Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

MKATABA WA BANDARI NI WA KIUHAINI,UMEVUNJA KATIBA YA NCHI NA UTAKWENDA KUVUNJA SHERIA ZA NCHI -MWANASHERIA DR NSHALA RUGEMELEZA.

"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa,angalia ibara ya 10,18 na 27 ya mkataba huo ndio utagundua waliosaini mkataba huo walikuwa na dhamira ya kuuza nchi" Mwanasheria Rugemeleza.

Yote yanayofanywa sasa na Serikali ni propaganda kiwaaminisha watu walichofanya ni sahihi,na kilikuwa na nia njema,sasa hatuwezi kuruhusu nia njema kuuza rasilimali zetu-Mwanasheria Rugemeleza.

"Namshukuru Daktari Slaa kwa kulisemea hili,nawashukuru wote waliosimama kuhesabiwa kulisemea jambo hili la kuuzwa kwa rasilimali zetu,nilitegemea Bunge lingeweza kumuwajibisha Rais,kwa maana hakuna aliye juu ya sheria,lakini haikuwa hivyo" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mtu mwenye hulka ya wizi lazima atatuibia,mtu mwenye uwezo mdogo wa akili haiwezekani leo ageuke mwenye busara" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa kwa kuuangalia tu kama hauna majeraha ya akili na akili yako iko sawasawa utagundua ule ni mkataba batili,ule ni mkataba haramu,ule ni mkataba usio weza kutetewa na mkataba wenyewe umejivika madaraka kuwa juu ya sheria ya nchi katika ibara ya 27" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa kwa kuuangalia tu kama hauna majeraha ya akili na akili yako iko sawasawa utagundua ule ni mkataba batili,ule ni mkataba haramu,ule ni mkataba usio weza kutetewa ni mkataba unaovunja katiba yetu ya nchi moja kwa moja na mkataba wenyewe umejivika madaraka kuwa juu ya sheria ya nchi katika ibara ya 27" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba uliosainiwa unajiweka juu ya sheria ya nchi, mkataba unajiweka juu ya katiba ya nchi,unagandisha sheria za kodi,halafu niliwasikia watu kama kina Tulia wakifokea fokea watu,mtoto mdogo unafokea fokea watu,nilichogundua hajui sheria za mikataba ya kimataifa" Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba utaisha siku shughuli za bandari zitakapokwisha, mkataba hausemi manufaa ya uwekezaji huo,ni lipi andiko limeandika manufaa ya uwekezaji huo na kusema tunamuhitaji mwekezaji huyu, mkataba utatumia sheria za kodi za siku iliyosainiwa,hautalipa tozo,halafu Mbarawa anatueleza mkataba huu una manufaa,ni yapi hayo manufaa ikiwa mkataba utakuwa juu ya sheria zote za nchi yetu?" Mwanasheria Rugemeleza.

"Viongozi matumbo wamefanya maamuzi ya vizazi vijavyo bila kuzingatia usawa,Wajukuu wetu watakuwa wanaiangalia bandari kama wanavyomuangalia Mama Mkwe na wasifanye lolote, Mkataba wa Rio unasema kufanya maamuzi juu ya vizazi vijavyo kwa kuzingatia usawa, Mkataba unasema utaisha siku,Mwenyezi Mungu akisema Dunia imefika mwisho,tutatawaliwa na Dubai hadi siku Dunia ikifika mwisho"Mwanasheria Rugemeleza.

"Viongozi awa ndio tunawapisha barabarani kwenye misafara yao,Rais aliapa kuilinda na kuitetea katiba,je alichofanya ndicho!!?? sicho,amepoteza uhalali wa kuwa Kiongozi wetu" Mwanasheria Rugemeleza

"Kitendo cha bunge kupitisha mkataba ule ni aibu,ni dharau kwa nchi,awa watu wameisaliti nchi yetu,wote waliosaini na kupitisha ule mkataba majina yao yaandikwe msaliti,mhaini,tuwakemee watu awa kwa hasira maana wameisaliti nchi yetu" Mwanasheria Rugemeleza.

