Uelekeo wa pots za Draw ya CAF Champions League 2023/24

Umeingia mkumbo haujafanya tafiti.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Msimu wa 18/19 ushafutika ndugu yangu. CAF wanahesabu hivi
2019/20 points wanazidisha na 1
2020/21 points wanazidisha na 2
2021/22 points wanazidisha kwa 3
2022/23 points wanazidisha kwa4
2023/24 huu tulionao hadi sasa hamna timu yenye points kizidishio ni 0 ili kupata current ranks msimu ukiisha poi nts zitazidishwa kwa 5. Hapa nadhani ndio hatulewani kwakua tunaubeba msimu wa 2023 kuuzidisha kwa 5

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Tufunge mjadala hapa.
Swali la kwanza je saivi tupo msimu wa mwaka gani wa michuano ya CAF?
Je huu msimu wa sasa tuliopo inachukuliwa ranking kwanzia mwaka gani hadi mwaka gani kufanya seeding?
 
Tufunge mjadala hapa.
Swali la kwanza je saivi tupo msimu wa mwaka gani wa michuano ya CAF?
Je huu msimu wa sasa tuliopo inachukuliwa ranking kwanzia mwaka gani hadi mwaka gani kufanya seeding?
Tupo msimu wa 2023/24 ambazo points zake bado,kuhesabu tunaanza kuanzia 2019/2020 tunaishia 2022/23

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Tupo msimu wa 2023/24 ambazo points zake bado,kuhesabu tunaanza kuanzia 2019/2020 tunaishia 2022/23

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Haya umesema kuwa tunaanzia 2019/2020 na kuishia 2022/2023
Tuje kwenye jibu lako tuhesabu.

1)2019/2020
2) 2020/2021
3) 2021/2022
4) 2022/2023

Je hapo imefikisha misimu mitano?
 
Aliyewadanganya Simba wa 7 ni nani? Simba ni wa tisa
1) Al Ahly
2) Wydad
3)Es Tunis
4) Mamelod
5)Raja
6)Zamalek
7)Berkane
8) Belouizdad
9) Simba
Sasa huoni hapo kwa mazingira yoyote yale Simba lazima angekuwa pot namba 2 tu hata zifuzu zote hizo coz timu 3 za Morroco zinazomzidi Simba haziwez kuingia zote Champions league ni mbili tu zinaweza cheza champions league
 
Upo sahihi
 
Haya umesema kuwa tunaanzia 2019/2020 na kuishia 2022/2023
Tuje kwenye jibu lako tuhesabu.

1)2019/2020
2) 2020/2021
3) 2021/2022
4) 2022/2023

Je hapo imefikisha misimu mitano?
Na juu nliweka hii tunachanganya kuanzia hapa,huu tunahesabu misimu mi 4 ya nyuma huu tulioanza kila timu ina point 0 hadi msimu uishe ndio znakuja hizi za group stage na kuendelea ztakazovunwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Na juu nliweka hii tunachanganya kuanzia hapa,huu tunahesabu misimu mi 4 ya nyuma huu tulioanza kila timu ina point 0 hadi msimu uishe ndio znakuja hizi za group stage na kuendelea ztakazovunwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kumbuka nilikuuliza swali gani. CAF hawafanyi seeding kwa rank ya misimu minne bali mitano. Kwahiyo mashindano ya msimu huu wa 2023/2024 CAF wanafanya seeding kwa kutumia 5 year ranking. Haya panga mwenyewe 5 years ranking kwaajili ya kufanya seeding ya msimu huu. Ziweke hapa 5 years ranking yako unahesabu tokea msimu upi mpaka upi?
 
