Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

UKo sahihi lakini kuna jambo moja ningependa kukurekebisha

Biblia imeandikwa kuwahusu watu wa mungu, wakati wa ibrahim kulikuwepo na jamii pamoja na koo nyingi lakini hizo nyingine hazikuandikwa kwenye biblia hiyo haimaanishi hakukuwepo na vizazi vingine

Chukulia mfano ww uandike historia ya vyama vya siasa hapa nchini, bila shaka historia yako haitazidi uchambuzi wa miaka 100. Lakini ukisema uandike historia ya makabila ya tanzania pamoja na machifu wao bila shaka historia yako itaweza kufikia miaka mingi zaid late say miaka 700.

Kwaiyo hiyo miaka kwenye biblia ni uchambuzi wa kizazi ama vizazi ambavyo vilihusishwa na muumba
Huyo muumba hakuna aliyethibitisha yupo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.

Na hiyo historia ni za watu tu wameandika maisha yao, historia zao, ndiyo maana ziko local hujasikia habari za Wandengereko wala mlima Kilimanjaro kwenye Biblia.
 
Mkuu unasahau kuwa kulingana na Miaka ya kibiblia na quran na Torah ya wayahudi dunia imeumbwa miaka 6000 iliyopita?
adamu generation ni miaka 900 ambayo inachukua miaka 1000 kati ya hiyo 6000..isaka generation na wengine kina nuhu wanachukua karibu 1500 inabaki miaka 3500...

so history iko sahihi exacly kabisa na haijakosea...kwa sababu historia ya biblia kutoka kwa adamu ni fupi sana ina generation 77 toka kwa Adam mpaka kwa yesu..

Kwa mujibu wa Injili ya Matthew:
Kuna vizazi 42 kutoka kwa Abraham hadi kwa Yesu na takribani vizazi 76 hadi 77 kutoka kwa Adam hadi kwa Yesu..
na usisahau kutoka yesu hadi sasa kuna vizazi 66–70
ukijumlisha 77+70 ni vizazi 147
..
kwahyo kwa Mujibu wa biblia kuna vizazi 147 mpaka sasa....

kati ya hivyo vizazi 147... vizazi 42 mpaka 50 vilikuwa havina monotheism ila vizazi 10 vilivyofuata vilianza practise monotheism....kwahyo kati ya vizazi 147 ni vizazi 80 tu ndo vilizaliwa kwenye wimbi la mungu mmoja likiwa limeanza kushika kazi na vizazi 30-50 vikiishi kwenye hiyo monotheism..

kwa mjibu wa Elimu ya dini ya Abrahim au ibrahim zote tatu dunia ina Milenium sita tu na Vizazi 147
 
Hivyo 77 ni kutoka Kuja Yani Adam hadi Yesu.
Sasa kwa Matayo ni 60.

Kumbuka kuna wazazi wametajwa upande mmoja Wingine hawajatajwa.
 
Huyo muumba hakuna aliyethibitisha yupo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.

Na hiyo historia ni za watu tu wameandika maisha yao, historia zao, ndiyo maana ziko local hujasikia habari za Wandengereko wala mlima Kilimanjaro kwenye Biblia.
je unaweza kutumia kipimo kimoja kuthibitisha uwepo wa kila kitu, yani ukatumia macho kuona upepo au kupima joto kwa macho.

Bila shaka kila kitu kina kanuni zake za kujithibitisha. Ukitaka kujua uwepo wa mungu fuata maelekezo ya biblia utafaham

Ni kama vile leo nikitaka kujua presha lazima nitasoma manual book ili kutumia pressure gauge kwa usahihi

Sasa ikiwa kwa jambo dogo kama hilo ninatumia manual book kwanini wewe hutaki kutumia biblia kuwa manual book yako?
 
Atheist ni wait ambao wengi ni wabinafsi wana Nadharia za kibinafsi na sio uwezo wa Kufikiria kwa upana kwa wote kwa ujumla
 
Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa kipimo chochote.

Sijawahi kukataa uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani kwa macho.

Biblia imejaa contradictions ambazo nikiziweka hapa huwezi kumaliza kuzipangua, kwa sababu imejaa uongouongo mwingi ulioungwaungwa tu.

Bisha nikuwekee hapa uzipangue.
 
Bora theist at least
theist A anamcheka theist B anaenda kula kiberiti , hali kadhalika B kwa A juu ya wameongopewa habari za kweli, sembuse theist kwa atheist mkuu.

dishonest kubwa kwenye mjadala inatoka kwa theist mkuu, regardless ya nani yupo sahihi
 
Kiranga.

Bora theist kidogo anaamini 1 being kuliko ambaye haamini kabisa
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Huyo muumba hakuna aliyethibitisha yupo, kwa sababu hayupo.

Kama unabisha, thibitisha yupo.

Na hiyo historia ni za watu tu wameandika maisha yao, historia zao, ndiyo maana ziko local hujasikia habari za Wandengereko wala mlima Kilimanjaro kwenye Biblia.
Kilimanjaro ilikuwepo ila kwenye tafsiri za biblia uchakachuaji ulifanyika
 
Atheist ni wait ambao wengi ni wabinafsi wana Nadharia za kibinafsi na sio uwezo wa Kufikiria kwa upana kwa wote kwa ujumla
Kwanza unachosema is not necessarily true, watu waliojenga mifumo ya demokrasia, haki za binadamu, the enlightenment ambayo imesaidia watu wengi duniani wengi walikuwa atheists. Wameangalia principles tu, si ubinafsi. Na hata leo nchi zinazoongoza kwa haki za binadamu na demokrasia zina idadi kubwa ya atheist.

Lakini, hata kama unachosema ni kweli, atheists ni wabinafsi, huo nao ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
 
Kwanza unachosema is not necessarily smtrue, watu waliojenga mifumo ya demokrasia, haki za binadamu, the enlightenment ambayo imesaidia watu wengi duniani wengi walikuwa atheists. Wameangalia princiokes tu, si ubinafsi. Na hata leo nchi zinazoongoza kwa haki za binadamu na demojrasia zina idadi kubwa ya atheist.

Lakini, hata kama unachosema ni kweli, atheists ni wabinafsi, huo nao ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Je watu wanaoshape mifumo ya dunia ya sasa ni atheist tuuuu?
 
Back
Top Bottom