Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Yani mm nikose kazi kukudhibitishia uwepo wa Mungu na imani ni swala binafsi.

Ukitaka kuamini

Soma
Uzi wangu nimekutana naye

Na maelekezo aliyompa sasa hilo ni kwangu tuuuuu
Unataka udhibitishiwe ww sasa hapo ndipo unapokosea.

Soma kwanza then encounter yourself
Sitaki kuamini, imani unaruhusiwa kuamini chochote hata uongo. Jiyo ni haki yako ya kikatiba na kiutu.

Na kama unaruhusiwa kuamini hata uongo, imani ni irrelevant kwangu. Sitaki kuzungumzia imani.

Si unaruhusiwa kuamini hata uongo, si jambo la binafsi?Sisumbuki na imani.

Hapa naongelea facts.

Thibitisha Mungu yupo, factually.
 
Nimeshakujibu ni swala binafsi nimekupa uzi wangu njoo ujisomeee

Huo ndio uthibitisho juu ya Mungu kwangu we utajijua
 
nimefanya comparison ya vyote na nimekuja na conclusion ya jibu japo sitaki tuchimbe sana huko kwenye mazazi ya yesu Maana ni mtihani...
na jibu la miaka liko sawa
Njoo pia soma maono Niliyopewa.

Research hata mm nimefanya sana mpaka sasa n research iko mbele yanngu
 
usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako

Anyway
Zaman elimu ya uandishi haikuwa kama sasa ivi, kwa mfano injili ya luka ule ni utafiti wake binafsi ya mtu ambaye habari zake zilikuwa na uvumi mwingi baada ya kufariki hivyo akaamua kuwatafuta watu ambao walishuhudia matukio ya mtu huyo ambaye ni yesu( alikutana na watu wake wa karibu sana) na ndio maana unaona simulizi ya yesu inasimuliwa tangu mwanzo wa kuzaliwa kwake(hapa mwandishi inaonekana alikutana na wazazi wa yesu ndio waliomsimulia habari za kuzaliwa kwake), pia aliwahoji wanafunzi wake na walimsimulia mengi

KWaiyo baada ya luka kuwa na taarifa za kutosha kumuhusu yesu ndio alipoamua kuandika matokeo ya tafiti yake ambayo leo tunaiita kitabu cha luka na kinatambulika kama injili
Hapana Mkuu you are absolute wrong..
Luka was Just a Doctor yaani Physician na alikuwa Daktari wa paulo na hakuwahi kukutana na wazazi wa Yesu..
Ila luka alikutana na wakristo wa mwanzoni ambao na wenyewe walihadithiwa Habari za yesu kutoka kwa wale walio ona na kushuhudia...

na hata aliyeandika kitabu cha Yohana pia na yeye hakuwa yohana ila alisimuliwa na watu waliokutana na yohana na ndiyo akaandika
 
Njoo pia soma maono Niliyopewa.

Research hata mm nimefanya sana mpaka sasa n research iko mbele yanngu
hili andiko lako nililisoma ila sikuelewa mayb nilikuwa na haraka haraka
 
Nimeshakujibu ni swala binafsi nimekupa uzi wangu njoo ujisomeee

Huo ndio uthibitisho juu ya Mungu kwangu we utajijua
You are a boring troll.

Nakupeleka ignore list sitaona unachoandika kwa sababu unaleta longolongo tu huna jibu wala nia ya kujibu unaleta bullshit tu hapa.
 
Hapana Mkuu you are absolute wrong..
Luka was Just a Doctor yaani Physician na alikuwa Daktari wa paulo na hakuwahi kukutana na wazazi wa Yesu..
Ila luka alikutana na wakristo wa mwanzoni ambao na wenyewe walihadithiwa Habari za yesu kutoka kwa wale walio ona na kushuhudia...

na hata aliyeandika kitabu cha Yohana pia na yeye hakuwa yohana ila alisimuliwa na watu waliokutana na yohana na ndiyo akaandika
Nashukuru kwa kunisahihisha ni kweli luka hakukutana na wazazi kwasababu hakuna sehem aliyotaja moja kwa moja kwamba alikutana na wazazi wa yesu ila kwa simulizi za kuzaliwa inaonekana kama hakukutana na wazazi basi alikutana na watu wa karibu sana
 
hapana mkuu..
luka ni Era ya Paulo ,rafiki wa Paulo na daktari wa Paulo..LUka alifanya research na kuuliza au kutafuta watu kuwauliza ila hakuwahi kuuliza jamii ya Kiyahdi kuna ushahidi huo kabisa..

