Nilikuwa msomaji Tu tangu asubuhi,
LAKINI sina budi kusema kazi imetimia,
Jasho la watanzania haliwezi kuliwa na mjanja mmoja au wawili,
Ndoto ya UKOMBOZI haiwezi kuzimwa namamluki WA ccm,
Asante Jah kwa kipawa ulichonipa, asante Jah kwakujua hitaji la Watanzania milioni 45.5
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Idadi ya wajumbe wa kamati ni 32
Wajumbe waliohudhuria kikao ni 23
Waliokataa kuunga amba kupinga uamuzi wa kumfukuza zitto ni 4
waliopiga kura 19
waliounga mkono zzk atoke ni 10
Mathematically 10/32*100%= 31% ya wajumbe wote
Kweli kamati kuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu kwanini aumize roho yake huko CHADEMA? Hata kama amejenga yeye, awaachie wengine huo ndo uungwana kabisa.
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Umeona hapo mkuu? Kuna watu wanamihemko ya mtu wao kupigwa chini wanashindwa kuiona hiyo point hapo.{Anasema lugha iliyotumika katika waraka huo ni ya siri ambapo kuna mtu anaitwa MM ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, M1 ni Dr. Kitila Mkumbo, M2. Hajajulikana na Dr. Mkumbo alikana kumfahamu kabisa M2, na M3 ni Mwigamba.}
INA MAANA KITELA MKUMBO AMEKIRI KUMFAHAMU MM, M1 NA M3 LAKINI HAMFAHAMU LAKINI M2,,,KWELI KAZI IPOOOOO. MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Kuna vitu vitatu haviwez kujificha milele,lazima vitajidhihirisha tuh,
1.JUA,
2.MWEZI,
3.UKWELI,
HATA MKITUMIA HILA NA UZANDIKI MWSHO WA SIKU UKWELI UTAFAHAMIKA TUH....
bora wewe unisaidie kushangaa.chadema huu uongo wamepitiza.
KIFUPI KIKAO KILIKUWA KWAAJILI YA KUHAKISHA KITILA NA ZITTO HAWABAKI CHADEMA MAANA WAO HAWAKO TAYARIKUBURUZWA.
CHADEMA WANATAKIWA KUJUA KUWA WANACHAMA WAO WATAENDWLEA KUHOJI YAFUATAYO.
.MATUMIZI YA RUZUKU.
.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI
.KWANINI CHADEMA WANAVUNJA KATIBA YAO WENYEWE.
.KWANINI CHADEMA HAWANA OFISI ZA MIKOA.
.KWANINI PESA ZA KUMKOPESHA DR SLAA ZILIKUWEPO LAKINI ZA KUJENGA OFISI HADI SASA HAZIPO.
Ya huo waraka tunajua chadema wame utengeneza wenyewe hili kuhakisha zitto na kitila wana fukuzwa.
Chadema amuoni aibu?
Chadema hii dhambi itawatafuna sana.
One thing is for sure.
CHADEMA wamejipunguzia imani ya kuongoza nchi.
Kama hivi hawajapewa nchi migogoro kibao, wakipewa nchi je?
Not that the incumbents are any better, but I expected to see something new in CHADEMA.
Instead tunaona yaleyale tu.
Live Updates: Ndugu
Wanachama na Watanzania na wote muda si mrefu tutawaletea Mkutano na
Waandishi wa Habari kuwajulisha Watanzania maazimio na maamuzi ya Kamati
Kuu iliyokutana kwa siku mbili tarehe 20-21/11/2013 katika Hotel ya
Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam
================
UPDATES
wnaofikiri Zitto ataondok chadema wanapoteza muda, haondoki mtu chadema.