Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

Mkuu pole sana unapambana sana hadi nakuonea huruma! Hakuna anayemtoa kwenye barabara ni mkataba amesaini mwenyewe na kazi yetu ni kuuchambua na kueleza

Sama leko😂😂😂😂😂😂
Umekosa cha kupinga 5-0
 
Mimi nashauri ngazi kama hizi kiongozi awe amefaulu atleast at form IV hizi elimu za kuunga unga tabu kweli kweli

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu
Nimekupeleka kwenye mkataba tunaendelea bado 7-0
 
Kwenye hili la bandari sitaki mihemko...nimetulia ili muda ukitoa majibu sahihi nisinukuliwe popote pale. Ikiwa heri ni vyema lakini ikiwa siasa tutajifunza then tusonge mbele. So I don't declare anything.
Huna unachopinga 9-0
 
Nimekupeleka kwenye mkataba tunaendelea bado 7-0
Wewe naona unapoteza mda tuu ukalale ,na hamna usichokijua hatimae umegeuka kuwa kiroboto,hao tuliowapa dhamana hawana majibu ya icho walichokipitisha ila yote yako wazi ,hao chawa watakufa kwa maji ya moto
 
Wewe wacha ngonjera, siihitaji huruma yako.

Jibu unachokipinga nini? Usilete habari ya wengine hapa. Eti huruma , hunijuwi sikujuwi, hizo huruma kamuonee mumeo.
Naomba kujua ukomo wa huu mkataba
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Unapima uelewa wa watu juu ya kupinga mkataba ,andaa questioners
 
Mimi naunga mkono makubaliano ya ushirikiano na maendeleo na Dubai katika yote yaliyoainishwa kwenye mkataba uliojadiliwa bungeni.

Wewe unaepinga unapinga nini? (Hatutaki ngonjera).
Siku nyingine angalau njoo na vifungu vya mkataba unavyoungamkono twende sawa badala ya kuleta mashairi.
Wataalam wanaendelea kuchomoa betri, wiki hii tuko na Prof.Ibrahim Juma.
 
Back
Top Bottom