Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Wewe naona unapoteza mda tuu ukalale ,na hamna usichokijua hatimae umegeuka kuwa kiroboto,hao tuliowapa dhamana hawana majibu ya icho walichokipitisha ila yote yako wazi ,hao chawa watakufa kwa maji ya moto
Huna unachokipinga, unaleta ngonjera 15-0
 
Wamekomaa bandari inauzwa bandari inauzwa, Mbowe nae ana akili za kumsikiliza??ameshindwa kupambana na wanawake wale covid 19 mambo ya mikataba ataijulia wapi
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
afanye kazi kimya kimya kwa maslahi ya nani hii ni nchi yetu wanganganyika wote yeye sio special kuzidi wengine ni lazima kila kitu kiwe wazi ni lazima nchi iamue sio maamuzi ya watu wachache mwisho wa siku wanatunga vitabu vyakujutia maamuzi yao uku tiale wameisha tulisha hasara.
 
Wengine seneni wana maslahi binafsi...msikilizeni hata Shivji ...mambo kama haya yasiposikilizwa huleta vita baadaye...tutafakari sana hakuna mshindi kwenye hili
 
Wewe mama tusaidie tusioelewa. Mkataba wa DP World utakoma lini?
Tofauti na hapo itakuwa ni chuki yako dhidi ya Tanganyika
 
Utumwa. Hakuna anayetaka utumwa

Utapingwa kwa nguvu zote kama unavyo shabikiwa
20141018_MAP004_0.jpg
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

Hayo umeyatoa wapi??

Unajitungia mambo yako Kisha unataka ujibiwe na serikali??

PM amekuelezea hakuna mkataba umesainiwa,pia mkataba ukiwa tayar maoni,ushaur wa wananchi na wadau utasikilizwa,haya unayoyasema majibu jipe mwenyew.
 
Leo pale msikitini kwetu makao makuu ya BAKWATA mh.waziri mkuu ametujibu mengi mazuri....

Amekata kiu yetu ya kujua umuhimu wa uwekezaji huu wa DPW[emoji120]

Hakika awamu ya 6 inaendeleza nia njema ya kuujenga uchumi wa taifa letu[emoji123]

Kongole kwake mh.Rais wetu SSH na wasaidizi wake [emoji120][emoji7][emoji2956]

#SiempreJMT[emoji120]
Pamoja na ufafanuzi huo bado kuna watu watapinga
 
Ni ukweli kwamba maono yetu ya yawezekanayo yanaundwa na kile tunachofikiria au kuona uwezo wetu kuwa kuna Uwezekano. Kadiri mawazo yetu na uwezo wetu unavyozidi kuwa, ndivyo itakavyokuwa maono yetu ya yawezekanayo.

Ikiwa Dira yetu ya Taifa ya Uwezekano na mawazo yake ya uwezo wake ni sawa na iliyopangwa vibaya, mafanikio kidogo au madhara yatatokea na Kinyume chake, yaani ikiwa dira yetu ya Taifa ya Uwezekano wa kufanya mambo yetu wenyewe na mawazo yake ya uwezo wetu ikapangwa vizuri, basi mafanikio makubwa yatatokea.

Kwa hiyo, ni muhimu kwamba uwiano wa Vigezo hasi na chanya vipewe umuhimu maalum na uzingatiwe ili kuleta hali ya kujiamini au ufanisi na hatua yake ya ushiriki bila mikwaruzano isiyo na tija.

Uamuzi uliochukuliwa na Serikali hii, umeondoa dira yetu ya Taifa, umeondoa kile kinachowezekana, kimeondoa kile tunachofikiri tuna uwezo nacho na kimeanza kujenga hisia za fedheha. Yaani Kudhalilika.

Ni ukweli kwamba, kile ambacho Watanzania wengi wanapitia kina uhusiano wa moja kwa moja na karne za kile kinachoitwa Trauma ya Kizazi.

Miaka ya ukoloni na athari zake, Miaka ya Unyanyasaji, ubakaji na athari zake, ikiongezwa na udahlalishaji,na Mauaji yaliyofanywa na Waarabu na Wazungu si ya Kupuuzwa hata kidogo....hayo yalitengeneza Trauma za viZazi kwa Karne, yaani Generational Trauma.

Narudia, Uamuzi wa Serkali hii ya SSH kuwagawia Waarabu bandari na hatimaye Nchi kwa kutupunguzia uhuru wetu, umefungua kama sio kutonesha kidonda ndugu kilichosababishwa na Udhalimu wa wakoloni wetu, Mwarabu na Mzungu. We are experiencing a Generational Trauma. Jambo hili halikubaliki. Na ni lazima lichukuliwe kwa Uzito wake wakipekee.

Mkataba huu upingwe kwa Nguvu zote. Tanzania tunaweza.
 
HOVYO

KUTETEA VITU VISIVYOJITETEA VYENYEWE 😕

MNATUMIA NGUVU SANA

KUNA TATIZO SI BURE
 
Siku nyingine angalau njoo na vifungu vya mkataba unavyoungamkono twende sawa badala ya kuleta mashairi.
Wataalam wanaendelea kuchomoa betri, wiki hii tuko na Prof.Ibrahim Juma.
Huna unachokipinga unaleta ngonjera 16-0.
 
Wanaopinga DPW waandamane mitaani na sio JF ambayo visitors hawazidi 10000 kwa siku
 
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera). Kama hupingi sema sipingi au nauunga mkono mkataba. Tosha.

Mambo yako ya msikitini wacha huko huko msikitini.
Mama eee naunga mkono mkataba [emoji1787][emoji123]
 
Back
Top Bottom