DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sidhani kama anajua hata geti lolote la UDSM linafananaje
 
Naona kuna haja ya kufuatilia elimu za watu vizuri kuanzia chekechea hadi Masters +. Uozo wa nchi hii umepitiliza mno.
 
Si tuliambiwa kigezo ni kujua kusoma na kuandika tu. Sasa haya mengine yanatoka wapi? Hehehehejejjej nchi yangu Tanzania
 
TULETEE HIZO TAARIFA ZA MAGU AISEE..
Kwamba unakataa hakusoma diploma ya Ualimu?

Sehemu ya CV yake
Magufuli started his education at the Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to the Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and graduating in 1978. He joined Mkwawa High School for his Advanced level studies in 1979 and graduated in 1981. That same year he joined Mkwawa College of Education (a constituent college of the University of Dar es Salaam) for a Diploma in Education Science, majoring in chemistry, Mathematics, and Education.[20]

Magufuli earned his Bachelor of Science in education degree, majoring in Chemistry and Mathematics as teaching subjects from the University of Dar es Salaam in 1988. He also earned his master's degree, and doctorate degrees in chemistry from the University of Dar es Salaam in 1994 and 2009,
 
Mtu kama Tarimba unamuona na mihela yake na deals zake mjin unaanza kuhoji elimu yake?

Yaani wewe uliyesoma vizur kabisa na huna hata mia mfukoni di ndio utueleze hiyo elimu uliyonayo ni elimu au uchafu?
 
Hapana kuna sehemu pameandikwa "aliung unga"...na maana ya kuunga unga duu haya bhana
Vijana na wasomi waliomaliza form six moja kwa moja na kufaulu au kufikisha cut points za kujiunga na kozi Fulani huamini wao ndio wenye akili na wamekwenda moja kwa moja.

Hivyo mtu yoyote ambaye kamaliza kidato Cha sita na kutosoma level ya degree kwenye macho Yao wanaamini ameunga unga.

Hivyo waliomaliza kidato Cha sita na kujiunga na diploma mbali mbali wanaingia kwenye hilo kundi.

Magufuli
Mkapa
Walionyesha kusoma diploma hakukuzuii kufanya vizuri.
 
Rushwa tupu
 
Sitaji jina

Ila Elimu yake ipo hivi:

Year Level School Award
2011-2011 Masters UDSM Cert. of law

2011-2011 Bachelor UDSM Cert. of Law

2008-2008 Cert. International Cert.
Gaming Inst. Nevada

2007-2007. Diploma Netherlands. Diplom

1981-1981. Diploma Benin


Hivi kwa nini mtu aweke wasifu wa namna hii ambao unaonekana kabisa kuwa ni uongo?

Ifike mahali kila mtu ajiamini na elimu aliyonayo as long katiba inakuruhusu kuwa kiongozi hata wa level ya juu kabisa ilimradi ujue kusoma na kuandika.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bora msukuma anasema wazi kuwa ni la 7B
 
Hizi certificate za kubeti yuko sahihi na ndio maana yuko sportpesa 🤣🤣🤣🤣
 
Tarimba kwa akili yake nnavyoijua hata certificate ya The Amazon college segerea mwisho pale hawez kupata hata siku moja....Yan hawezi
 
Wazungu walipokipima Chuo Kikuu UDSM katika Hadubini ya utoaji Elimu Bora isiyokua na mashaka , Wakaiona UDSM kua inafaa kua ya Mkiani kiani huko katika Orodha ya Vyuo Bora Duniani Licha ya Ukongwe wa Chuo hiko !!

Wakuu nyote mmejionea, hiyo ndio CCM na Hao ndio Wabunge wa CCM .


Mbunge Tarimba anasoma Bachelor Degree ya Sheria Mwaka Mmoja , Mbunge huyohuyo anasoma Master's Degree Mwaka Mmoja !!.


Sasa ni Kwa Aibu hii ni nani wakuomba Msamaha Watanzania Wana Mataifa walio/ Wanaosoma UDSM ?? Ni Tarimba Mwenyewe ?? Ni UDSM??.


Uhuni wa CCM unaingilia Hadi Elimu ?.
 
T
Mkuu kwani UDSM kuna nini so special cha kushangaza?....tuseme tu ukweli.

UDSM hii aliyosoma mwijaku akagraduate ama ni nyingine?🤣🤣🤣
Nchi inajivunia kama chuo namba moja bora na kikongwe tunachotegemea kisiwe na ubabaishaji kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…