"Na kuhusu suala la Katiba Mpya,nashauri tukae tuchague watu wa kwenda kutuandikia katiba yetu lakini sio awa waliopo" Mwanasheria Rugemeleza

"Ibara ya 14 kuhusu fidia (Prompty and adequate compassition) utalipa fidia ya hasara ya Sasa na ya mbeleni iliyopotea inapingana na ibara ya 24(2) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayosema alipwe fidia inayostahili,inapingana na ibara ya 4 na ibara ya 2 la Umoja wa mataifa ya International investment law inayosemwa alipwe fidia inayostahili,Mimi PhD yangu ni ya International investment law na nimesomea Havard,na Mimi sio Mwanasheria uchwara,huu mkataba umeiuza nchi na kukiuka katiba ya nchi yetu" Mwanasheria Rugemeleza

"Mkataba uliosainiwa ni "Binding Agreement" hakuna namna ya kujitoa,kuna propaganda zinasema eti tungoje HGA,this is nonsense,itategemea vipi HGA wakati IGA unasema hauna namna ya kujitoa na ukitaka kujitoa uende katika mahakamani za kimataifa,angalia ibara ya 10,18 na 30 ya mkataba huo ndio utagundua waliosaini mkataba huo walikuwa na dhamira ya kuuza nchi" Mwanasheria Rugemeleza.

"Spika alikuwa anakuja kwetu kama mwanafunzi wa kujifunza intern kuulizia haya mambo ya International investment law,Leo anajifanya yeye anajua sana,hii ni kejeli,dharau na jeuri,hii inatuonesha sisi Watanzania hatujawafundisha viongozi wetu kutuheshimu,zile kanuni za Tanu wao hawajazisoma,kwa hiyo sisi wanatufanya watwana wao,ndio maana licha ya ibara 27 kusema Tanzania itawajibika kwa Dubai,wao wanakata mayenu wanasema mkataba huu uko sawa sawa"Mwanasheria Rugemeleza.

"Ukiangalia ibara ya 28 uhaini mkubwa umefanyika dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mkataba huu wa bandari na hili nalisema bila kumung'unya maneno haya yamefanywa na Kiongozi namba moja,bunge na wote waliosaini" Mwanasheria Rugemeleza

"Viongozi wetu hawana uhalali wa kuendelea kukaa madarakani,wenzetu waislamu kama umemtendea baya lazima akuoneshe alivyochukia, Watanzania lazima tuoneshe tulivyochukia,hapa lazima tuvue gloves,kama kupigwa basi zipigwe kavu kavu kuonyesha jinsi tulivyochukia" Mwanasheria Rugemeleza.
"Mimi sio mtoto mdogo tena,nimepata miaka yangu yote ya kuishi na nimepata akili nyingi juu ya sheria za nchi na kimataifa,namshukuru Mungu,Sasa siwezi kuruhusu mtoto wangu au mjukuu wangu aishi katika ujinga namna hii,huu ni mkataba haramu,danyanyifu,mkataba wa kuuza nchi, mkataba uliovunja katiba"Mwanasheria Rugemeleza.

"Mkataba huu umevuja kwa namna ya ajabu sana,je mikataba mingapi haijavuja na kuna madudu kama,uliposainiwa mkataba huu ilisainiwa mikataba mingine mingi hapo Dubai,kwa hili lililotokea tutawaamini vipi awa viongozi wetu,wamepoteza uhalali wa kuaminiwa na Wananchi"Mwanasheria Rugemeleza.
Duh! Minotes yote hiyo!
Nani asome. Na ukute humo ndani hakuna ht jipya zaidi ya kurudia wimbo wenu huo huo. Haya sasa
Wenye bandari yao washaiuza and you've nothing to do
 
Hapa tunafahamu, watu mioyo inawanyonga, matumbo yanawakata.


Mama Samia anaupiga mwingi Kitaifa na Kimataifa.
 
Wewe, tumesema hatutaki ngonjera, sema wewe unaupinga nini, kama huupingi sema siupingi.
Napinga kitendo cha DPW kuwa na mamlaka ya kututafutia mfadhili badala ya TPA ambayo ina mamlaka ya kusimamia bandari kwa mujibu wa sheria
 
Duh! Minotes yote hiyo!
Nani asome. Na ukute humo ndani hakuna ht jipya zaidi ya kurudia wimbo wenu huo huo. Haya sasa
Wenye bandari yao washaiuza and you've nothing to do
Haswaa.
 
Mama Samia unajuwa huu ukanda wa pwani wote kwa maili kumi (kilomita 16) ni mali ya Zanzibar, uza tu usibakishe.


