nasikitika jinsi mafundisho maovu ya upotoshji wa neno la MUNGU yanavyokuwa kwa kasi, iyo juu yako mm siijui luthu aliongoka kwa utakatifu wake, hilo b,sijawai kuona hivyo jijibu mwenyewe kulingana na upumbavu wakoMungu alifanya mission ya kuangamiza malaki ya watu kwenye miji ya sodoma Na Gomora Na Kisha kuwaokoa watu watatu Tu ambao Ni Lutu Na binti zake ili baadae Lutu aje alale Na kuzaa Na binti zake?
Jibu swali hili please acha kunitoa kwenye mada
😂😂😂😂😂 Huwezi kujibu Hilo swali mkuunasikitika jinsi mafundisho maovu ya upotoshji wa neno la MUNGU yanavyokuwa kwa kasi, iyo juu yako mm siijui luthu aliongoka kwa utakatifu wake, hilo b,sijawai kuona hivyo jijibu mwenyewe kulingana na upumbavu wako
... ameshaikana Biblia toka mwanzoni huko; anadai hayo ni maneno ya Musa sio ya Mungu. Uzi wake huu kama umemshida to some extent kuujengea hoja mujarabu za kisomi akaeleweka badala yake anajikoroga sana!“Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
” Kutoka 20:5 , kitoka 34:14, Kumbukumbu la Torati 5:9, Kumbukumbu la Torati 4:24
“kwani Bwana, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya Bwana, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.
”Kumbukumbu la Torati 6:15
Nahumu 1:2
Yoshua 24:19
Hayo yote ni kwamjibu wa biblia sio mm
dah , aseeeiii.... kitu usichokijua mimi sina hobby na maswala ya ulokole ,biblia imeandika MUNGU NI NENO, HUTAKE USITAKE ISHAANDIKWA,MENGINE KUJAZIA NYAMA ETI ULIKOSOE UONEKANE UNAAKILI KULIKO MUNGU ALIYEKUPA UHAI UNAOLINGIA NI UPUMBAVU, NA SIBISHANI NA WEWE KAMA UNAMBISHIA MUNGU ,MM NI NANI?Kweli ulokole ni ugonjwa mbaya sana kwa wengine...
"Mungu ni neno" tayari umeithibitisha kauli yako kuwa Mungu aliandika biblia?
Unaelewa maana ya "Mungu akanena na...?
Kwa kauli zikutokazo mdomoni mwako nasita kuamini kama una waumini wenye akili timamu wapo pamoja na wewe kimafundisho.
Kumuabudu Mungu maana yake ni kumuamkia na kumuheshimu kama unavyomuamkia na kumuheshimu baba yako mzaziNiliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
kwani mti wa machungwa umeuumba wewe ? unamhukuru aliye muumba na si wewe,Huyo ni mwanadamu mkuu. Haya Sasa nikuulize swali.
Mti wa mchungwa unatoa machungwa matamu wewe umeenda kuchukua chungwa umekula umepata vitamin. Je mti wa mchungwa unahitaji uushukuru? Je usipo ushukuru utapungukiwa nn ?
Kwani uongo mkuu? Torati iliandikwa Na Mussa ndio maana inaitwa Torati ya Mussa.... ameshaikana Biblia toka mwanzoni huko; anadai hayo ni maneno ya Musa sio ya Mungu. Uzi wake huu kama umemshida to some extent kuujengea hoja mujarabu za kisomi akaeleweka badala yake anajikoroga sana!
team shetani mpo wengi, lakini ni muende wenyewe motoni , kwani lazima muwadanganye wengine, si umechagua miaka chini ya mia ya furaha ya kinafki ,badala ya furaha ya mileleHahitaji chochote kutoka kwa binadamu! Hiyo ni "contradiction" ana vyote halafu ahitaji nini? Tumia mda wote kuhakikisha maisha yako yanasonga mbele! Akili aliyokupa itumie kipambana na sio kumwabudu. Siku za mwisho usishangae Mungu anakuuliza "ni kwa nini ulikuwa unanipigia kelele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahitaji chochote kutoka kwa binadamu! Hiyo ni "contradiction" ana vyote halafu ahitaji nini? Tumia mda wote kuhakikisha maisha yako yanasonga mbele! Akili aliyokupa itumie kipambana na sio kumwabudu. Siku za mwisho usishangae Mungu anakuuliza "ni kwa nini ulikuwa unanipigia kelele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi! Kama ukienda kanisani eti kwa sababu kuna amri inakutaka kuitakasa Sabato hakuna ufanyacho! Yaani unafanya kitu sababu ni amri imekula kwako! Fanya jambo sababu unampenda Mungu toka moyoni!Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Umeanza vizuri halafu mwishoni ukapoteana, sasa unataka tumshukuru kwani tusipomshukuru atapungukiwa na nini?Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu kitu Gani kitaongezeka kwake?
