Uchunguzi; Watanzania wengi hujisaidia haja ndogo kwenye makopo usiku

Tatizo nyumba moja ina vyumba 7+vibanda vya uani 5,choo kimoja hapo unategemea nini?
Je mtu akishikwa na tumbo

Ova
Hizi nyumba za β€œyou face me I face you” zilitakiwa kuwa na Indian Toilets tatu na shower rooms tatu au nne. Yake maisha ni zaidi ya maisha ya hostel.
 
Tatizo kubwa ni upatikanaji wa maji tiririka ndiyo kunafanya wengi wasijenge nyumba self contained.
Asante kwa kusema 'contained' wengi wetu humu wamelemaa sana wanasema 'container'. Kinge kinatutesa Watanzania wengi.
 
Hizi nyumba za β€œyou face me I face you” zilitakiwa kuwa na Indian Toilets tatu na shower rooms tatu au nne. Yake maisha ni zaidi ya maisha ya hostel.
Walipojenga zamani idadi ya watu haikuwa kubwa,sasa sahv familia nzima inalala kwenye chumba kimoja

Ova
 
Kijijini kwetu tangu nikiwa mdogo,kila kitanda kina kibeseni chini kwa hiyo usiku ni kukojoa kwenye hicho kibeseni na kila asubuhi ni kumwaga kojo huko nje na kusafisha beseni na kuirudisha uvunguni mpaka wa leo kwetuhamna mtu anaendaga usiku nje labda anaumwa tumbo la kuhara ndo asindikizwe chooni,wanasema usiku una mambo mengi
Asa juzi nimeenda kibeseni kipo kama kawa nimeshindwa kukojoa sema sikubanwa ningekojoa zangu asubuhi nkaenda kumwaga kojo kama kawa
 
We jamaa nimekumaindi ya leo kali kunguru kanyea ugaliπŸ˜…
 
Kama kukaa na haja ni ugonjwa wa akili basi wote tu wagonjwa wa akili! We mbona unatembea na Mah.Vee full time umeyabebebelea kwenye utumbo mkuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… af unajiona una akili sana?
 
Tatizo nyumba moja ina vyumba 7+vibanda vya uani 5,choo kimoja hapo unategemea nini?

Je mtu akishikwa na tumbo

Ova
Hahahahahah ni noma yani! Matundu mawili ya choo wapangaji 12πŸ˜‚ af vyoo vya kupangiana zamu kuosha!
 
Kama kukaa na haja ni ugonjwa wa akili basi wote tu wagonjwa wa akili! We mbona unatembea na Mah.Vee full time umeyabebebelea kwenye utumbo mkuuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… af unajiona una akili sana?
kasahau kwamba bladder ya mkojo anatembea nayo imejaa ammonia
colon nzima limejaa 'nya' na anatembea nayo
 
Kama Huna self amka usiku kakojoe choo cha nje, uvivu wa kulala na mikojo ndani unatia aibu.
Tatizo kubwa ni upatikanaji wa maji tiririka ndiyo kunafanya wengi wasijenge nyumba self contained.
 
Hizi nyumba za β€œyou face me I face you” zilitakiwa kuwa na Indian Toilets tatu na shower rooms tatu au nne. Yake maisha ni zaidi ya maisha ya hostel.
Long time enzi za ubeach boy nlipanga chumba moja national housing zile mara nying kujisaidia kuoga nlikuwa nakwenda nyumba za jirani
Maana asubuhi bafuni foleni

Ova
 
Alafu sasa cha ajabu ni kwamba sio kwamba choo kilipo labda ni nje kabisa kwamba mtu anaogopa,, yaan unakuta nyumba imezungushiwa ukuta choo kipo uwani tu mtu anakojoa ndani alafu ni mwanume!!

Hii tabia ni ya kijinga mno
Ni kweli, ni ujinga sana.
 
Acha watu waishi mbona wazungu wanauza chupa special kabisa la kulimwaga...
 
Vyanzo vingi vya ugomvi nyumba zetu hizo ni
Choo,bafu

ova
Hahahahahah ni noma yani! Matundu mawili ya choo wapangaji 12πŸ˜‚ af vyoo vya kupangiana zamu kuosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…