Hii mijitu yakuja na mwenge wapi na wapi kuendesha bandari

Wala mama usiwe na shaka, tukitoka hapo DP World waktutemgezee pesa Mwanza , Chato, Kagera, Kigoma kule Mbamba Bay, kote huko mibandari ya uhakika.

Hawa wanaopiga kelele watakuja kutuomba kazi.


Maana kuiba bandarini ndiyo kunakatika huko,


Hiyoooooo imetoka, hairudi.


Mama anasema, gari lake halijawekewa breki, mbele kwa mbele tu.
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Mnaweza mkazani Yuko kimya anapiga kazi kumbe Maji yako Shingoni yamemkaba hawezi Hata kufurukuta
 
Mwendazake mwenyewe alipotumiwa kopi kabla hazijasainiwa MoU akapiga simu akauliza Dada Samia, umewezaje waliposhindwa wenhgine
Unapoendelea kuupamba huu mkataba Acha kumtaja "MWENDAZAKE,". Hahusiki hata kidogo kwenye hili.
 
Unapoendelea kuupamba huu mkataba Acha kumtaja "MWENDAZAKE,". Hahusiki hata kidogo kwenye hili.
Kumbe ni hivyo, nilifikiri ni yeye ndiye alimtuma Mama Samia mwaka 2020 akasaini MoU. Dubai.

Kumbe alikuwa hahusiki kabisa? ahsante kwa kuliweka sawa hilo.
 
Hiki kibibi akaunti yake ifungwe hapa JF. Kimeshajichokea akili mpaka mwili.
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
 
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema.

Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba inayohusiana na suala hilo, ili bandari iwe sehemu ya kuchangia Pato la Taifa na kuletea maendeleo. Waliyasema hayo jana wakati wanachangia hoja ya Mapendekezo ya Serikali kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2023/24.

Mbunge wa Jimbo la Ukonga (CCM), Jerry Silaa, alishauri serikali isikubali maneno ya watu wasiotaka iendelee kiuchumi ambao wanapinga uamuzi wake wa kushirikisha sekta binafsi kwenye maendeleo, ikiwamo ushirikiano ilioyongia na Serikali ya Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari nchini.

Alifafanua kuwa IGA siyo mkataba wa utekelezaji bali ni makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji utakaofanyika kwenye bandari zilizopo katika chi hiyo na kwamba mikataba ya kwenda kutekeleza miradi bado haijaingiwa.

Silaa alisema ushirikiano huo utaongeza ufanisi wa bandari na kufikia malengo ya serikali ya kukuza uchumi wa nchi kwa kuongeza forodha na kuboresha sekta za uchumi ikiwamo kilimo.

"Niombe serikali ikubali ushauri, isikilize wananchi, lakini wakati mwingine isikubali kuyumbishwa na watu wenye nia zao za kuitaka nchi yetu isiendelee kiuchumi, ikubaliane na hoja za msingi za kutetea taifa letu, tuwe na uwekezaji na kushirikisha sekta binafsi katika ameneo ambayo wenzetu wamebobea," alisisitiza.

Kadhalika, alisema serikali haiwezi kupiga hatua bila ushirikiano na sekta binafsi huku akitoa mfano wa moja ya mafanikio ya ushirikishwaji wa sekta hiyo kuwa ni Benki ya NMB ambayo hivi karibuni serikali imevuna gawiwo la Sh. bilioni 45.5 na kodi ya Sh. bilioni 453.

Aidha, Mbunge huyo alishukuru serikali kwa kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ikiwamo ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere, ambalo utekelezaji wake umefikia asilimia 96, ujenzi wa reli za umeme na adaraja la Kigogo Busisi, mradi wa mwezndo kasi awamu ya tatu, Gongo la mboto-Kariakoo.

Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani (CCM), Subira Mgalu, alishauri serikali kuchukua hatua za haraka kuleta mikataba itakayotokana na IGA ili wawekezaii waje na bandari iwe na nafasi ya kuchangia katika pato la ndani la taifa na serikali ipunguze kukopa.

Kahusu hoja ya kuitwa mbunge mmoja mmoja kupigia kura muswada huo iliyotolewa na mbunge mstaafu Prof. Anna Tibaijuka, alisema hauna mashiko kwa kuwa utaratibu huo unafanyika kwenye kupitisha bajeti ya serikali pekee, masuala mengine ni utaratibu wa kuhojiwa na walishafanya hivyo.