Misimu mi 5 kabla ya msimu unaofuata kuanza kabla hatujaanza msimu wa 2023/2024 nakubaliana nawewe simba ilikua ya 9 na zamalek ya 7 kwakua walianzia 18/19 hadi ule wa mashindano kuisha ambao ni 2022/2023...msimu unapoanza tuu tulivyoanza huu mwezi wa 8 kila kitu kinabadilika na msimu wa 18/19 unaondoka rasmi kwakua tumeanza msimu mpya na huu mpya kila klabu inakua na point 0 baada ya mashindano kuisha timu zitapanda na kushuka kulingana na walichokivuna tutaona msimu huu 2023/24 na kizidio chake kitaku 5

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Msimu wa CAF ulipoisha mwezi wa 5 rank ilikua simba ya 9 zamalek ya 7 imedumu kwa miezi mi 3 ikiwa hivyo kwakua kwa miaka mi 5 walianzia hadi 2018/19 ila pale msimu tuu unapoanza kizidishio kinahama ndomana baada ya calendar tuu kuanza 2018/19 automatic unakua umeisha matumizi na timu zinapangwa kulingana na rank mpya, najua hatuelewani padogo tuu kwa kuweka sawa rank ya misimu mi 5 inadumu kuanzia mwisho wa msimu hadi kabla ya msimu mpya kuanza kwahiyo takribani miezi mi 3 au mi 4

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Nimekwambia niwekee 5 year ranking unavyojua wewe ambayo itatumika kufanya seeding ya mashindano ya msimu huu itaanzia msimu upi hadi upi.
Labda kama hujui seeding inaanza kutumika wapi?
Hatua ya preliminary na second round ni seeding ya 5 years ranking ndio iliyotumika kupanga mechi za playoff, na hata timu kuanzia away na home ni kutokana na kutumia 5 years ranking. Hatua ya makundi zile pots zinawekwa kutokana 5 years ranking na hata upangaji wa mechi za home na away katika hatua ya makundi hupanga kufuata hiyo hiyo ranking hadi ngazi ya fainali ni mwendo wa seeding tu. Ukiona timu inaanzia away dhidi ya timu nyingine kwenye robo, nusu, au fainali basi ujue anayeanzia away ana point nyingi kuliko mwenzie na hapo imetumika 5 years ranking.

Sasa nipangie 5 years ranking yako wewe itakayotoa muongozo wa haya mashindano ya CAF msimu wa 2023/2024 kwanzia ngazi ya awali hadi fainali unatumia rank ya kwanzia msimu upi hadi upi?
 
Kizidishio kitabadilika kwaajili ya michuano ijao kwasababu coefficient inakuwa imebadilka. Halafu kama ulikuwa hujui zile vizidisho ni miaka ile
Ile 5 maanake ni mwaka wa 5
Ile 4 maanake mwaka wa 4
Ile 3 maanake ni mwaka wa3
Ile 2 maaneke ni mwaka wa 2
Ile 1 maanake ni mwaka wa 1
.kwahiyo point zinazidishwa mara miaka.

Rank huwa inaishia anapopatikana bingwa mpya wa mashindano ya CAF interclub championship
 
Kabla msimu kuanza 5 ranking inakua

2019/2020
2020/2021
2021/2022
2022/2023
2023/2024 una kizidishio cha zero

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Natamani Yanga na Simba wasipangwe kundi moja, ili kila timu ipite kwenye kundi lake.
Ikitokea wamepangwa kundi moja itabidi waungane tu kufanya hujuma zote ila katika kundi lao wapite wote wawili kwenda robo fainali.
Kama Yanga na Simba wataacha ushabiki Maandazi na kuamua kushirikiana for benefits, basi baada baada ya nusu fainali itakua imeshajulikana kuwa Mshindi atatokea Tanzania.
 
Kuanzia pale bingwa anapopatikana mwezi wa 5 hadi wa 9 rank inabadilika,ule msimu wa mashindano kizidishio ni zero inabidi tujue zero nayo ni namba kama namba zengine,cummulative za points ndio zitakazoibeba timu kwenye pot kwwnye mwaka wa mashindano najua ukakasi unakuja kwenye zero(0) ila tujue hii pia ni namba

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…