Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

good
 
Hivi huko madrasa huwa mnaondolewa ubongo?

Labda nikuulize wewe,hayo mafuta unayopewa na mwamposa na kuambiwa uyakanyage,yatakusaidia vip kutibu hayo magonjwa ya zinaa ulliyonayo ndug yangu,ushaur wa bure wewe wahi hospital tuu
 
Mkataba ni makubaliano ya kisheria
 
Mkataba ni makubaliano ya kisheria
Sawa kabisa. Sisi bado hatuna mkataba tuna makubaliano ambayo mpaka tupitie kwenye michakato iliyowekwa kwenye makubaliano ndiyo kutaandikwa mkataba kwa kila kitakachofanyika. Tutakuwa na mikataba mingi tu, siyo mmoja.

Ujiuwe hivi tunavyopigana porojo hapa JF, wanasheria na mawakili wapo busy kweli kweli kutayarisha mikataba ya kiutendaji. Ndiyo maana wenye kufahamu kinachoendeklea sasa hivi wapo kimya wanatuchora tu, pengine hawana hata muda wakupitia sicial media.

Na Wale amabo wanajuwa hiyo mikataba itakuwa ni vigingi vya kuzuwiya madhambi tao wapo busy kweli kweli kuudanganya umma ili aidha wacheleweshe au wakiweza itokee fujo mikataba isifanyike kabisa.

Uzyri ni kuwa Serikali ya Tanzani inalielewa hilo. N aserikali ya Dubai wanalielewa sana na Dubai ni wafanyabiashara wa na wawekezaji duniani, kwa hiyo haliwapi shida tena ni vizuri samna kibiashara.
 
Hongera DP
 
Sasa tumegeuka taifa la wajinga tusio na mwelekeo, kila mmoja anajitazama binafsi hajali jirani yake ana shida gani, wabunge wamegeuka walafi licha ya mishahara mikubwa na posho, lakini bado wanadanganyika kwa rushwa, tena mbaya zaidi, rushwa inayozitoa sadaka rasilimali za nchi yetu, hii kwangu ni laana.
 
Huyu Mbunge nazani hajielewi??! Hakuna mtu anyepinga Iwekezaji ila watu hawataki mikataba ya kinyonyaji kama huu wa DpW
 
Mmepata taarifa kwamba wabunge waliokuwa wanasafiri wamepata ajali, naomba maoni yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…