Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.

umesikika mtoto mzuri, haya kajambe ukalale.
 
Chadema huu waraka wa siri mliukamata wapi? lini? na ni nani aliyeukamata? isije kuwa mmeutengeneza wenyewe halafu kwa makusudi maalumu.
 
Mlidhani na CHADEMA tunaangalia majina ya watu..!?? hakuna mwenye chama hapa, hata Mbowe,Slaa na MIMI mwenyewe tukikisaliti chama tunawajibishwa vilevile...
Asante,mwambie uyo Kilaza...
 
Katika hali kama ile ni lazima uwe na mkakati na kuhakikisha kuwa utakapotoa maamuzi na ushahidi kamili unao.
Ngoja tusubiri mtiririko ulikuwaje ndani ya kamati kuu,kuna waliokiri,walilazimishwa.Tutayajua mengi karibuni,stay tuned
 

Hizo ni details, ambazo watu wengi hawatazijua na hata wakijua hawatajali.

Bottom line inabaki kuwa hiyo niliyoiandika hapo juu.

CHADEMA kinazidi kuonekana chama kisichoisha migogoro na hivyo kisichoweza kuongoza nchi.
 
Nimefadhaishwa sana na Dr KITILA kumbe ELIMU kwa MTU MWEUSI hajawahi kusaidika na ELIMU yake! Kweli Dr unaburutwa na ZITO? duh! namna hii wasiona ELIMU yakutosha ya URAIA ndomana wanakataga TAMAA! Unakuta mtu anapayuka Kwenye majukwaa kumbe anaamini ktk mtu na sio Falsafa ya CHAMA! Kweli safari bado ngumu!
 
Ni wajinga wchache wanaoweza kusimama na kushbikia ngonjera na hekaya za chadema. Msomi anafukuzwa chadema na form four failures..
Lipumaba ana degree ngapi na Kikwete ana ngapi,mbona Kikwete alipata kura nyingi.
Kusoma SIO mwisho wa UJINGA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wale njaa njaa sasa watafute kwa kutokea; Kumbe Zitto na Kitila walishaomba kujiuzulu, Na kwa vile Chadema ni Makini, Haijakubali wao kujiuzulu, Maana wangepata sifa ambazo hawastahili, Jamani chadema i don,t have any thing,s to thank you, People,s Powerrrrr!!!!"
 

huu waraka ni mrefu sana...ngoja niu-print nijisomee taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu
 
Hivi hiyo intelijensia imeshindwaje kumgundua mhusika wa mwisho?

Ni wazi hakuna uchunguzu uliofanyika kabisa.
 
Tumia akili kidogo basi !!
Ukitaka kumchinja ng'ombe au nguruwe sio lazima unoe kisu au panga ili aone (wanatambua hata kama hawaongei) !!

Watu makini hawapigi domo ovyo ovyo, unaweka mambo sawa kwanza, unamfuatilia na kumdeku adui then ukianza ni mwendo mdundo wakati yeye anasubiri ubadili magazini anashangaa kusikia non stop washawasha zinatoka tu....

Huyo mtu mwingine M2 sidhani kama hawamjui, kategewa tuu.

Mbona huulizi kumbe hao mamluki walitaka kujiuzulu wakakataliwa (mbona wao hawakuwa wamesema hilo ???)

 
Kiufupi ukiishi na Binadamu Mnafiki huwezi kupata mafaniko hata siku moja.
Jamaa hao kinachowasumbua na kuwa haribia ni unafiki na hiligonjwa liko kwenye Jamii pana ya Watanzania.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…