Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Mkataba usihusishe bandari za Bara pekee, bandari za huko kwenu Zanzibar ziunganishwe pia. Salamaleko mpenzi?
Unajitia chizi?!!!

Mh.Rais Kagame alionesha nia ya kutaka apewe bandari ya Dar....hujiulizi ni KWANINI hakutaka za Zanzibar?!!![emoji15][emoji1787]

Hivi shule mnakwenda kusomea upumbavu?!![emoji15][emoji1787]
 
We phunga nani alikuambia shule wanafundisha ujambazi wa CCM?
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Mtu anayejitambua hawezi kusapoti mkataba wenye ukakasi watu wengi wasomi na mashuhuri wameshathibitisha kuwa mkataba una matatizo.
 
Usemao wasomi na hao mashuhuri wanachoelezea ni hisia zao tu....

Uhalisia ni kuwa mkataba huu uko vyema na unakwenda kuliinua taifa kiuchumi.....
 
Kwa kuwa nimeshaelewa kumbe watu wanapinga wala hawajuwi wanachopinga.

Sasa kama hiyo iliyaumiza mioyo yenu, sasa jitayarisheni kuzikwa kabisa.

Huo ni mmoja tu. kuna mikataba 36 ya maendeleo na ushirikiano na Dubai na UAE kwa ujumla.

Nani katika huu uzi huu anafahamu kuwa MoU 36 zilisainiwa Dubai wakati wa Expo 2020 mwaka mmoja kabla mwendazake hajaenda zake, mama Samia akasifiwa sana wakati huo kwa ushindi huo. Mpaka Mataifa ya nje yoe yakawa yanajiuliza huyu mama kaweza vipi?

Mwendazake mwenyewe alipotumiwa kopi kabla hazijasainiwa MoU akapiga simu akauliza Dada Samia, umewezaje waliposhindwa wenhgine? Hawa wajomba zako wanakuheshimu sana, hapo hapo akaongea na watu wengine huku anajisifu, sasa mlitaka nimpeleke mmakonde kwa Waarabu? akimaanisha Majaliwa? "nimempeleka Mwarabu mwenzao wanaongea lugha moja. Dah lakini wamemheshimu sana, MoU 36 siku moja? Msichelewe zipitieni haaraka wasaini, hawa Waarabu hawapendi mambo ya kuchelewachelewa.

Huyo ndiye Mama Samia na huko ndipo palipoanzia mkataba huu t-unaozungumzwa sa, huu ni Bashraf tu, mziki kamili haujaanza, ndiyo maana mama kimya, anawaona wajinga tu wanaopigapiga kelele hovyo.
 
Wewe wacha ngonjera, siihitaji huruma yako.

Jibu unachokipinga nini? Usilete habari ya wengine hapa. Eti huruma , hunijuwi sikujuwi, hizo huruma kamuonee mumeo.
Ni vigumu sana kuelewa kinachopingwa,kwa sababu hata unachounga mkono hukijui.
 
Kwa kuwa nimeshaelewa kumbe watu wanapinga wala hawajuwi wanachopinga.

Sasa kama hiyo iliyaumiza mioyo yenu, sasa jitayarisheni kuzikwa kabisa.

Huo ni mmoja tu. kuna mikataba 36 ya maendeleo na ushirikiano na Dubai na UAE kwa ujumla.

Nani katika huu uzi huu anafahamu kuwa MoU 36 zilisainiwa Dubai wakati wa Expo 2020 mwaka mmoja kabla mwendazake hajaenda zake, mama Samia akasifiwa sana wakati huo kwa ushindi huo. Mpaka Mataifa ya nje yoe yakawa yanajiuliza huyu mama kaweza vipi?

Mwendazake mwenyewe alipotumiwa kopi kabla hazijasainiwa MoU akapiga simu akauliza Dada Samia, umewezaje waliposhindwa wenhgine? Hawa wajomba zako wanakuheshimu sana, hapo hapo akaongea na watu wengine huku anajisifu, sasa mlitaka nimpeleke mmakonde kwa Waarabu? akimaanisha Majaliwa? "nimempeleka Mwarabu mwenzao wanaongea lugha moja. Dah lakini wamemheshimu sana, MoU 36 siku moja? Msichelewe zipitieni haaraka wasaini, hawa Waarabu hawapendi mambo ya kuchelewachelewa.

Huyo ndiye Mama Samia na huko ndipo palipoanzia mkataba huu t-unaozungumzwa sa, huu ni Bashraf tu, mziki kamili haujaanza, ndiyo maana mama kimya, anawaona wajinga tu wanaopigapiga kelele hovyo.
[emoji7][emoji7]
 
Na wewe unayekubali, unakubali nini?
Siyo nakubali tu, naunga mkono 100% ushirikiano wa maendeleo na Dubai uwepo na udumishwe.

Miradi yote 36 iliyosainiwa MoU mwaka 2020 ianze, tena haraka sana. Ukiwemo na huu wa kuendeleza bandari.
Siyo nakubali tu, naunga mkono 100%
 
Kusaini nyaraka hovyo bila hata kujiridhisha kupitia wataalam wabobez wa mikataba,ndo kuchapa kazi?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom