Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,152
- 7,423
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?
hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.
Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
Yeah, ZITTO haaminiki na hata waha wenzake hawamuamini tena! POOR YOU,POOR ZITTO KABWE!!
Muonyeshe Utu kidogo kwa kumpatia japo Lesso afutie Machozi.Utaumia kichwa ndugu! Its too late!
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;
1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.
2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.
3.
Mchezo upi weka ushahidi hapa sio unapayukapayuka "no research no right to speak"period...tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.
Lema kaja juzijuzi lakini waliokijenga chama wanadharauriwa kwa ajili yake!
Bavicha povu la nini? Zito anatumiwaje na Ccm kuihujumu chadema?
kwa hiyo unataka kubisha au? kama mnampenda sana zitto mchikueniKamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
Hizi siasa chafu za chadema mwisho wake ni 2014.
Yani kila mtu alijua watakuja na adithi za waraka. Mbona awasemi ndani ya waraka kulikuwa kuna nini?
Na huo waraka uliandaliwa kwa lengo gani na umfikie nani?
Hii chadema ya kina lema ina matatizo sana.
Subiri wewe waraka utasambazwa. Afu mbona kiherehere na chama kisichokuhusu
Karibu sana CCM jembe Zitto...wewe ni jembe