Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,
LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,
Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,
Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,
Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5
Kurugenzi ya Habari:
Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo
jf kuna watu wanamawazo
alafu ninalo jiuliza kama zitto ni mtu safi iweje watu waiponde chadema badala wafuraiye zitto kkuondoka na wao wafurai kumpokea ......lakin hapamambo ni tofauti kabisa
Yupo ofisini kwenu kamuulize...Nataka nijua zito anatumiwaje na Ccm?
Huo waraka uwekwe hapa tuuone
Na chama kitakuwa imara zaidi kuliko matarajio ya wasaliti.Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.
Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.
Kamati imemteua Lissu kuwa mwanasheria wa chama.......This is rubbish ............... na kumdanganya tu Lissu. Ina maana siku zote na makesi yote yale lissu anayoyasimamia kwenye chama hawajawahi kutambua kuwa ndiye mwanasheria wa chama? Loh
Mimi sio mwanasiasa ila comment yako imenishtua kidogo! Kwanini Mwampamba na Shonza wapokelewe kwa mbwembwe na ccm lakini zitto mwenye ushawishi mkubwa hawataki kumpokea wanataka apiganie haki yake?jf kuna watu wanamawazo
alafu ninalo jiuliza kama zitto ni mtu safi iweje watu waiponde chadema badala wafuraiye zitto kkuondoka na wao wafurai kumpokea ......lakin hapamambo ni tofauti kabisa
Simuelewi Tundu Antipas mngway lissu. Anasema wamenasa taarifa za kutaka kukipasua chadema vipande, aseme ni taarif zipi, toe ushahidi ndio tutamuelewa...otherwise nybody cn sy that..
Ni sawa na chdem wkitaka kuaandmna polisi husema tumepokea taarifa za kiitilijensia..lakini hawaasemi wmezipataje, reliability ya taarifa zenyewe, pia source credibility.
Saasa chadema waanawategemea Yericko nyerere... Are this kids credible source of info or hawa si wpiga umbea, majungu??
Nani kawachafua wakati wamechambia jani la mgomba...Wenye akili tumemuelewa.
Lengo ni wa kuwachafua Zito na Kitila.
naelewa
swali langu ni kwamba
kama waraka zote zilizowekwa humu bado zinatiliwa shaka,je huo waraka wanaosema ni wakuvunja chama vipande vipande wanauhakika gani kuwa unawahusu hao waliovuliwa nafasi zao?
Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,
LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,
Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,
Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,
Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5