Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

Status
Not open for further replies.
Technology haikusubiri wewe na umburura wako ikiwa watu wanaweza kuiba fedha kwenye a/c yako na kadi unayomwenyewe sembuse ki spy e-mail? Acha ushamba kima wewe ,mateka wa Ccm

Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!
 
we nae wawapi? kuhack email ya mtu sasa hivi kunataka bilions of money? we nae wawapi michezo hyo sasa hivi ni kitu cha kawaida, tena gmail ni rahc zaid weka account yako ya gmail hapa tukumwagie yaliyopo, nasisitza gmail ni rahis sana.
 
Hivo ni vitu viwili tofauti
Na hakuna email reader inayosomeka hivo
Yahoo mail haipo hivo plain
Kwanini usi copy na ki paste the whole page
Unaaika utumbo kulazimisha ni emaail
Unafikiri hii ni facebook
Ingekua rahisi ku crack email ya mtu kama unavodhani watu wasingetumia
 
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa

aliye kuambia limeibua mjadala wa kitaifa nani? sema limeibua mjadala ndani ya ccm kwani hawaamini kama CHADEMA wana umakini wa kiwango hiki! kimsingi wao walitegemea kuwa hawa jamaa wange baki ndani ya chama ili wakivuruge kabla ya 2015.kwakuwa sasa hawana nafasi tena maana yake ni kwamba; ZZK ni makapi yasiyo faa hata kupewa wanyama! kisiasa ndani ya CDM hana maana tena anajulikana nje ndani.
 
Ubarikiwe na Allah!!!!!
 
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa

Tatizo lako wewe wa Songea, hebu njoo Dar tukupe maujanja, achana na umburula huo wa kufagilia magamba kwa sababu unategemea kusikiliza redio ya Nchimbi na kupanda mabasi yake ya hela za kifisadi.
Hebu toka hapa.
 
The rise and fall of zitto kabwe, kuna watu wamemwaga damu kwa ajili ya ukombozi, mizimu yao inakesha nyumbani kwa zitto kabwe, ofisini, katika gari,mpaka kieleweke na haki ionekane

Duh!! hii kali aliyemwaga damu nani Chacha Wangwe? Naona Dr.W.Slaa anajimwagia pesa tu huku walalahoi kama wewe hawana kitu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!

hata mie naweza ku copy kubadilisha na ku paste...soma email hioo ushahidi wa zito
:closed_2:

Ndiyo CDM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " utani ujinga " <ujingaemail@gmail.com> >
To: "uwongo email" < udakuemail@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, wajinga waliwao <copypaste@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na mbw mh. Aals namtafuta punde

Fake email

2013/11/17 uongo ujinga< ujinga@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Aals ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Mkweli na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, aals

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, emailcopy <ujinga@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa ukweli abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

Fake

Endeleeni ila mtaula wa chuya

Hii ndio email ndio ushahidi wenu mnafanya watu wehu wajinga . Tajeni sababu sio kuleta email za uongo hapa sasa na hio ni ya kweli japo juu

​
 
we nae wawapi? kuhack email ya mtu sasa hivi kunataka bilions of money? we nae wawapi michezo hyo sasa hivi ni kitu cha kawaida, tena gmail ni rahc zaid weka account yako ya gmail hapa tukumwagie yaliyopo, nasisitza gmail ni rahis sana.
Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!

hata mie naweza ku copy kubadilisha na ku paste...soma email hioo ushahidi wa zito
:closed_2:

Ndiyo CDM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " utani ujinga " <ujingaemail@gmail.com> >
To: "uwongo email" < udakuemail@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, wajinga waliwao <copypaste@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na mbw mh. Aals namtafuta punde

Fake email

2013/11/17 uongo ujinga< ujinga@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Aals ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Mkweli na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, aals

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, emailcopy <ujinga@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa ukweli abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

Fake

Endeleeni ila mtaula wa chuya

Hii ndio email ndio ushahidi wenu mnafanya watu wehu wajinga . Tajeni sababu sio kuleta email za uongo hapa sasa na hio ni ya kweli japo juu
 
Technology haikusubiri wewe na umburura wako ikiwa watu wanaweza kuiba fedha kwenye a/c yako na kadi unayomwenyewe sembuse ki spy e-mail? Acha ushamba kima wewe ,mateka wa Ccm

Hahahahahaa! Mkuu umezamisha kisu kwenye mfupa, sidhani kama atarudi tena!
SIO SUALA LA TECHNOLOGY BALI NI TATIZO LA KUCHAKACHUA MANDIKO ILI KUHALALISHA JAMBO LAKO,,

