Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Al Ahly
CR Belouizdad
Yanga
Etoile du Sahel

Au

Mamelod
Pyramids
Yanga
Etoile du Sahel

Au

Wydad
Petro du Luanda
Yanga
Etoile du Sahel

Au

Esperence
Simba
Yanga
Etoile du Sahel
 
Sasa ndio hapo wanapokosea, hutakiwi kutumia matokeo ya ligi za ndani kama kigezo cha kui rank timu juu kimataifa, maana ligi zinatofautiana
Hii mbona ni common sense
 
Ngoja ije ianze kunyesha tuone panapo vuja..mwana kulitaka mwana kulitafuta..ni suala la muda tu...haijaisha hadi iishe.
 
Umeona hiyo from 2019 source ilivyosema,? Usishupaze shingo ukawa kama utopolo wenzako ambao tunawajua jinsi walivyo humu jukwaani

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mpaka sàsa kwenye mabishano yenu wewe na changaule ni hivi yeye ameonyesha lugha ya uungwana mno kuliko wewe
 
Kama pots ndio zipo hivyo basi ile ndoto ya Yanga kulipa kisasi kwa Al Hilal haipo kwa hatua za makundi...
 
Sasa ndio hapo wanapokosea, hutakiwi kutumia matokeo ya ligi za ndani kama kigezo cha kui rank timu juu kimataifa, maana ligi zinatofautiana
Hii mbona ni common sense
Ku rank kitu gani? Wao wana deal na mwenendo wa timu kwa takwimu. Ukizungumzia mashindano hata mashindano ya kimataifa yanatofautiana. Klabu bingwa ulaya sio sawa na klabu bingwa Africa. Lakini wao hawa deal na ubora bali mienendo ya timu
 
Hawa deal na ubora? Kumbe ni rank tu isiyo na maana, ok basi poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…