Mkuu ili jambo nimeanza kumueleweaha tokea jana jamaa kuelewa kawa mgumu. Kaja mtu mwingine kamuelesha kawa mgumu. Sasa wewe utakuwa mtu wa tatu sasa kumueleweahaWanaanzia 2018/2019 mkuu ili kupata misimu mitano.
Msimu huu ukiisha 2024/2025 ndiyo wataanza kuhesabu points 2019/2020.
Wikpedia una waamini? Maana msimu wa 2024/25 wamemweka simba mbele ya zamalek ukasema ni assumption sasa kweli rank inaweza kuwa assumed? CAF kwenye page yao rasmi ndio kuna uhakika zaidiDah mkuu, mbona unashindwa kuwa muelewa kiasi hiki?
Nimekupa hiyo reference ya msimu uliopita ili upate kuelewa ni namna gani seeding inafanyika. Wewe unasema ili kufanya seeding katika mashindano ya msimu huu, huwa wanachukua na ranking ya msimu na kuhesabu ni 0. Kitu ambacho nimekwambia sio sahihi msimu huu unahesabika kwa mashindano ya msimu ujao. Ila kwa msimu huu wanachukua misimu mitano ya nyuma. Nikakupa na reference ili uone sheria ipoje ya seeding na je ni namna gani msimu mashindano yaliyopita wamefanya seeding
Ili isiwe assumption naomba matokeo ya msimu huu nani bingwa wa CAF 2023/2024?Wikpedia una waamini? Maana msimu wa 2024/25 wamemweka simba mbele ya zamalek ukasema ni assumption sasa kweli rank inaweza kuwa assumed? CAF kwenye page yao rasmi ndio kuna uhakika zaidi
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Yawezekana haelewi lugha au kuna anabisha kwa facts tofauti na zilizopo.Mkuu ili jambo nimeanza kumueleweaha tokea jana jamaa kuelewa kawa mgumu. Kaja mtu mwingine kamuelesha kawa mgumu. Sasa wewe utakuwa mtu wa tatu sasa kumueleweaha
Shida midomo mirefu, bora wakutane ngebe ziishe.Hii haifai itafanya timu zote za tz ziishie hatua ya makundi kwa kunyang'anyana points.
Msimu wa 2021/2021 ilitokea kwa Al hilal na El Merreikh wakaishia group stages similar kwa Esperance na na Etoih sahel.
Kwaio sio credible source? na kama sio credible source haiwezi kuaminika ?Ili isiwe assumption naomba matokeo ya msimu huu nani bingwa wa CAF 2023/2024?
timu zipi zimefuzu nusu fainali ya CAF 2023/2024?
Zipi zimefuzu robo fainali msimu huu wa 2023/2024?
Kama utanipa hayo majibu basi itakuwa sio assumption bali ni uhalisia.
Njoo na majibu
Shida sio lugha,shida jinsi ya upatikanaji wa points ndio tunatofautianaYawezekana haelewi lugha au kuna anabisha kwa facts tofauti na zilizopo.
Hua sina mda wa kubishana na mtu, vitu vipo wazi unaeleshwa umekomaaHoja unayo? Hivi vitu tunavyovijadili unavijua? tuanzie hapo maana mwenzio sio Yanga oya oya
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Unalipwa sh ngapi kuhangaika na hicho kiazi? mwache na ujinga wake mwambie yupo sahihiDah mkuu, mbona unashindwa kuwa muelewa kiasi hiki?
Nimekupa hiyo reference ya msimu uliopita ili upate kuelewa ni namna gani seeding inafanyika. Wewe unasema ili kufanya seeding katika mashindano ya msimu huu, huwa wanachukua na ranking ya msimu na kuhesabu ni 0. Kitu ambacho nimekwambia sio sahihi msimu huu unahesabika kwa mashindano ya msimu ujao. Ila kwa msimu huu wanachukua misimu mitano ya nyuma. Nikakupa na reference ili uone sheria ipoje ya seeding na je ni namna gani msimu mashindano yaliyopita wamefanya seeding
Sawa muhogoUnalipwa sh ngapi kuhangaika na hicho kiazi? mwache na ujinga wake mwambie yupo sahihi
Kila msimu wa mashindano, Simba Sc huchukuliwa kama vibonde wa group ila hawajawahi kubaki.Naona msimu huu makundi yatakuwa ya moto saana, humo vibonde ni wachache, huenda sisi wekundu wa msimbazi tukawa vibonde pia msimu huu.
Ila wewe jamaa ukifuatilia mtiririko wa majibizano yenu..... Umeonesha una tatizo kubwa la kujua kimalkia. Halafu mbishi mno japo umetumia maneno ya kejeli ila mwenzio hakukujibu kwa kejeli....
Kinachofanyika hapo ni hao wa pot 1 ndio waundaji wa makundi yaani Kundi A mpaka D halafu baada ya kuunda makundi hayo, kila pot moja atachomolewa timu moja moja (pot 2 mpaka 4 ni machambo) hivyo kila chambo mmoja atanyofolewaNaona msimu huu makundi yatakuwa ya moto saana, humo vibonde ni wachache, huenda sisi wekundu wa msimbazi tukawa vibonde pia msimu huu.
Sijui kama kuna sehemu nimetamka hivyo, labda ku assume kwako ndpo kuondoa credibility ni sawa. Ila nachojua wao wameweka rank ambayo haina matokeo ya msimu huu. Na isitoshe hiyo kubishana kwa mimi nawewe sio hilo bali ni swala la mashindano ya msimu huu seeding wanachukulia kwanzia msimu upi mpaka upi. Ila kikubwa nimejaribu kadri ya uwezo wangu kukuelewesha, haikuishia hapo wamekuja watu wengine kukufundisha ila uelewi. Basi mkuu baki na unachokijua.Kwaio sio credible source? na kama sio credible source haiwezi kuaminika ?
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hapa tulikua tunatofautiana kwa kile ambacho mimi najua kinatumika nawewe ambacho unajua kinatumika,kama unakumbuka mwezi july ndio ilitoka iyo ranks ya Simba kuwa wa 7 ndio ni kawa natumia jinsi imekuaje kuaje,,,kutofautina ni jambo la kawaida embu mcheki huyu mchambuzi naye anaamini ninacho aminiSijui kama kuna sehemu nimetamka hivyo, labda ku assume kwako ndpo kuondoa credibility ni sawa. Ila nachojua wao wameweka rank ambayo haina matokeo ya msimu huu. Na isitoshe hiyo kubishana kwa mimi nawewe sio hilo bali ni swala la mashindano ya msimu huu seeding wanachukulia kwanzia msimu upi mpaka upi. Ila kikubwa nimejaribu kadri ya uwezo wangu kukuelewesha, haikuishia hapo wamekuja watu wengine kukufundisha ila uelewi. Basi mkuu baki na unachokijua.