tambua kwanza biblia hasa agano jipya zile ni research pamoja barua kwa kundi fulani la watu(wayahudi na mataifa)Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa kipimo chochote.
Sijawahi kukataa uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani kwa macho.
Biblia imejaa contradictions ambazo nikiziweka hapa huwezi kumaliza kuzipangua, kwa sababu imejaa uongouongo mwingi ulioungwaungwa tu.
Bisha nikuwekee hapa uzipangue.
Bora theist kidogo anaamini 1 being kuliko ambaye haamini kabisa
Why is this even a question?Je watu wanaoshape mifumo ya dunia ya sasa ni atheist tuuuu?
Kijana KirangaIkiwa Mungu hayupo.
Kwa nini kuamini uongo Mungu yupo kuwe bora kuliko kutouamini?
Kwa hiyo unataka kusema nini? Agano jipya ina kabobo nyingi?tambua kwanza biblia hasa agano jipya zile ni research pamoja barua kwa kundi fulani la watu(wayahudi na mataifa)
Ikikupendeza weka huo utata nitajitahidi kujibu kadri niwezavyo
Unaniuliza nn sasa mm mtaalam we kwanza umejaa Rhetorical question zaidiWhy is this even a question?
Why is this relevant and not a logical non sequitur fallacy and a strawman argument?
Do you know what is a logical non sequitur fallacy?
Do you know what is a strawman argument fallacy?
Kila mmoja anapande zake.Ikiwa Mungu hayupo.
Kwa nini kuamini uongo Mungu yupo kuwe bora kuliko kutouamini?
Nimesoma theology mpaka "The Philosophy of Theology: An Anthology". Nimeimaliza yote. Unaijua hiyo?Kijana Kiranga
Toka nimeenda songea mambo ya kitaalamu ya dini etc.
Nilikuwa ninaona mambo yako na harakati zako hata kabla.
Iko hivyi sikupingi sana ila unahitaji usome Theology ndio uanze kupinga.
Ni sawa na mtu asiyejua mahesabu aanze challenge 2+3sio=5
Akawa anabisha ni 6.
Mifumo imeweka somea kwanza
Unatakiwa usome.Nimesoma theology mpaka "The Philosophy of Theology: An Anthology". Nimeimaliza yote. Unaijua hiyo?
Nimesoma theology eastern na western.
Nimesoma mpaka Bhagavad Gita na The Vedas.
Sijasoma tu.Nimetafsiri Dhamapada kwenda Kiswahili.
Unaijua Dhamapada wewe?
Theology gani unayosema nisome?
You are boring me with your patronizing condescending vacuous bullshit posts.Unatakiwa usome.
SSL kwanza ambayo inatolewa na vyuo 2 tuu duniani ningeanza kukuamini
Unatakiwa usome kijana mzeeeee.You are boring me with your patronizing condescending vacuous bullshit posts.
Thibitisha Mungu yupo acha longolongo.
Hapa ndiyo umethibitisha Mungu yupo?Unatakiwa usome kijana mzeeeee.
Hujasoma ndio maana unachallenge bila kujua lolote.
Huna Thesis wala Research hata 1.juu ya Theology.
Kasoma
SSL
STL Huko kwanza ndio uje kubishana na kupambana namm
Unaweza kufundisha Sheikh jinsi ya kula kitimoto na ladha ya kitimoto?.Hapa ndiyo umethibitisha Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo. Acha longolongo.Unaweza kufundisha Sheikh jinsi ya kula kitimoto na ladha ya kitimoto?.
Ndio unachotaka udhibitisho
usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lakoKwa hiyo unataka kusema nini? Agano jipya ina kabobo nyingi?
Yani mm nikose kazi kukudhibitishia uwepo wa Mungu na imani ni swala binafsi.Thibitisha Mungu yupo. Acha longolongo.
Akasoma SSL Kwanzausijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako
Anyway
Zaman elimu ya uandishi haikuwa kama sasa ivi, kwa mfano injili ya luka ule ni utafiti wake binafsi ya mtu ambaye habari zake zilikuwa na uvumi mwingi baada ya kufariki hivyo akaamua kuwatafuta watu ambao walishuhudia matukio ya mtu huyo ambaye ni yesu( alikutana na watu wake wa karibu sana) na ndio maana unaona simulizi ya yesu inasimuliwa tangu mwanzo wa kuzaliwa kwake(hapa mwandishi inaonekana alikutana na wazazi wa yesu ndio waliomsimulia habari za kuzaliwa kwake), pia aliwahoji wanafunzi wake na walimsimulia mengi
KWaiyo baada ya luka kuwa na taarifa za kutosha kumuhusu yesu ndio alipoamua kuandika matokeo ya tafiti yake ambayo leo tunaiita kitabu cha luka na kinatambulika kama injili
Kwa hiyo Biblia ni maandiko ya watu binafsi si maandiko matakatifu ya Mungu yasiyo na makosa?usijiweke kuwa mwenye mentalty ya kupinga kila kitu wewe kama msomi nilivyosema ni research tu ungeelewa na hakungekuwa hilo swali lako