"Lakini nataka nimkumbushe Prof. Tibaijuka alipokuwa waziri 2013 aliwasilisha mpango wa kuifanya Kigamboni kuwa mji wa trilioni 11, haukufanikiwa na tulioupitisha kwa kura za kuhojiwa kwa hiyo aiache serikali inayoongozwa na mwanamama menzie (Rais Samia Suluhu Hassan) ifanye kazi yake," alisema.

Hivi karibuni, Prof. Tibaijuka akihojiwa na chombo kimoja cha habari, alikosoa utaratibu wa kura ya pamoja uliotumiwa na Bunge katika kupitisha Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na serikali ya Dubai kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kijami kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari Tanzania.

Aidha, aliwatoa hofu wananchi kuwa bandari haiwezi kuuzwa kwa serikali kugawana idadi ya gati na mwekezaji bali mbinu iliyotumika ni kushirikisha sekta binafsi katika kukuza utendaji kazi wa bandari na kukuza uchumi wa nchi.

Vile vile, alisema bajeti kuu imeonyesha dhamira ya serikali ya kureiesha uuzwaji wa bidhaa nje ya nchi kwa kutenga zaidi ya Sh. bilioni 800 wazalishaji wa mazao, ili kuliletea taifa fedha za kigeni na kukuza uchumi.
Pia, katika mapendekezo ya bajeti ya serikali inatarajia kukusanya Sh. trilioni 44, kati ya hizo Sh. trilioni 31 zitakusanywa kutoka mapato ya ndani na kwamba ni lazima seri-kali ishirikishe sekta binafsi katika uwekezaji.

Aliwataka wananchi kuendelea kutoa na kudai risiti wanapofanya ununuzi ili kuhakikisha kuwa wanalipa kodi na serikali isiendelee kuleta kodi mpya kwa kuwa inategemea pesa hizo kutekeleza miradi ya maendeleo. Mbunge wam Sengerema, Hamis Tabasamu, alimshauri Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kutokatishwa tamaa na maneno yanayozunguka mitandaoni na mitaani bali kuwa na imani jambo analolifanya litakwenda kuiletea mafanikio nchi.

"Kuna watu ni majemedari wa kupiga kelele kwenye mitandao na kila maeneo, Mheshimiwa Waziri wa Fedha, maneno haya yangekuwa yanatoboa mwili wako leo ungekuwa umejaa viraka na bandeji mwili mzima, kwa hiyo unachotakiwa sasa hivi ni kuwa na ngozi ngumu tu kujenga imani halafu baadaye unatoboa," alisema.

Alimshauri waziri huyo kuwashirikisha wabunge wakati wa uandaaji wa baieti hizo ili watoe ushauri wa vitu muhimu vya kuwapo na kutokuwapo kwa kuwa wao wanajua matatizo ya wananchi ambao wengi wao kukosa pesa ndiyo kunawafanya waitukane serikali kwenye mitandao.​
Huyu nae ana stress za kutopanda kitonga
 
Sawa, ila sasa...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

Zina ukuu upi hizo unazoziitan"hoja" ? Sema ni muono wako, siyo hoja hizo.


Ngoja tukupe darsa:

Ukiwa unaongelea "hoja" za kisheria kwa kupinga (cons) inabidi uje na kifungu unachokiongelea na sheria inachokipinga hicho kifungu.

Nje ya hapo unakuwa hupingi wala huungi mkono, unakuwa ni shahidi wa kudanganya wajinga wenzako kwa kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Ukisimamishwa mbele ya baraza la usuluhishi unaweza kulipa gharama kwa kupotezea watu muda.

Kajipange upya.

Punguani wahed.
 
Sawa, ila sasa...

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

Tofauti ya makubaliano na mkataba inabidi kwanza kabisa ujieleze hayo "makubaliano" au "mkataba" yapo kwa lugha ipi?

Kama ni Kingereza:

Makubaliano = Agreement.

Mkataba = Contract.

Kuhusu "ukomo" wa huo usiouelewa wewe kama ni makubaliano au mkataba, kasome kifungu cha 5:4.

Ni miezi 12 tu, lazima kimojawapo Kieleweke.
 
Back
Top Bottom