Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Hii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku
We unaongea ukiwa wilayani? Halafu mkija vijijini Krismasi na mwaka mpya njooni na tochi mwende nje wenyewe mambo ya kutusumbua kila wakati tuwasindikize nje tumechokaHii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku.