Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Mkuu wa kazi Invisible font za updates ndogo saaaaana!
 
Last edited by a moderator:
Mbowe sasa una uhakika wa kutawala hata miaka 1000 ijayo mbele. Hakuna wa kukuuliza.

Wote wanaojaribu kuhoji piga chini.
 
ZZK arudi tu kigoma akafundishe chekechea au akalime chikichi hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba 10 ana roho ya kichawi!!
 
Hivi kwa nini hii habari imewasikitisha sana CCM??
 
Wenye akili tumemuelewa.

Lengo ni wa kuwachafua Zito na Kitila.

Lumumba mtaumia sana kuliko Zito Zuberi Kabwe kwani muhimili wenu mkuu uliotaka kuiharibu chadema umevunjwa. Mungu mkubwa.
 
Ni kwasababu hujawahi kumjua Kitila ndio maana unaamini uzushi huo.kitila ni level nyingine hata huyo Slaa haingii kabisa hapo.Huu uwongo wa siasa chafu utawashuka soon

heh!......wewe ni kambi ya kitila eeh?!

za masiku mama?
 
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.

Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.

Tuliia wewe mwanaccm mbona unatokwa na povu mambo ya Chadema yanakukera nini sasa?

Tunakusubiri Kyela mwaka 2015 ili tukushughulikie vizuri kabisa na baada ya hapo utaacha siasa na kubaki huko ulaya uendelee na kazi za kujitafutia kipato.
 
Kila mtu alikua anajua chadema watakuja na story zile zile za waraka.


Zitto na kitila wameponzwa na misimamo yao ya kutaka maendeleo ndani ya chama hasa kuhusu matumizi ya ruzuku.


Zitto kaponzwa na uenyekiti+posho.

Zitto na kitila wameponzwa kwa kudai taarifa za fedha ndani ya chama.

Zitto na kitila wameponzwa na kutokuwa tayari kuburuzwa na baadhi ya viongozi wa chadema.
 
Ina maana mkakati wa Wasira wa kuiua CHADEMA ndo umekwama tena. Duuh, sasa sijui kama ingetokea wanafanya uchaguzi mwingine angewaambia wamchague kuwa mjumbe wa mkutano mkuu ili afanye nini....!!!!
 
Nipo na ukombozi milele, Kwangu ukombozi kwanza mengine baadaye.
 
Nataka nijua zito anatumiwaje na Ccm?
CHAMVIGA
===>Mgosi unanitia aibu sana,kutumiwa sio lazima ukapigane ngumi,hata kutoa taarifa za vikao vya chama ni kutumiwa,umesikia kabisa kuna connection hii M1==>M2==>M3 na hapo kuna uwezekano wa mpaka kuwa na M23 ambao inawezekana ikawa ni wewe kada na mfurukutwa wa magamba.
===>Kupata taarifa za ndani za taasisi pinzani ni faida mojawapo ya kupambana na adui yako.
Hapo vipi umeelewa kidogo au niendelee kukuelewesha?
 
Last edited by a moderator:

Why are you so butthurt?
 
Najua CDM hakuna kurudi nyuma, Zitto maisha yake kisiasa ndio yanaelekea mwisho sasa baada ya kuachana na chama kikuu cha upinzani.

ON SERIOUS NOTE: 2015 CCM itashinda urais tena, 2020 CCM itashinda urais tena, CDM tujipange kwa uchaguzi wa 2025 ambapo baadhi yetu tutakuwa tayari nje ya chama kwa wembe huu huu wa usaliti.

All in all, matunda ya mitaji yetu yanaanza kupatikana, ruzuku si haba, tunaanza kuona faida ya fedha tulizotoa mifukoni na yeyote atakayeingilia mpango wetu tutamfukuza, mtu kaja mikono mitupu eti anataka umwenyekiti, thubutu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…