FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wewe una kipi cha kushindana na Mama Samia?Kusaini nyaraka hovyo bila hata kujiridhisha kupitia wataalam wabobez wa mikataba,ndo kuchapa kazi?🤣🤣🤣
Unaonesha hata shule ulienda kusomea ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una kipi cha kushindana na Mama Samia?Kusaini nyaraka hovyo bila hata kujiridhisha kupitia wataalam wabobez wa mikataba,ndo kuchapa kazi?🤣🤣🤣
Huna unachokipinga unaleta ngonjera 16-0.Siku nyingine angalau njoo na vifungu vya mkataba unavyoungamkono twende sawa badala ya kuleta mashairi.
Wataalam wanaendelea kuchomoa betri, wiki hii tuko na Prof.Ibrahim Juma.
Kumbe uwezo wa raisi ni mkubwa na upo 💯 % sahihi!!!Wewe una kipi cha kushindana na Mama Samia?
Unaonesha hata shule ulienda kusomea ujinga.
Unataka kupinga mradi upinge tu?Kumbe uwezo wa raisi ni mkubwa na upo 💯 % sahihi!!!
Kumbe wananchi tunapaswa kusema ndio kwa kila maamuzi ya wanao tuongoza kwakuwa wamekuwa watawala!!!?.…
Kumbe hakuna wa kupingana nae .... Oook...ndo naelewa sasa.
Shule shule ...kama elimu yenyewe ndo kama yako bora sikwenda kabisaUnataka kupinga mradi upinge tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Tatizo ana Elimu ya sekretary ni ngumu kuelewa mambo mazito kama ya bandariMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Mama kaona aibu kubwa mpaka kakimbia machoni pa watanzania.Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Huyu ajuza ni mdini wala hana loloteMakubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
Hii mechi refa ni wewe?Huna unachokipinga unaleta ngonjera 16-0.
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).mBONA HUELEWEKI
Mbona hueleweki. Unaandika kama unakimbilia basi la mwendo kasiMimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Kama mkataba uko vema mbona watu wengi wanailalamikia?watu kama nyie ndio mnaoiangamiza nchi ni wa kuangamizwa tu.Usemao wasomi na hao mashuhuri wanachoelezea ni hisia zao tu....
Uhalisia ni kuwa mkataba huu uko vyema na unakwenda kuliinua taifa kiuchumi.....
Mdanganye apige kazi kimya kimya. Hii nchi ni ya Watanzania. Tumempa dhamana tu. Hatukubali uhuni kwenye mambo ya msingi. Wewe unga mkono lakini waache na wenye weledi wahoji.Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Hii kitu Samia kama ana akili aagize Bunge wa lifute Azimio lake ambalo limekiuka katiba yetu na linatweza Uhuru wetu.Wajadiliane upya DPW aingie ubia na TPA kama mwekezaji wa kawaida lakini hiyo "exclusivity" anayompa DPW kana kwamba hii nchi ni yake wakati yeye ni msimamizi tu.Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Hakuna azimio lolote la kufuta. Hamfahamu mnachokiongea.Hii kitu Samia kama ana akili aagize Bunge wa lifute Azimio lake ambalo limekiuka katiba yetu na linatweza Uhuru wetu.Wajadiliane upya DPW aingie ubia na TPA kama mwekezaji wa kawaida lakini hiyo "exclusivity" anayompa DPW kana kwamba hii nchi ni yake wakati yeye ni msimamizi tu.
Atarajie;
1.Kumpata ya mtangulizi wake.
2.Kuondolewa kwa aibu mwaka 2025!
Hii nchi ni ngumu,anaweza akadhani anaijua kumbe haijui.
Tunza hii comment!
Haswaaa, tena mama ni Mtanzania zaidi yako, wewe tukitaza nyuma kidogo utakuwa umetokea nchi za jirani huko. Mama ni Mswahili 100%, kaisome historia yako, kama hujajikuta wewe ni wakuja tu ardhi hii.Mdanganye apige kazi kimya kimya. Hii nchi ni ya Watanzania. Tumempa dhamana tu. Hatukubali uhuni kwenye mambo ya msingi. Wewe unga mkono lakini waache na wenye weledi wahoji.
Mrembo wangu sana Fai. Yaani kuupinga akupe sababu ila kuunga mkono asikupe sababu? Ndo maana wanaouunga mkono huo wizi wenu ni akina Zenbwela tuuWewe, tumesema hatutaki ngonjera, sema wewe unaupinga nini, kama huupingi sema siupingi.
Anayeunga mkono anaelewa ni nini maana ya maendeleo.Mrembo wangu sana Fai. Yaani kuupinga akupe sababu ila kuunga mkono asikupe sababu? Ndo maana wanaouunga mkono huo wizi wenu ni akina Zenbwela tuu
Sikiliza yanayopingwa na wenye Elimu Dunia ya sheria!View attachment 2673913Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).