Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Hii kwa mujibu ya Ligi kuu Tz ambayo Simba imepanda hadi ya 7 yanga pia imepanda hadi 17 View attachment 2769200

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Mimi nakupa international source wewe unanipa vi mtandao uchwara. Twende na hiyo hiyo Wikipedia au njoo na mitandao inayoeleweka.

Kwasasa tupo msimu gani wa mashindano ya CAF?
Na katika kufanya seeding ya mashindano ya msimu huu inachukuliwa ranking kwanzia msimu upi hadi upi?
 
hii regulation hasa huo mstari wa mwisho haukutakiwa kuwepo...... wamepoteza wino tu!

kwa sababu kila nchi inatoa A MAXIMUM OF TWO TEAMS kwenye kila mashindano ya CAF (CL & CC),..... na hapo hapo wanasema eti national association haiwezi kuwa na timu zaidi ya 2 kwenye kundi moja wakati kiuhalisia hakuna association yenye timu 3 kwenye shindano moja!

hio regulation inaruhusu timu kutoka chama kimoja kuwa kundi moja..... e.g yanga &simba zinaweza kuwa kundi moja, au pyramids na Ahly wanaweza kuwa kundi moja
 
Yanga ni sawa na kijana wa kimasikini aliyepatia hela ukubwani, lazima atakuwa limbukeni wa PESA tu... Mbwembwe nyiingi!

Simba yeye alishazoea kash kash za Champions league, nothing new to him.
Kwa goli la kujifunga plus advantage ya goli la ugenini!!
 
kuna kitu huelewi, wanaposema misimu 5 nyuma wanaanza kuhesabu misimu 5 iliyokamilika,.....
kwaio kwa ranking zilizotumika mwaka huu wameanzia msimu wa 22/23 kurudi nyuma , yani 22/23, 21/22, 20/21, 19/20, 18/19.......

point za 23/24 hazitumiki kwa sababu hakuna timu hata moja iliyokusanya point kwa msimu huu...... ofcoz simba yupo juu ya zamalek kwa hio ranking unayotumia ya wikipedia kwa sababu zamalek hashiriki mashindano ya CAF msimu huu na simba yupo makundi so technically kwa ranking ijayo simba atakua juu ya zamaleki (
 
Kwenye Wikipedia hawajaonesha kama Simba yupo juu ya Zamalek isipokuwa huyu jamaa anachanganga vitu. Kwenye Wikipedia wameweka ranking halisi kuelekea huu msimu wa mashindano ya 2023/2024 halafu pia wameweka na assumption ya rank ya msimu ujao wa 2024/2025. Sasa huyu anachukulia rank ya 2024/2025 ilihali huu msimu wa 2023/2024 haujatamatika.
 
Nasema hiviii Yanga hii sio ile hii ina kitu itafika mbali ila Simba chukueni tahadhari mapema dawa za Pressure hazipo so tulizeni akili mtaumia sana kwa hii Yanga hadi mtachoka na kuja kutuunga mkono
 

Weka vigezo ulivyotumia katika kupanga hizo pots amasivyo utaonekana mbabaishaji tu .
 
Kuna kitu kidogo ambacho tunashindwa kuelewana pale msimu mpya unavyoanza kwakua tupo 2023/2024 huu tuliopo kwakua ndio unaendelea hauhesabiki hadi timu itolewa na msimu kuisha hesabu inakua hivi msimu wa 2019/20
2020/21
2021/22
2022/23
2023/24 haujaisha kwakua unaendelea ukichukua points kuanzia hapo ranks ya simba ndio inapanda kuhesabika toka ya 9 hadi ya 7 ntaweka hapa points zinavyopatikana

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…