kwa sababu hata kwenye generation ya yesu According to luka ni moja ya weakest genealogy ever..
Muulize Mwanatheolojia yoyote asiyetaka kufuata upande Muulize kuhusu the weakest Jesus geneology atakuambia ya Luka..kwa sababu kwanza haifanani na agano la kale na haina uhusiano wa moja kwa moja na maandiko ya masihi...
naomba nishie hapo kwanza
 
Kama ambavyo wewe unaniona ni mjinga wa kuamini Mungu hayupo kwakuwa kama kila kitu kinachotokea basi lazima kiwe na chanzo chake,na chanzo kitakuwa na chanzo chake

Nami nakuona wewe ni mjinga wa kutoamini kuwa lazima somewhere kutakuwa na source ya kila kitu,lazima kila kitu kina mwanzo wake,hiyo ipo hivyo,sasa utaamini au huamini it's not my problem
Kama kila kitu kina mwanzo, Mungu mwanzo wake ni nin?
 
hapana mkuu..
luka ni Era ya Paulo ,rafiki wa Paulo na daktari wa Paulo..LUka alifanya research na kuuliza au kutafuta watu kuwauliza ila hakuwahi kuuliza jamii ya Kiyahdi kuna ushahidi huo kabisa..

kwa sababu hata kwenye generation ya yesu According to luka ni moja ya weakest genealogy ever..
Muulize Mwanatheolojia yoyote asiyetaka kufuata upande Muulize kuhusu the weakest Jesus geneology atakuambia ya Luka..kwa sababu kwanza haifanani na agano la kale na haina uhusiano wa moja kwa moja na maandiko ya masihi...
naomba nishie hapo kwanza
1.Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:1

2 kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:2

3 nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Luka 1:3

Kwenye huo mstari wa tatu luka anasema amejitafutia usahihi wa hayo mambo. Ina maana kwamba hata yeye alikuwa anasikia tu ila akaamua kuutafuta ukweli, sasa huo ukweli aliupatia wapi kama sio kutoka kwa watu wa karibu
 
Uko tayari tuexpose Uongo wa Luka???
kwenye hiyo research yake??
 
bila shaka nitakuwa nimeeleweka, halafu inatakiwa utambue luka hakujifunga na torati ndio maana fafanuzi zake nyingi ni za kiroho

Anyway weka huo utata nitakujibu kulingana na vile ninafahamu
ok sawa!
kwakuwa luka amesema amejihakikisha anachosema kiko sahihi..

(Mwandikiwa wa Kitabu cha Luke)

ambaye alikuwa Theophilo au Theophilus Mwana wa Ananus Mtukufu...

Kama Unasoma Extra biblical History Utagundua kwamba Theophilus amefariki Mwaka 47 AD (Ambaye alikuwa high priest wa Jerusalem from 37-41 AD, ambaye alikuwa mtoto wa Annas (Anna) na Shemeji yake Caiaphas (Kayapha)..)

Na ikumbukwe amefariki miaka kumi au kumi na kitu Tangu Yesu afariki na Ikumbukwe Kitabu cha Luka kimeandikwa Mwaka 90s AD mpaka 100s AD..
Miaka 40 mpaka 50 baada ga Kufariki kwa Theophilus..

Sasa Kama Kitabu cha Luka Kimeandikwa Miaka 50 Baada ya kufariki kwa Theophilus unahisi Ni theophilus Gani aliyekuwa anaandikiwa Ambaye alikuwa kwenye Position ya Uongozi enzi hizo??
huoni kama Ni fabricated Story???

Japo some Churches Historian wana identifies Theophilus kama later high priest yaani Mattathias ben Theophilus, ambaye yeye alitumikia from 65 to 66.

wakisema kwamba Luka alimtaja priest Joseph ben Caiaphas simply kwa "Caiaphas". yaani Kayapha...Thus, the reasoning goes, Luke used this pattern when addressing Theophilus.

Lakini Bado Huyo Theophilus mwingine na Yeye alifariki miaka ya 73 AD Kabla ya Uandishi wa Kitabu cha Luka..

