Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
dah............. kumbe kabwe aliomba mwenyewe?kakamatwa pabaya aisee
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.
Semeni ukweli, Kilichowaponza Kitila na Zitto ni;
1. Elimu zao. Kitila na Zito ni kati ya wasomi wachache ndani ya chadema wanaojitambua. Waliokataa kuburuzwa na vihio- Mbowe na Slaa.
2. Makabila na kanda zao. Zitto na Kitila hawatoki na ile kanda ya wamiliki wa chama, na pia hawatoki ktk lile kabila la wamiliki wa chama.
3.
Hili hapa nafikiri ni propaganda tena kama zile za Wakomunisti.
Hapa uongozi wote ulitakiwa kujiuzulu na kuitisha upya uchaguzi mara moja ili wanachama waamue wanatakanani awe kiongozi.
nyie kurugenzi habari acheni utoto yani mnadiliki kusema mwingine hajajulikana, ina maana mme mhukumu mtu msiye mjua?
hili tulilijua toka mwanzo na hii dhambi itawatafuna na tunajua kosa la zitto na kitila ni kuhoji matumizi ya ruzuku na posho na uchaguzi ndani ya chama.
Tunaomba mmpe lema au kilewo huo unaibu katibu mkuu.
tunajua kabisa huo waraka ni uzushi mtupu maana ndio michezo yenu chadema.
Alaf ni wazi kuwa walitaka kujiuzulu kwakuwa mlishaonesha hamwataki. Kuna uzushimwingi sana humu.
Kamati Kuu pia imeazimia kuusambaza waraka huo kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili watanzania waone na kujua ukweli.
Lissu anamalizia kwa kuwaomba watanzania na Wanachama wote wa CHADEMA nchi nzima wasife moyo na waendelee kukijenga Chama na nchi yao.
Kumbe eeh! Sasa buku 7 kelele zao za nini wakati wahusika walishajitambua? Huwez kutenda ovu la kuwaumiza mamilioni ya Watanzania wanaotaka maisha bora kisha ovu hilo likabaki siri,utaumbuka tuu siku moja na heshima itapotea.Lissu anasema Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na Dr. Kitila Mkumbo waliomba kujiuzulu nyadhifa zao zote baada ya waraka wao kukamatwa lakini Kamati Kuu iliwakatilia baada ya kuona kuwa kukubaliana na maombi yao hayo ilikuwa ni kama kuwaacha wajiuzulu kwa heshima ambayo hawaistahili hata kidogo.
Hapa ndo penye pont, kumbe walikuwa wameshajua kinachotokea..