UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

Serikali haitakiwi kushindana kwenye quantity ya kudahili wanafunzi na hizo nchi zingine bali izingatie qualities za elimu husika.Hata kama viwe vyuo vikuu viwili lakini vitoe product ambayo inaweza kutoa ama kupambana na matatizo yaliyopo kwenye jamii. Kuna haja gani ya kuwa na wasomi laki moja wasiojiweza kwa lolote? Bora uwe nao mia wanaojiweza.Na kusema wanapanua wigo wa taaluma, mi nasema si kweli,bali wanasambaza elimu ileile iliyoshindwa vibaya ili kiwafikie wengi.zile sifa sijui tuna vyuo vikuu hamsini na degree holders kibao,sijui tunaongoza east africa kwa idadi ya wasomi hazina tija bila kufanya hizo degree kuwa productive. We need changes.
 
Quality Inaanza na kuwa na miundombinu Bora.Ile mentality ya kipumbavu ya hapa Tanzania Toka ukoloni ya Kuzuia watu kusoma Elimu Kwa level wanayoutaka na Kwa Wingi kadiri inavyowezekana Sasa imezikwa rasmi.

Asante sana JK Kwa Mpango wa Shule za Kata na Sasa Basic education itakuwa ni form 4.
 
Validity ya kupeleka Hilo Tawi njombe NI IPI?tujadili hoja.kwni njombe na Dodoma kuna umbali gani?si wangefikiria kupeleka Hilo Tawi Mara.
Haya ndiyo Maswali ya kuuliza. Yapo objectively. Na nirahisi kupewa majibu. Lakini, siyo kuibuka na sababu zisizo nakichwa wala miguu eti upendeleo!!! Yaani Taasisi zisifanye kazi sehemu fulani kisa Mkuu wa Taasisi ni wa huko!!!
 
UDSM wanaanzisha tawi/campus Lindi. VC wa UDSM ni mutu ya Rungwe kwa mujibu wa CV yake wakati anapewa hiyo nafasi.
UDOM is too big kwa VC, mutu mmoja kushawishi campus kuanzishwa. Kuna vyombo kama vile Senate na Baraza la Chuo.
Pamoja na maoni yangu hayo, bado naona hakuna haja ya UDOM kwenda Njombe. Waende Mpanda au Kigoma. Hapo watakuwa wamejitahidi kutoka upenuni. DIT wapo Momba. MUST wana campus Rukwa. Na wao wajitahidi kutembea kaumbali.
 
100% nakuunga mkono
 
Wawe wachache ama wengi lakini wawe productive. Kujisifia kuwa na madarasa mengi kichwani bila kuwa na elimu yenyewe inayokusaidia kuwa productive ni bure.
 
Wawe wachache ama wengi lakini wawe productive. Kujisifia kuwa na madarasa mengi kichwani bila kuwa na elimu yenyewe inayokusaidia kuwa productive ni bure.
Kwani hujui kwamba Mageuzi yanafanyika kuanzia chekechea Hadi University?
 
Kama ni kwrli hayo yatakuwa matumizi mabaya ya fedha za umma. UDOM kimejengwa kwa mkopo kutoka pesa za wafanyakazi ambao ni wanachama wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii. Bado serikali inadaiwa mabilioni na mifulo hiyo; walipe kwanza hizo pesa ndipo wafungue kampasi nje ya Dodoma.

Vv
 
Siyo poa kabisa hiyo, naipinga hiyo hoja asilimia 100%, kuna mikoa mikongwe kma lindi, mtwara, singida, kigoma, shinyanga, ruvuma, rukwa nk. Haina byuo vikuu afu unampa njombe kichanga. Huu ni upotofu kabisa.
 
Wakafungue tu wafundishe Bachelor of science in
Mathematics
Physics
Chemistry
Biology
Statistics
etc.
 
kwani UDOM wanasoma watu wa Dodoma tu? Njombe kuwa na watu wachache kua uhusiano gani na chuo kutojengwa huko? Njombe hakuna wasomi halafu unasema VC ana toka Njombe unamaanisha nini?
 
Siyo poa kabisa hiyo, naipinga hiyo hoja asilimia 100%, kuna mikoa mikongwe kma lindi, mtwara, singida, kigoma, shinyanga, ruvuma, rukwa nk. Haina byuo vikuu afu unampa njombe kichanga. Huu ni upotofu kabisa.
H ah aha Vijana mnaleta sana Ukanda, waachiwe wataalam wafanye kazi yao, Mh Raisi amewaamini, Selection ya wapi kiwepo chuo hufanyika baada ya kufanyika analysis kubwa, Probably mikoa uliyotaja hapo kuna kampas za vyuo vingine au ipo kwenye mipango ya UDOM kwa badae, kwa sasa wanaanza na Njombe
 
Waanzishe kampasi Tunguu, Zanzibar
 
Naunga hoja
 
Aliyependekeza hili "asogezwe" hapo mirembe ili Ma- Dr 'watusaidie'
Au mkuu wa UDOM katoka huko? Takukuru anzieni hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…