Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa kipimo chochote.

Sijawahi kukataa uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani kwa macho.

Biblia imejaa contradictions ambazo nikiziweka hapa huwezi kumaliza kuzipangua, kwa sababu imejaa uongouongo mwingi ulioungwaungwa tu.

Bisha nikuwekee hapa uzipangue.
tambua kwanza biblia hasa agano jipya zile ni research pamoja barua kwa kundi fulani la watu(wayahudi na mataifa)

Ikikupendeza weka huo utata nitajitahidi kujibu kadri niwezavyo
 
Iko hivyi.

Ukifuatilia Religion history ambazo nyingi ndizo utakutana na Theology study of God.

Lazima itaheshimu Dini zote.

Waanzilishi wote wa dini zote zinazoishi mpaka sasa waliongozwa na Roho za Mungu wengi wao ndio maana wamefanikiwa miaka na miaka
 
Je watu wanaoshape mifumo ya dunia ya sasa ni atheist tuuuu?
Why is this even a question?

Why is this relevant and not a logical non sequitur fallacy and a strawman argument?

Do you know what is a logical non sequitur fallacy?

Do you know what is a strawman argument fallacy?
 
Ikiwa Mungu hayupo.

Kwa nini kuamini uongo Mungu yupo kuwe bora kuliko kutouamini?
Kijana Kiranga
Toka nimeenda songea mambo ya kitaalamu ya dini etc.
Nilikuwa ninaona mambo yako na harakati zako hata kabla.

Iko hivyi sikupingi sana ila unahitaji usome Theology ndio uanze kupinga.

Ni sawa na mtu asiyejua mahesabu aanze challenge 2+3sio=5
Akawa anabisha ni 6.

Mifumo imeweka somea kwanza
 
tambua kwanza biblia hasa agano jipya zile ni research pamoja barua kwa kundi fulani la watu(wayahudi na mataifa)

Ikikupendeza weka huo utata nitajitahidi kujibu kadri niwezavyo
Kwa hiyo unataka kusema nini? Agano jipya ina kabobo nyingi?
 
Why is this even a question?

Why is this relevant and not a logical non sequitur fallacy and a strawman argument?

Do you know what is a logical non sequitur fallacy?

Do you know what is a strawman argument fallacy?
Unaniuliza nn sasa mm mtaalam we kwanza umejaa Rhetorical question zaidi
 
Kijana Kiranga
Toka nimeenda songea mambo ya kitaalamu ya dini etc.
Nilikuwa ninaona mambo yako na harakati zako hata kabla.

Iko hivyi sikupingi sana ila unahitaji usome Theology ndio uanze kupinga.

Ni sawa na mtu asiyejua mahesabu aanze challenge 2+3sio=5
Akawa anabisha ni 6.

Mifumo imeweka somea kwanza
Nimesoma theology mpaka "The Philosophy of Theology: An Anthology". Nimeimaliza yote. Unaijua hiyo?

Nimesoma theology eastern na western.

Nimesoma mpaka Bhagavad Gita na The Vedas.

Sijasoma tu.Nimetafsiri Dhamapada kwenda Kiswahili.

Unaijua Dhamapada wewe?

Theology gani unayosema nisome?

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Nimesoma theology mpaka "The Philosophy of Theology: An Anthology". Nimeimaliza yote. Unaijua hiyo?

Nimesoma theology eastern na western.

Nimesoma mpaka Bhagavad Gita na The Vedas.

Sijasoma tu.Nimetafsiri Dhamapada kwenda Kiswahili.

Unaijua Dhamapada wewe?

Theology gani unayosema nisome?
Unatakiwa usome.
SSL kwanza ambayo inatolewa na vyuo 2 tuu duniani ningeanza kukuamini
 
You are boring me with your patronizing condescending vacuous bullshit posts.

Thibitisha Mungu yupo acha longolongo.
Unatakiwa usome kijana mzeeeee.
Hujasoma ndio maana unachallenge bila kujua lolote.
Huna Thesis wala Research hata 1.juu ya Theology.
Kasoma

SSL
STL Huko kwanza ndio uje kubishana na kupambana namm
 
Hapa ndiyo umethibitisha Mungu yupo?
 
Kwa hiyo unataka kusema nini? Agano jipya ina kabobo nyingi?
usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako

Anyway
Zaman elimu ya uandishi haikuwa kama sasa ivi, kwa mfano injili ya luka ule ni utafiti wake binafsi ya mtu ambaye habari zake zilikuwa na uvumi mwingi baada ya kufariki hivyo akaamua kuwatafuta watu ambao walishuhudia matukio ya mtu huyo ambaye ni yesu( alikutana na watu wake wa karibu sana) na ndio maana unaona simulizi ya yesu inasimuliwa tangu mwanzo wa kuzaliwa kwake(hapa mwandishi inaonekana alikutana na wazazi wa yesu ndio waliomsimulia habari za kuzaliwa kwake), pia aliwahoji wanafunzi wake na walimsimulia mengi

KWaiyo baada ya luka kuwa na taarifa za kutosha kumuhusu yesu ndio alipoamua kuandika matokeo ya tafiti yake ambayo leo tunaiita kitabu cha luka na kinatambulika kama injili
 
Thibitisha Mungu yupo. Acha longolongo.
Yani mm nikose kazi kukudhibitishia uwepo wa Mungu na imani ni swala binafsi.

Ukitaka kuamini

Soma
Uzi wangu nimekutana naye

Na maelekezo aliyompa sasa hilo ni kwangu tuuuuu
Unataka udhibitishiwe ww sasa hapo ndipo unapokosea.

Soma kwanza then encounter yourself
 
usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako

Anyway
Zaman elimu ya uandishi haikuwa kama sasa ivi, kwa mfano injili ya luka ule ni utafiti wake binafsi ya mtu ambaye habari zake zilikuwa na uvumi mwingi baada ya kufariki hivyo akaamua kuwatafuta watu ambao walishuhudia matukio ya mtu huyo ambaye ni yesu( alikutana na watu wake wa karibu sana) na ndio maana unaona simulizi ya yesu inasimuliwa tangu mwanzo wa kuzaliwa kwake(hapa mwandishi inaonekana alikutana na wazazi wa yesu ndio waliomsimulia habari za kuzaliwa kwake), pia aliwahoji wanafunzi wake na walimsimulia mengi

KWaiyo baada ya luka kuwa na taarifa za kutosha kumuhusu yesu ndio alipoamua kuandika matokeo ya tafiti yake ambayo leo tunaiita kitabu cha luka na kinatambulika kama injili
Akasoma SSL Kwanza
 
Kwa hiyo Biblia ni maandiko ya watu binafsi si maandiko matakatifu ya Mungu yasiyo na makosa?
 
Back
Top Bottom