Sasa tuachane na muandishi twende kwenye Context Za kitabu cha luka....je Ni sawa na Context Zingine za Vitabu vyenzake Vya Injili (Synoptic Gospel)? Sidhani....Kwakuwa tunaenda kwenye Contradictory facts twende sawa..

tuanze moja kwa moja kwenye uzao wa yesu!
ukianza kusoma

luka 3:23-24..
"Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri wa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli, wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,"

" Jesus, when he began his ministry, was about thirty years of age, being the son of Joseph, the son of Heli, the son of Matthat, the son of Levi, the son of Melchi, the son of Jannai, the son of Joseph,"

kosa la kwanza Joseph hakuwahi kuwa na baba anaitwa Heli, na nikupe faida heli ni jina la Kigiriki na joseph hakuwahi kuwa mgiriki..

na najua unaweza ukasema kuwa Heli ni jina la baba wa mama yake yesu yaani Mariam ila nakupa majibu kuwa mariam baba yake anaitwa Joachim na mama yake anaitwa anna ...
sasa kama tulivyosoma...
Baba Yake na Yusuph
(ambaye ni Babu yake na Yesu)..

Ukisoma kwenye Mathayo Alikuwa anaitwa Yakobo (Mathayo 1:16) na ukisoma kwa Luka aliitwa ni Eli (Luka 3:23)..
From There the whole Clan ikapotea kabisa..

From eli to Zerubabeli.. Yaani namaanisha Ukoo wote wa Mathayo na ukoo wa Yesu wa Luka uko tofauti mpaka Kwa Zerubabeli....

Na hata Tukianza Kumchambua Ukoo Huo nataka Uwe makini Hapa uweke Akili zako zote hapa..(Si Unamtetea Luka?)..

Hakuna Doubt kwamba Zerubabeli Baba yake Alikuwa Sheatiel (Luka 3:27)..

Screenshot_20240717_191515_Biblia.jpg

Lakini Nasikitika kukwambia Kwamba Zerubabeli (Zorobabel) hakuwahi kuwa na Mtoto anaitwa Rhesa wakati wowote ule kama Alivyotuambia Luka..

Soma (1 Mambo ya Nyakati 3:19-20.) Unakuta kwamba Zerubabel alikuwa na watoto watano ila Rhesa sio Miongoni mwa wanae..
Kulikuwa na Meshulamu,Hanania,Shelomithi,Hashuba,oheli,berekia,hasadia,Yushab-Hesedi...
Screenshot_20240717_191829_Biblia.jpg

Ambapo kama Msomi mzuri wa Luka 3:27 Utagundua Kwamba Rhesa hakuwa miongoni mwa watoto wa Zerubabeli sasa Luka alimtoa wapi????

Na utagundua kwamba hata Baba yake na Sheatiel kama alivyotajwa kwenye Luka 3:27 Kuwa ni Neri kitu ambacho sio kweli Tukirudi Agano la kale 1 Mambo ya nyakati 3 Na hata kwenye Mathayo 1..

Kwa Mujibu wa Mathayo 1:12 Baba yake na Sheatiel alikuwa anaitwa Yekonia..

Screenshot_20240717_192923_Biblia Takatifu.jpg

Na hata kwenye 1 Mambo ya Nyakati 3:17..
Baba yake na sheatiel alikuwa yekonia Na sio Neri kama Luka alivyosema..
Screenshot_20240717_193133_Biblia Takatifu.jpg

Sasa Jiulize kuwa Huyo Neri Luka alimpata wapi..

Hata hivyo tukienda kuhusu Mwana wa Daudi wote wanafahamu kuwa Yesu Ni Mwana wa Daudi ils swali ni kwamba kwa Mwana yupi wa Daudi ukoo wa Yesu unaandikwa???

Ukisoma kwa Luka 3:31 Atakuwambia Nathan (Kitu ambacho Sio Cha kweli) Ndyo Mtoto wa Daudi Ukoo wa Yesu Ulipotokea..

ukisoma Mambo ya Nyakati 22:9-10​

Daudi anathibitisha kuwa Sulemani ndiye aliyechaguliwa kuendeleza kiti cha enzi ambacho baadaye "Mwana wa Daudi" (Yesu) atakikalia.

"Tazama, mwana atazaliwa kwako... jina lake ataitwa Sulemani... nami nitakifanya imara kiti cha enzi cha ufalme wake juu ya Israeli milele."

ila luka yeye akaja akatuambia uzao utatoka kwa nathan..

Ukisoma kwa Luka 3:31 Atakuwambia Nathan (Kitu ambacho Sio Cha kweli) Ndyo Mtoto wa Daudi Ukoo wa Yesu Ulipotokea..
Screenshot_20240717_194158_Biblia.jpg

nahisi niishie hapo nakaribisha hoja utakazo kuja nazo tuzijadili ila mpka hapo Luka anaeleza ukoo mwingine sio wa yesu
 
Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu (atheists) kunahitaji hekima, subira, na hoja zenye mashiko ya kimantiki badala ya kunukuu maandiko pekee. Katika mazingira ya Kiislamu, mjadala huu mara nyingi hujikita kwenye kutumia akili (Aql) na mazingira yanayotuzunguka (Fitra).