:closed_2:

Ndiyo CDM yako inavyofanya

Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " utani ujinga " <ujingaemail@gmail.com> >
To: “uwongo email” < udakuemail@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, wajinga waliwao <copypaste@gmail.com> wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na mbw mh. Aals namtafuta punde

Fake email

2013/11/17 uongo ujinga< ujinga@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Aals ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. Mkweli na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, aals

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, emailcopy <ujinga@gmail.com> wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa ukweli abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

Fake

Endeleeni ila mtaula wa chuya

Hii ndio email ndio ushahidi wenu mnafanya watu wehu wajinga . Tajeni sababu sio kuleta email za uongo hapa sasa na hio ni ya kweli japo juu
 
huyu haambiliki na hana utashi wa discipline kwa itifaki ya chama. haiwezekani wote tuwe kambale kiasi kila mtu anachotaka lazima kiwe. kama anataka urais AENDE ccm aone moto ulivyo mkali .kwanini asitulie hadi 2025 ndo angombee?
 
Nadhani wanamkakati wa mpango wa mapinduzi Chadema ....wameonyesha weeledi duni kwenye mambo ya intelligence .....nilifikiri wangekuwa wamejifunza kwenye mpango ulioshindwa wa PM7 ,ambapo MM alishindwa kuwatetea wenzake mtela na Juliana .... ( labda Kama alikuwa akitekeleza principle ya ujasusi ...ukishikwa unakanwa au hata kuuliwa )...
Nilifikiri Sasa wangekuja na mpango tofauti.......
Ukweli ni kuwa ni lazima Siku Moja Zitto Kabwe angekuwa kiongozi wa Chadema ....tatizo ni kuwa amekuwa na haraka ..,kwenye Siasa kuna uvumilivu ....na ili chama kikomae ni lazima kinaribiwe kwa kondokewa na watu wanaojiona ni maarufu kuliko Chama na chama kikabaki...Kama CCM ilivyojaribiwa...alipoondoka Mrema.....na Kama kinavyojiandaa Sasa kwa kujaribiwa Iwapo itabidi kichukue uamuzi mgumu Kama wa Chadema.( at least Chadema wamedhubutu )
 
Reactions: Ame

Nimekubali mkuu Zanziba ndo wanafukuzwa lakini si kuondolewa duniani, akina Aboud Jumbe, Sharif Hamad na kijana aliefukuzwa mwaka huu , wengine nimewasahau nikumbusheni.
 
you guys had a long term plan against ZZK and that what you ruled in your CC was to accomplish your plan. though here you are trying to mold your deceit to the Tanzanians in order to win their sympathy, yet the truth remains that ZZK is innocent over your allegations.
 
ni mjinga tu ambaye hajui mambo na utaalam wa e-mailing ndo anaweza kuamini hizi hadithi....... Eti ndani humu ametajwatajwa warioba na tume ya katiba, ametajwa mwigulu mara lukuvi mara zitto eti ili kuwaamininisha watu kuwa zitto alikuwa anasaliti chama, uongo na uzandiki wa wazi kabisa!. Eti imetajwa nafasi ya uenyekiti tena kwa kuonesha kuwa zitto anaitaka nafasi hiyo hata kwa kununua kutoka fedha za ccm!! Ushetani mkubwa wa kumsingizia mtu kwa hadithi za kipuuzi kabisa!!! Inshort watanzania sasa tunawaelewa chadema na malengo yenu. Mnamwogopa zitto kuwa mwenyekiti coz dogo anan akili kubwa kuliko hao vilaza wengine. Manataka mbaki wenyewe miamba wa kaskazini na vibaraka wengine bendera fuata upepo kama t.l. Na akina maranda ya mbao ambao ni ndiyo mzee koz hawana pa kukimbilia kwani kote walishachafua hali ya hewa.
 
Acha hizo zzk amejipambanua, amechangia sana kukua kwa cdm, ndio maana tukio hili limeibua mjadala kitaifa

Hata mungu katuumba mwenyewe lakini leo tumemgeuka na tuna tenda ya shetani hivyo hilo hakiwezi kumfanya mungu asituadhibu ati kisa katuumba mwenyewe,hivyo hata zzk pamoja na juhudi zake ote alizo fanya kuikuza chadema lakini hiyo si sababu ya kuto muadhibu pale anapo kisaliti chama kumbuka hata shetani alikuwa malaika mtiifu sana laakini alipo hasi mungu hakuona sababu ya kubaki naye,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…