DOKEZO Responded UDSM wamepigapigaje hapa kwa Tarimba Abbas, aliwezaje kusoma degree na masters ndani ya miaka miwili tu?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Cv za watunga sheria ni vituko walah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma level and award navyo haviendani
navyo
 
Iyo CV na mchango alioutoa majuz bungeni kuhusu gwaji-boy vinalingana kabisa, hamna haja ya kushangaa..
 
Awards zote ni Certificate...sijui kwa nini zimeandikwa Bachelor na Masters..!
Na mimi nimeliona hilo. Nadhani alikuwa anasoma kozi fupi fupi za mwaka mmoja mmoja ndiyo maana aliondoka na certificates japo sijui kwa nini huku tena zimeandikwa Masters na Bachelor. Utasomaje masters halafu uondoke na certificate?

Ila jamaa kasomea sana mambo ya gambling na elimu hiyo kaitumia vyema mpaka kawa bilionea. Kongole kwake kwa kutumia hiyo elimu yake vizuri!
 
Haya yanawezekana kabisa kama una kadi ya chama, πŸ˜‚
 
Hata ukiangalia sura yake mbona inaonyesha kabisa shule haipo
 
Huyo kwa kifupi ana elimu ya Cheti tu. Hana Degree wala Diploma.

Hizo zote unazoziona hapo ni zugazuga. CCM wamejaa matapeli watupu kuanzia Rais, Mawaziri hadi Wabunge ni elimu ya hoehae na kuunga unga tu.
CCM ni Chama Cha Makanjanja
 
Huyu muuza unga mkongwe....ndio wanajificha kwenye uchawa chawa
 
Web admin wa website ya bunge achunguzwe.
Tangu nione sijazaliwa
 
CV yake ya mchongo kama ya mwenyekiti wake. Mtu unasomea mambo ya lotteries and gaming ndo upuuzi gani? Nchi ya kipumbavu sana hii.
 
Huyo kwa kifupi ana elimu ya Cheti tu. Hana Degree wala Diploma.

Hizo zote unazoziona hapo ni zugazuga. CCM wamejaa matapeli watupu kuanzia Rais, Mawaziri hadi Wabunge ni elimu ya hoehae na kuunga unga tu.
Bunge Makini Lingeomba Vyeti Vya Wabunge Wote Kwa Elimu Wanazotaja
Ila Hili Letu La KK Mbili Wabunge Wanadanganya Bonge Wanatanzamwa
Hili Jambo Ni Jinai Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…