Hapa kuna mbinu na hoja unazoweza kutumia:

1. Hoja ya Uwepo wa Ulimwengu (The Argument from Creation)
Hii ni hoja ya msingi inayouliza: "Je, kitu kinaweza kutokea bila muumbaji?"
Mantiki: Kila kilichochongwa kina mchongaji, na kila jengo lina mjenzi.

Ulimwengu ni mfumo tata sana; hivyo basi, ni muhali (haiwezekani) kuwa umetokea kwa bahati mbaya tu.
Mfano: Ikiwa utamkuta mtu ameweka simu ya kisasa mezani na akakuambia kuwa vipande vya chuma na kioo vilijikusanya vyenyewe na kutengeneza simu hiyo kwa mamilioni ya miaka, huwezi kumwamini. Je, ulimwengu ambao ni tata kuliko simu unawezaje kutokea bila mpangaji?

2. Mpangilio na Uwiano wa Ulimwengu (Fine-Tuning)
Wanasayansi wanakubali kuwa ulimwengu una sheria thabiti (kama nguvu ya mvuto - gravity).
Hoja: Ikiwa nguvu ya mvuto ingepungua au kuongezeka kidogo sana, nyota zisingetokea na maisha yasingewezekana. Uwiano huu unaitwa "Fine-Tuning."

Mantiki: Huu usahihi uliokithiri unaonyesha kuwa kuna "Akili" (Intelligence) iliyoweka viwango hivyo, na si vurugu ya bahati mbaya.

3. Asili ya Binadamu (Fitra)
Hii inahusu lile hitaji la ndani la binadamu kutafuta kitu kikuu zaidi (Transcendence).

Hoja: Hata watu wasioamini, wanapopata majanga makubwa (kama ndege inapotaka kuanguka), mara nyingi hujikuta wakitafuta msaada kutoka kwa nguvu iliyo juu yao.

Mantiki: Hisia hii ya ndani ni utambulisho uliowekwa ndani ya roho ya kila binadamu kumtambua Muumba wake.

4. Maadili na Utu (Objective Morality)
Hoja: Ikiwa hakuna Mungu, na sisi ni matokeo ya mageuzi (evolution) ya kikemikali tu, kwa nini tunaamini kuwa kuua au kudhulumu ni "kibaya"?

Mantiki: Bila Mungu, maadili yanakuwa ni maoni tu ya watu. Lakini binadamu wote wanaelewa kuwa kuna haki na batili. Haki hii ya asili inatoka kwa Muumba aliyeweka sheria za kimaadili.

Jinsi ya Kuzungumza Nao kwa ufanisi:
Tumia Lugha ya Mantiki: Atheists wengi huamini katika sayansi na ushahidi. Badala ya kusema "Kitabu kinasema hivi," sema "Tazama mfumo wa DNA, je, unawezaje kuwa na maelekezo tata kiasi hicho bila mwandishi wa kanuni hizo?"

Kuwa na Adabu na Subira: Lengo liwe ni kufahamishana, si kushinda vita ya maneno. Quran inatuhimiza tujadiliane kwa namna iliyo bora zaidi.

Kubali Mipaka ya Sayansi: Eleza kuwa sayansi inajibu maswali ya "Vipi" (Vipi mvua inanyesha?), lakini dini inajibu maswali ya "Kwa nini" (Kwa nini tuko hapa na nini hatima yetu?). Sayansi haiwezi kuthibitisha au kukanusha uwepo wa Mungu kwa sababu Mungu hayuko ndani ya maabara.

Ni hayo tu!
Mungu alitokana na nini..?
 
Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.

Kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyo yupo.
Bwana Kiranga sayansi haiwezi kudhibitisha uwepo wa Mungu au kutokuwepo kwake,kwahiyo usijipe ushindi ambao haupo

Hapa nakuletea hoja ambazo zitaonyesha kwamba sayansi inamipaka na sio suluhisho la kila kitu,kwahiyo kama mnadhani kupitia sayansi mtaweza kuamini kuwa Mungu hayupo mnajidanganya

Kama sayansi ina mapungufu basi msiipe umuhimu wa kuwafanya msione uwepo wa Mungu,kwasababu kipimo mnachotumia hakina majibu ya kila kitu

Ingawa sayansi ni zana yenye nguvu sana ya kuelewa ulimwengu wa kimaumbile, ina mipaka yake ya kimsingi. Hapa kuna sababu kuu kwa nini sayansi haina majibu ya kila kitu:

1. Sayansi Inajikita katika Ulimwengu wa Kimaumbile (Natural World)
Sayansi inategemea uchunguzi, majaribio, na vipimo. Ili kitu kidhibitishwe kisayansi, lazima kiweze kupimika au kuonekana kwa namna fulani (empirical evidence).
Mambo yaliyo nje ya maumbile: Maswali kuhusu mambo ya kiroho, uwepo wa Mungu, au maisha baada ya kifo yako nje ya uwezo wa darubini au maabara. Sayansi haiwezi kuyathibitisha wala kuyakanusha kwa sababu hayawezi kupimika.

2. Maswali ya Maadili na Thamani (Ethics and Values)
Sayansi inaweza kutuambia jinsi ya kufanya kitu, lakini haiwezi kutuambia kama tunapaswa kukifanya.
Kwa mfano, sayansi inaweza kutuonyesha jinsi ya kutengeneza silaha za nyuklia au jinsi ya kubadili vinasaba vya binadamu (cloning), lakini haiwezi kutoa uamuzi wa kimaadili kama kufanya hivyo ni "sahihi" au "makosa." Maadili yanategemea falsafa, utamaduni, na imani.

3. Hisia na Urembo (Subjective Experience)
Sayansi inaweza kueleza michakato ya kemikali inayotokea kwenye ubongo unapokuwa na furaha au unapoona rangi fulani, lakini haiwezi "kudhibitisha" kiasi cha uzuri wa kito cha sanaa au uchungu wa mapenzi kwa namna ya jumla. Hizi ni tajriba za kibinafsi (subjective) ambazo hazina kipimo kimoja cha ulimwengu mzima.

4. Mantiki na Hisabati (Logic and Mathematics)
Inashangaza kidogo, lakini sayansi yenyewe inategemea hisabati na mantiki, ambazo ni mifumo inayojithibitisha yenyewe. Huwezi kutumia majaribio ya kisayansi kudhibitisha kuwa 1 + 1 = 2; hiyo ni kanuni ya kihisabati ambayo sayansi inaitumia kama msingi.

5. Asili ya Sayansi: "Daima Inabadilika"
Sayansi haitoi "ukweli wa mwisho" usiobadilika. Badala yake, inatoa nadharia bora zaidi kulingana na ushahidi uliopo kwa wakati huo.
Zamani sayansi iliamini kuwa Jua linazunguka Dunia. Ushahidi mpya ulipopatikana, nadharia hiyo ilibadilika. Kwa hiyo, sayansi inajisahihisha yenyewe, jambo linalomaanisha kile tunachokiona kama "uthibitisho" leo kinaweza kuboreshwa au kubadilishwa kesho.

Sayansi ni kama tochi: inamulika vizuri sana maeneo yenye giza katika ulimwengu wetu wa kimaumbile, lakini haiwezi kumulika kila kona ya uwepo wa mwanadamu, hususan maswali ya "kwa nini" (madhumuni) badala ya "vipi" (mchakato). Kwa maswali ya maana ya maisha, uzuri, na maadili, mwanadamu hulazimika kutafuta majibu kwenye falsafa, dini, na sanaa.
 
Hujaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote.

Hata kwa uchawi, achilia mbali sayansi tu.
 
Hujaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa njia yoyote.

Hata kwa uchawi, achilia mbali sayansi tu.
Comment yangu ya mwisho imeonyesha mapungufu ya Sayansi,kwahiyo ukweli utabakia pale pale Sayansi ambayo ndio mnaitumia kudhibitisha uwepo wa Mungu haiwezi kutoa majibu ya kila kitu ikiwemo kudhibitisha uwepo au kutokuwepo kwa Mungu

Asante.
 
Bila kwenda kwenye sayansi pure logical thinking inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote muumba wa vyote hawezi kuwapo.

Na hiyo logic ndiyo hiyo hiyo mnaitumia kutaka kuonesha Mungu yupo kwa kusema yeye ndiye primary mover.

Hakuna hoja utakayoitumia kutetea uwepo wa Mungu isiyo na some kind of logic.

Sasa chagua moja, mnataka logic au hamuitaki?

Msiwe mnaitaka logic kuonesha Mungu yupo tu, lakini logic hiyo hiyo inapotumika kuonesha Mungu hayupo, mnaikataa.
 
Back
Top Bottom