee.
 
Tusipoandika Sisi unataka JF Ife au ndio akili mgando?

Hujui Kwa kuandika kwetu kuna watu wameajiriwa JF na wanatunza familia zao kisa nyuzi zetu?

Wengine kuandika ndio hobby yetu.
Kuhusu kufanya kazi Hilo lisikusumbue Mkuu,

Mwisho, uache kukojoa kwenye ndoo
Jf imejaa vihiyo sana![emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Sasa ndo nimepata majibu kwenye hii mada...zamani Kuna mahali nilikua naishi ,nilikua nasikia kila ikifika saa sita au Saba usiku lazima nisikie kelele za michirizi ya kitu Kama maji hivi yakimiminika kwenye ndoo au beseni Tena kwa Kasi Sana hapo chumba Cha jirani,

Kila siku najiuliza hiyo michirizi ya maji kila siku ninayoisikia chumba Cha jirani (mwanamke)ni vitu gani haswa...nimepata jibu Sasa,

Lakini choo kilikua kipo ndani ya fensi kabisa siyo nje...
 
kwema Wakuu!

Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.

Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.

Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati haumwi?
Ni uvivu wa kutoka nje usiku au ni Woga?

Kinachoshangaza zaidi ni kuona tabia hii ipo mpaka Kwa wanaume. Hivi mwanaume mzima unakojolea kwenye kopo au ndoo kweli badala ya kutoka nje na kujisaidia chooni.

Unakuta mtu kaoa kabisa alafu yeye na Mke wake wanakojolea kwenye ndoo au kopo. Kwa kweli hili sio uungwana Kabisa.

Halafu ndoo hiyo hiyo ati mtu anaogea au kufulia😀😀 hii kuna uchafu zaidi ya huu? Ukimuuliza atakwambia ati ndoo ameiosha, upuuzi mtupu.

Uchunguzi huu unawahusu zaidi Wale wenye nyumba za kupanga ambazo sio Self-container, isipokuwa Choo kipo Kwa nje kimejitenga.

Pia baadhi ya wWAnaume chupaenye nyumba ambao vyoo vyao vipo Kwa nje.

Ushauri wangu, unapoenda ugenini kusalimia uwe Makini sana, unaweza ukadhani unaoga kumbe unajipaka mikojo ya watu japokuwa watakuambia wanaisafisha hiyo ndoo.

Mikojo na mavi no uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.

Wito: wenye tabia hii nawasihi mubadilike, acheni kukojolea kwenye makopo au ndoo, alafu ndoo hizohizo mnaogea na kufulia nguo. Huo ni UCHAFU.

Jumapili njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Buza, Dar es salaam
 
kwema Wakuu!

Tuachane na mambo ya Ukraine na Urusi.
Leo sitaki kupotezea muda watu.

Moja ya mambo yaliyonishangaza tangu nilipotoka nyumbani miaka 10 iliyopita ni kuona wakazi wengi kuwa na tabia ya kukojolea kwenye makopo au ndoo nyakati za usiku.

Hivi inakuwaje mtu alale na Mikojo wakati haumwi?
Ni uvivu wa kutoka nje usiku au ni Woga?

Kinachoshangaza zaidi ni kuona tabia hii ipo mpaka Kwa wanaume. Hivi mwanaume mzima unakojolea kwenye kopo au ndoo kweli badala ya kutoka nje na kujisaidia chooni.

Unakuta mtu kaoa kabisa alafu yeye na Mke wake wanakojolea kwenye ndoo au kopo. Kwa kweli hili sio uungwana Kabisa.

Halafu ndoo hiyo hiyo ati mtu anaogea au kufulia[emoji3][emoji3] hii kuna uchafu zaidi ya huu? Ukimuuliza atakwambia ati ndoo ameiosha, upuuzi mtupu.

Uchunguzi huu unawahusu zaidi Wale wenye nyumba za kupanga ambazo sio Self-container, isipokuwa Choo kipo Kwa nje kimejitenga.

Pia baadhi ya wenye nyumba ambao vyoo vyao vipo Kwa nje.

Ushauri wangu, unapoenda ugenini kusalimia uwe Makini sana, unaweza ukadhani unaoga kumbe unajipaka mikojo ya watu japokuwa watakuambia wanaisafisha hiyo ndoo.

Mikojo na mavi no uchafu, ni najisi, watu lazima muwe wasafi bhana sio muwe Kama majini.

Wito: wenye tabia hii nawasihi mubadilike, acheni kukojolea kwenye makopo au ndoo, alafu ndoo hizohizo mnaogea na kufulia nguo. Huo ni UCHAFU.

Jumapili njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Buza, Dar es salaam
Alafu sasa cha ajabu ni kwamba sio kwamba choo kilipo labda ni nje kabisa kwamba mtu anaogopa,, yaan unakuta nyumba imezungushiwa ukuta choo kipo uwani tu mtu anakojoa ndani alafu ni mwanume!!

Hii tabia ni ya kijinga mno
 
Kuna mmoja kwenye nyumba ya udongo, alitoa udongo kidogo kwenye fito akaweka makaratasi. Usiku anayatoa anaweka mrija wake anakojoa.

Sikumoja akiwa anakojoa kuna aliyekua anaukinga ule mkojo kwenye kopo. Jamaa alistuka alitoka ndani mbio, kufika nje ile njemba ikawa inakimbia na kopo lake la mkojo.

Mwenye mkojo alimkimbiza sana mpaka alimkamata akamwaga mkojo wake anarudi nyumbani. Mwizi wa mkojo aliokota kopo akamwambia umebaki kidogo uatanitosha. Mwenye mkojo akaanza tena mbio.
 
🤣🤣🤣🤣
Wewe mama Kwa Stori haujambo
 
Alafu sasa cha ajabu ni kwamba sio kwamba choo kilipo labda ni nje kabisa kwamba mtu anaogopa,, yaan unakuta nyumba imezungushiwa ukuta choo kipo uwani tu mtu anakojoa ndani alafu ni mwanume!!

Hii tabia ni ya kijinga mno

Mbaya zaidi ndio hiyohiyo ndio anaogea na kufulia
 
Back
Top Bottom