Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Mkuu pole sana unapambana sana hadi nakuonea huruma! Hakuna anayemtoa kwenye barabara ni mkataba amesaini mwenyewe na kazi yetu ni kuuchambua na kueleza

Sama leko😂😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • IMG_0721.jpeg
    IMG_0721.jpeg
    116.6 KB · Views: 3
  • IMG_0726.png
    IMG_0726.png
    232.3 KB · Views: 3
  • IMG_0718.jpeg
    IMG_0718.jpeg
    53.3 KB · Views: 3
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Wewe hata tukikuuliza unaunga nini mkono huna cha kujibu. Maana haswa kinachokufanya uweweseke ni madhanio ya kuukuza Uislamu kupitia Waarabu.
 
Mkuu pole sana unapambana sana hadi nakuonea huruma! Hakuna anayemtoa kwenye barabara ni mkataba amesaini mwenyewe na kazi yetu ni kuuchambua na kueleza

Sama leko😂😂😂😂😂😂
Wewe wacha ngonjera, siihitaji huruma yako.

Jibu unachokipinga nini? Usilete habari ya wengine hapa. Eti huruma , hunijuwi sikujuwi, hizo huruma kamuonee mumeo.
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Leo pale msikitini kwetu makao makuu ya BAKWATA mh.waziri mkuu ametujibu mengi mazuri....

Amekata kiu yetu ya kujua umuhimu wa uwekezaji huu wa DPW[emoji120]

Hakika awamu ya 6 inaendeleza nia njema ya kuujenga uchumi wa taifa letu[emoji123]

Kongole kwake mh.Rais wetu SSH na wasaidizi wake [emoji120][emoji7][emoji2956]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
 
Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera). Kama hupingi sema sipingi au nauunga mkono mkataba. Tosha.

Mambo yako ya msikitini wacha huko huko msikitini.
 
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
Wacha ngonjera, nakupeleka kwenye uzi wenye mkataba utuele ze kifungu unachoki[inga kimojha kimoja.

Waliomshauri unawajuwa?
 
Nimeamini, nguvu ya rushwa ni hatari sana!

Hii siyo bule! Rudisheni pesa za watu wapuuzi nyie
 
Back
Top Bottom