Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?


Actually, Zitto asiyekuwa na haraka angeupata Uwenyekiti.
 
Lowassa hata uenyekiti wa CCM hajawahi kuutaka, anheshangaza sana kutaka kuwa Mwenyekiti Chadema. Ni kama vile kusikia Rostam Aziz anataka kuwa Mwenyekiti wa CCM, itakua ni move moja ya kijinga sana.
 
Narudia tena, sizuii mahaba yako kwa Magufuli, lakini nakuambia hakuwa kiongozi mzuri, bali alikuwa mtendaji mzuri kwenye baadhi ya mambo hasa miundombinu. Uongozi ni busara na sio mabavu, na yeye busara hakuwa nayo. Huenda unadhani una akili sana, basi unachokipenda ww ndio SI Unit ya akili.
 
Nyie ndiyo vibaraka wa ccm mlio ndani ya chadema,subirini kura zitaamua na sio maneno mengi ambayo hayana maana kabisa.
 
Narudia tena, sizuii mahaba yako kwa Magufuli, lakini nakuambia hakuwa kiongozi mzuri, bali alikuwa mtendaji mzuri kwenye baadhi ya mambo hasa miundombinu. Hakuna mlevi wa madaraka anaweza kuwa kiongozi mzuri. Uongozi ni busara na sio mabavu, na yeye busara hakuwa nayo. Huenda unadhani una akili sana, basi unachokiopenda ww ndio SI Unit ya akili.
 
Shida yenyewe uelewi uongozi.

Kuna aina tofauti ya uongozi but you can’t tell the difference ya autocratic leaders ya Magufuli na ‘laissez faire’ ya Samia (na Jakaya) and the between democratic (ya Mkapa).

Leaders need a vision or a government, usimamizi wake wa matokeo ni kitu kingine.

Mtendaji ni supervisor sio mtu ambae yupo kwenye decision making. Na kwa taratibu za serikali watendaji ni civil servants sio mawaziri.

Hujui unachoongea.

Mawaziri ni leaders sio watendaji na raisi ndio kabisa.

Magufuli alikuwa ni CEO mwenye uwezo wa kusimamia vision yake, a leader.
 
Mlichojifunza nyie wana-Chadema kuhusu uongozi wa vyama pinzani Afrika, Tundu Lissu, ambaye pia ni mwana-Chadema, mlimzuia asijifunze?
Wacha usitubebe ufala wewe, in Kenyan's voice😀😀. Kama ayatollah Bado hajatangaza Nia lakini uko busy kuchafua wengine. Unatuonaje watz Kwa mfano?
 
Ni kkkt vs Moja Takatifu la mitume

Very simple

Dr Nchimbi ft CPA Makalla 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…