NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Hapo unakosea..unapoingiza propaganda za kikabila...Tanzania yenye umoja haiwezi kujengwa kwa misingi ya propaganda zenu za Kikabila ama udini....maana huyo Rutta(ingawa na yeye kaumizwa na maamuzi ya Kamati kuu ya CDM) kwenye bandiko lake na hasa ulilonukuu ajasema habari za ukabila...Tafadhali usiendelee kutuvurugia Tanzania yetu.Wewe ni Mkabila kama jina lako lilivyo. Angalia sababu sio utengeneze za kwako
Anasema hakuna taasis yoyote inayoweza kupuuza wala kuvumilia mambo haya yaliyopo kwenye waraka huo kwani umewatukana sana viongozi wa Chama chetu.
Anasema matusi hayo ni ya muda mrefu na viongozi wakuu wamekuwa wakiyavumilia kwa muda mrefu lakini yalivumiliwa kw a lengo la kuwapa nafasi wanamtandao hao kujirekebisha
bora wewe unisaidie kushangaa.chadema huu uongo wamepitiza.Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
na kuhakishia kuwa chadema ni kikundi cha watu na ndio maaana hawa walivyo tuhumiwa walikaa kimya kumbe wao ndio wali watuma.
Chadema waliogopa kuikubali hile report ya siri maana ilikuja vibaya na kumbe walikua wana andaa njia za kuwafukuza watu wanao hoji yafuatayo.
.matumizi ya ruzuku.
.uongozi ndani ya chama.
.kukopeshana ndani ya chama.
.kuvunjwa kwa katiba ya chama.
.chama kuendelea kupangisha ofisi wakati dr slaa alikopa ndani ya chama na akajenga.
Chama hichi cha kina lema na akina kilewo+joshua nassary.
Huo wanaosema haukutoka Chadema ni ule uliovuma humu siku chache zilizopita,huu unaozungumzwa leo haukuwa umevuja humu ndio tunausikia leo mkuu.
jf kuna watu wanamawazoTetesi zinadokeza kwamba bedera za lumumba kupepea nusu mlingoti kwa siku 7 .
rango moto, hata wewe leo unamkana zitto?
Wewe usipende kuwa mganga wa kienyeji.
Ndio maana wamepewa siku 14 za kujitetea. Kwa sasa wao ni watuhumiwa tu.sasa kama waraka wa siri wa zitto haukutengezwa wala haukutoka makao makuu ,je nini kinawapa imani kuwa huo waraka wa siri wa kukivunja chama vipande vipande utakuwa unawahusu kina kitila mkumbo?
Hawezi kujenga nyumba yake halafu uje mjelajela na kumdhulumu simply ngoja apiganie haki yake na ikishindikana aende anakopendwa.
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,
LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,
Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,
Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,
Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5
KWANINI PESA ZA KUMKOPESHA DR SLAA ZILIKUWEPO LAKINI ZA KUJENGA OFISI HADI SASA HAZIPO.
..,Tulia bwana mdogo waliofanya maamuzi wamechunguza wakajiridhisha kabisa wewe sisimizi na akili zako za kimagamba kaa pembeni wanaume waendeleze harakati za kuikomboa nchi yetu.