Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Bandari yetu itazidi hii hapa 👇
 
Huyu ajuza ni mdini wala hana lolote
Anapima watu akili ,yeye sijui anaunga mkono hiyo katiba kwa namna gani maana wanaounga mkono wote ni mamluki ,chawa wakubwa ,wazandiki,wachumia tumbo,hizi zama zilishapitwa na wakati,tunahitaji mdahalo wakitaifa tuna mengi yakuhoji na kuishauri serikali ,wateule hawezi kufanya hii kazi maana hawako kihalali katika bunge huyu dada hawezi kujua hili
 
Bandari yetu itazidi hii hapa 👇

HIZI NI KESI 20 ZA DP WORLD AMBAZO HAZIJAISHA NA ZINAENDELEA DUNIAN KWA UTAPELI WAO
Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court:

1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Kenya.
2. DP World v. Ethiopia (2022). The ICSID is also currently hearing a case brought by DP World against Ethiopia. DP World is seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Ethiopia.
3. DP World v. Djibouti (2021). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Djibouti. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Djibouti.
4. DP World v. Pakistan (2020). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Pakistan. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Pakistan.
5. DP World v. India (2019). The ICSID dismissed a case brought by DP World against India. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by India.
6. DP World v. Argentina (2018). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Argentina. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Argentina.
7. DP World v. Chile (2017). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Chile. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Chile.
8. DP World v. Uruguay (2016). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Uruguay. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Uruguay.
9. DP World v. Peru (2015). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Peru. DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Peru.
10. DP World v. Brazil (2014). The ICSID dismissed a case brought by DP World against Brazil.
DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by Brazil.It is important to note that these are just a few of the many cases that DP World has been involved in. DP World is a major player in the global port industry, and it has been involved in a number of disputes with governments around the world.
These disputes have often been complex and have involved significant financial stakes.The cases listed above are still ongoing, and it is not yet clear how they will be resolved. However, they provide a glimpse into the challenges that DP World faces as it operates in a number of different countries.

*Be prepared for the worse and expect for the best-Shipping,Oil and gas and Pharmacetical industry are most and very very attractive,technical ,complex,corruptive, and expensive to run indistry whether in America,Asia,Australia or Africa.There is lucrative profits and grievious losses and disputes expected in those business operations and investments.

Image
 
Bi Faiza na wengine mnaoshiriki dhambi hii Kwa Taifa letu jueni kuwa mtalipa ninyi na vizazi mbele yenu.

Tusubiri.
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Pambana maan hakuna namna kikubwa mkono uende kinywani!! NB; Hakuna kaz rahis wazee hata uchawa ni mgumu bandugu!!
 
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Tunachokataa ni wazanzibari kuuza rasirimali za Tanganyika huku ya kwao wakireserve kwa ajili ya vizazi vyao. Leo hii mtanganyika hawezi kumiliki hata kipande cha ardhi Zanzibar lakini wao wakiuza Bandari zetu kuanzia ukanda wa Pwani hadi lake zone tena bila ukomo.
Mbona hamtaki kuwazuia hao waarabu wenzenu Bandari yenu ya Zanzibar?!
 
Tunachokataa ni wazanzibari kuuza rasirimali za Tanganyika huku ya kwao wakireserve jwa ajili ya vizazi vyao. Leo hii mtanganyika hawezi kumiliki hata kipande cha ardhi Zanzibar lakini wao wakiuza Bandari zetu kuanzia ukanda wa Pwani hadi lake zone tena bila ukomo.
Mbona hamtaki kuwazuia hao waarabu wenzebu Bandari yenu ya Zanzibar?!
Hivi wewe kwa jina lako hilo, siyo Msudani Kusini kweli?
 
Pambana maan hakuna namna kikubwa mkono uende kinywani!! NB; Hakuna kaz rahis wazee hata uchawa ni mgumu bandugu!!
AlhamduliLlah, Uislam ndiyo dini pekee duniani inayoamini kuwa Rizki haitoki kwa Mtu, bali kwa Mwenyewe Muumba.

Hapo umebugiii. Humtishii kula Muislam.

hata uzuwie vipi, Allah akisema kuwa, inakuwa.
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).

Tunapinga vifungu vya MOU ambayo havina manufaa kwa taifa na wataalamu wameshaeleza vifungu hivyo unahitaji marudio tena!

Je wewe unaona vifungu hivyo vina manufaa gani kwetu.

Hakuna mtu ambaye hataki uwekezaji wataalamu wanataka vifungu vingine vya MOU virekebishwe badala ya viongozi wetu kwenda kurekebisha wanatumia muda mwingi kupotosha na kupinga hata pale ambako DP world yenyewe haijasema hawawezi kurekebisha . Kila cha ajabu sana
 
AlhamduliLlah, Uislam ndiyo dini pekee duniani inayoamini kuwa Rizki haitoki kwa Mtu, bali kwa Mwenyewe Muumba.

Hapo umebugiii. Humtishii kula Muislam.

hata uzuwie vipi, Allah akisema kuwa, inakuwa.

Kwa mawazo yako! Tunavyotoa mawazo tuwe makini haya ni maono yako na uelewa wako. Kusema ni Dini pekee ni kukosea ongelea dini yako usihusishe za wengine ambazo huzijui vizuri
 
AlhamduliLlah, Uislam ndiyo dini pekee duniani inayoamini kuwa Rizki haitoki kwa Mtu, bali kwa Mwenyewe Muumba.

Hapo umebugiii. Humtishii kula Muislam.

hata uzuwie vipi, Allah akisema kuwa, inakuwa.
Ila mtume Muhammad hajasema usapoti unyonyaji ili upate riziki!! DP world mkataba wake sio haki kwa watanzania!! Kama kwel ww ni mfia dini Simamia haki. NB; Pesa ni adui wa haki
 
Kwa mawazo yako! Tunavyotoa mawazo tuwe makini haya ni maono yako na uelewa wako. Kusema ni Dini pekee ni kukosea ongelea dini yako usihusishe za wengine ambazo huzijui vizuri
Hahahahahaha

Mama Samia Hoyee, katuletea Waarab, In Shaa Allah mabinti zetu waolewe na Waislam, waende Dubai.
 
Ila mtume Muhammad hajasema usapoti unyonyaji ili upate riziki!! DP world mkataba wake sio haki kwa watanzania!! Kama kwel ww ni mfia dini Simamia haki. NB; Pesa ni adui wa haki
Hujuwi unachokiongea. Siyo kosa lako.
 
Back
Top Bottom