Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Hii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku

Hii tabia ipo sana mikoani kutokana na watu kuhofia wanyama wakali usiku.
We unaongea ukiwa wilayani? Halafu mkija vijijini Krismasi na mwaka mpya njooni na tochi mwende nje wenyewe mambo ya kutusumbua kila wakati tuwasindikize nje tumechoka
 
Kutokana na ukosefu wa ajira vibaka wamekua wengi sana. Unapofungua mlango usiku kwenda kujisaidia wanakulia timing na wao wanaingia ndani.
Hii Robert hawezi kuipa jibu naona hapo juu amecheka tu, means amekubaliana na ithabati ya kukojoa kwenye ndoo au kidumu, 😄 ahahahaa...
 
Huo ni moja ya magonjwa ya akili,mtu aliyetimamu hawezi kukojoa kwenye kopo au ndoo,halafu akae na huo uchafu mpaka asubuhi aende kuumwaga,kuwa na ugonjwa wa akili siyo kuokota vitu jalalani tu au kukimbia ovyo barabarani bila nguo,la hasha,yapo matatizo mengine yanaweza yakamkuta mtu yanayosababishwa na akili kuwa ngonjwa,moja wapo ni hili la kujisaidia kwenye makopo na ndoo.
Basi uswahilini kuna vichaa wengi
 
Mabobo ndio habari ya uswazi. Asubuhi mnapishana tu kumwaga kila mtu na bobo lake 🤣🤣🤣🤣🤣 na hakuna anayeona ajabu.
 
Mabobo ndio habari ya uswazi. Asubuhi mnapishana tu kumwaga kila mtu na bobo lake 🤣🤣🤣🤣🤣 na hakuna anayeona ajabu.

Mabobo ni neno wanalotumia zaidi watu kutoka Arusha na Kilimanjaro.

Siku nipo Morogoro nikasema nipe Hilo Bobo ati wakawa hawanielewi
 
We unaongea ukiwa wilayani? Halafu mkija vijijini Krismasi na mwaka mpya njooni na tochi mwende nje wenyewe mambo ya kutusumbua kila wakati tuwasindikize nje tumechoka
😀😀😂....sawa chifu.
 
Kutoka toka nje ni kero na hasa ukiwa kwenye ile shughuli yetu pendwa.
 
Back
Top Bottom