Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
Hivi Bachelor/Master degree award ni certificate?Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Wote unga unga mwana
Alisoma hapa na paleElimu zake zote kuanzia diploma mpaka masters ni mwaka mmoja mmoja na huko chini primary na secondary ndio hajulikani alisoma wapi......nchi imeoza hii masikitiko.
Kwenda Diploma sio kuungaunga mkuu.Unajua magu naye alisoma kwa kuunga unga?
Alivyomaliza kidato Cha sita, alikwenda kusoma diploma ya elimu huku akichagua Chemistry kama somo la kufundisha?
Hiyo ni betting styleWakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
View attachment 3352019
Ukiwa na Kadi ya chama na pesa, ni ufunguo wa mambo yote Tanzania.Dah, hakika ngekewa ni huwa ni kwa wachache, hasa ukiwa na kadi ya chama.
Hoja sio kuhoji...Kwa nini asiwe mkweli? Mbona Msukuma ni mkweli na elimu yake...Hapo ndio shida!Mtu kama Tarimba unamuona na mihela yake na deals zake mjin unaanza kuhoji elimu yake?
Yaani wewe uliyesoma vizur kabisa na huna hata mia mfukoni di ndio utueleze hiyo elimu uliyonayo ni elimu au uchafu?
Wamebadilisha wameweka miaka mitatu 2010 2013 lakini diploma ni hivyo hivyo mwaka mmoja mmojaWakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
Pia soma: Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisomba Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?
View attachment 3352019
Hatari aiseWakuu

Tanzania, ukiwa na pesa unanunua chochote kasoro uhai. Tafuta pesa, waza, pesa, kimbiza pesa. Umewahi kuamini Diamond waheshimiwa kadhaa wanataka kupiga naye picha ? Na Hana la maana alilo nalo zaidi ya pesa.Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam.
Hii inawezekanaje, wakati kwa kawaida tunafamu degree peke yake si chini ya miaka mitatu? Hapo Tarimba amepiga miaka miaka miwili na masters juu, Hii ni fedheha kwa chuo kikongwe kama UDSM.
Ukiachana na chuo lakini hata ngazi zingine zote amesoma mwaka mmoja mmoja, jambo linalotia shaka juu ya safari yake kwenye elimu na taaluma kwa ujumla.
Pia soma: Kwahiyo Bunge mnatuambia Tarimba alisomba Cheti, Diploma na Degree kwa wakati mmoja? Ile Masters imeenda wapi?
View attachment 3352019
...kusoma na kuandika kiswahili !!!Sifa ya ccm ni kujua kusoma na kuandika
Sio mmiliki wa sportspesa yeye ni CEO Kwa bongomwamba ana degree za lottery na kubeti kama zote, si ndo mmiliki wa SportsPesa TZ huyu?

Hakuna makosa hapoDuu! Nahisi kutakuwa na makosa ya kiuchapaji hasa kwa hiyo tovuti ya bunge