JIBU NI HAKUNA KITU CHOCHOTE KITAKACHO ONGEZEKA KWAKE.
Mungu Ni yule Yule Jana leo Na hata milele. Binadamu huwezi kufanya chochote duniani ukaongeza wala kupunguza chochote kwa Mungu.
WEWE BINADAMU KUMUABUDU MUNGU AU KUTOKUMUABUDU MUNGU MEAN THE SAME THING TO GOD.
Hupunguzi Wala huongezi chochote.
JE KWA SABABU HII TUSIMUABUDU MUNGU?
Ishu sio KUMUABUDU MUNGU ishu ni kwanini unamuabudu Mungu.
Kama una muabudu Mungu Kwa saabu una fuata Hilo andiko kwamba amekuumba ili umuabudu ur just wasting ur time.
Ibada ya Kweli Kwa Mungu Ni SHUKURANI.
Kwamba nikitafakari kwamba Mungu ameniumba amenileta duniani ameniumba binadamu n.k then nasema MWENYEZI MUNGU NAKUSHUKURU KWA YOTE.
Waasisi wa hoja kwamba Mungu alituumba ili tumuabudu walimshusha Mungu kwenye level za ubinadamu . Yani walifanya kama vile Mungu Na yeye Ni muhitaji
Wacha kumkufuru Mungu. Mungu ni upendo hawezi kuwa Na nia ovu kiasi hicho. Hana nia haja Wala sababu ya kukuchoma Moto kiumbe wake.team shetani mpo wengi, lakini ni muende wenyewe motoni , kwani lazima muwadanganye wengine, si umechagua miaka chini ya mia ya furaha ya kinafki ,badala ya furaha ya milele
Yes bro this is what I was talking aboutUpo sahihi! Kama ukienda kanisani eti kwa sababu kuna amri inakutaka kuitakasa Sabato hakuna ufanyacho! Yaani unafanya kitu sababu ni amri imekula kwako! Fanya jambo sababu unampenda Mungu toka moyoni!
Shukurani ninayo izungumzia hapa ni kuwa grateful and thankfully in ur heart that the Lord God has created you.Umeanza vizuri halafu mwishoni ukapoteana, sasa unataka tumshukuru kwani tusipomshukuru atapungukiwa na nini?
Unasema "ibada ya kweli ni shukurani", hujui kwamba ibada maana yake kuabudu?
Kwa hiyo unapinga kumuamudu, ila unataka tumuabudu kwa kumshukuru! Umejichanganya sana!
kwanini umeamua kupoteza watu kwa kujifanya unajua zaidi ya aliye kuumba, je wewe , unafahamu dk 1,zaidi unafahamu hata tumboni kwa mama yako ulikaaje na kwanini ulikaa kwa staili hiyo,aliye kuumba anakwambia umsifu n kumuabudu , na jibu ni kwasababu anastahili, Rais anapewa heshima kwa sababu anastahili na MUNGU anasifiwa na kuhabudiwa kwa sababu anastahili. So ukishindwa kufanya anavyo itaji usitake msahada kwake. Iyo independence mechanism ya kuingiza na kutoa hewa bila kuitaji nishati ya kuiboost isikupe kiburi, hii siku utaikumbuka na kwambia acha upuuzi
acha upumbavu weweWacha kumkufuru Mungu. Mungu ni upendo hawezi kuwa Na nia ovu kiasi hicho. Hana nia haja Wala sababu ya kukuchoma Moto kiumbe wake.
Na mjadala uishie hapa.Kila kitu kipo ndani mwako hata huyo Mungu yupo ndani mwako.............ishi vizuri tu