Ufafanuzi wa Kujadiliana na watu wasioamini uwepo wa Mungu

Chanzo cha mungu ni kipi?
Yeye aliumbwa na nani??
 
Kama ambavyo wewe unaniona ni mjinga wa kuamini Mungu hayupo kwakuwa kama kila kitu kinachotokea basi lazima kiwe na chanzo chake,na chanzo kitakuwa na chanzo chake

Nami nakuona wewe ni mjinga wa kutoamini kuwa lazima somewhere kutakuwa na source ya kila kitu,lazima kila kitu kina mwanzo wake,hiyo ipo hivyo,sasa utaamini au huamini it's not my problem
 
Hili mlichukue lilivyo. Mimi ndo hao wasioamin uwepo wa mungu. Cku moja tulipata ajali ya pkpk na mm ndio niliumia kwa kiasi kikubwa. Sasa nikawaambia kuwa kila cku mnaniambia mungu mungu sasa msiende hospitali bali mhamie kanisani hadi cku mtapona na mimi sitaenda hos bali konyagi yangu itaniponya. Kweli wakakubali kutoenda hos kwamba wataongea na mungu na watapona mimi nae kila kukicha nasafisha na konyagi yangu jeraha na nyingne nakunywa. Na sio siri ndan ya cku nne kidonda kimeanza kukauka kama nyama inayochomwa na wao ndo kabsaa kinazidi kuwa kama samaki alochemshwa afu kashkia kwene sufuria. Kilichowakuta mwishoni ni sawa na mtu alougua kansa ya kidonda. Kidogo tu nipge pafu la nyagi nakwom
 
Ni sahihi wanazaliwa,je binadamu wa mwanzo walitoka wapi?
Hakuna binadamu wa mwanzo.

Kama kungekuwa na binadamu mmoja tu wa mwanzo kwa binadamu wote ulimwenguni, basi kusingekuwa na utofauti wa rangi na vinasaba kwa binadamu.

Binadamu wote tungefanana kwa rangi na vinasaba, kwa sababu tumetokana na Binadamu mmoja tu.

Lakini sivyo, binadamu tunafoutiana rangi na vinasaba.

Kuna waafrika weusi, wazungu weupe, wachina, wajapani, wafilipino, wakorea, wahindi weusi, wahindi weupe, waarabu n.k

Sasa kwa huu, utofauti wa rangi na vinasaba HAIWEZEKANI binadamu wote tuwe tumetokana na Binadamu mmoja tu wa mwanzo.

Kama binadamu wote, tungekuwa tumetokana na Binadamu mmoja tu wa mwanzo, tungefanana kwenye kila kitu.
 
Tunatumia au kuitaja sayansi kwakuwa ndio kichaka chenu cha kujifichia kwahiyo itabidi tuwafuate humo humo kuwapiga spana
 
binadamu wa kwanza alizaliwa na nani?
Na Mama yake.

Cha kujificha kwenye nini?

Madai mmeanzisha nyie, halafu mnaipa sayansi mzigo wa kuthibitisha madai yenu.

Una elewa Burden of proof philosophy?
 
inategemea na mahali ulipo, speakers corner kule UK ama hata US kama ni mfuatiliaji sana wa youtube utakubali kwamba umeandika ndivyo sivyo ,
 
Hola yako bado haikinaishi kuelezea uwingi wa miunģu kwakuwa tu kuna vitu vingi kwahiyo basi bilashaka vitakuwa vimeumbwa na wengi

Je,sisi binadamu kwa mtazamo wako tumeumbwa na miungu wengi au mmoja tu

Yote yanawezekana kwamba binadamu tofauti kuumbwa na miungu tofauti au huyohuyo mmoja.

Kwa nini hutaki kwamba miungu inaweza kuwa Mingi wakati huo kuna amri zinasema usiabudu miungu mingine?
 
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, Chanzo cha huyo Mungu ni nini?

Usiseme Mungu hana chanzo.

Kusema hivyo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy is an informal fallacy occurring when someone applies a general rule to others but claims an exemption for themselves or a specific case without justification.

It is a form of double standard or "moving the goalposts" designed to protect a cherished belief from contradictory evidence.
 
"Kama kila kitu 'kilikuwepo tu,' mbona sayansi inatuambia ulimwengu unapanuka na unabadilika? Kitu kinachobadilika kina mwanzo na mwisho. Ukiona gari limepaki barabarani, huwezi kusema 'lilikuwepo tu hapo'; akili yako inakuambia kuna mtu aliliunda na kuna mtu aliliendesha akaliweka hapo. Ulimwengu ni tata zaidi kuliko gari, unahitaji mwasisi zaidi."
 
Hoja ya Upungufu wa Vitu vya Kimwili
Vitu vyote vya kimwili (materia) vinabadilika, vinachakaa, na vina mipaka.
Hoja: Kitu chochote chenye mipaka hakiwezi kuwa "chanzo cha mwisho." Lazima kuwe na "Kitu" au "Mtu" ambaye hana mipaka, hategemei kingine, na yeye ndiye aliyetoa mwanzo wa vitu vyote. Huyo ndiye tunayemwita Mungu.
 
"Kama kila kitu 'kilikuwepo tu,' mbona sayansi inatuambia ulimwengu unapanuka na unabadilika?
Ulimwengu hupitia mabadiliko mbalimbali ya kijiografia.
Hata huyo Mungu huwezi kusema yupo tu au alikuwepo tu.
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema hana mipaka.

Usirukie kusema "Mungu hana mipaka" Wakati bado hujathibitisha uwepo wake.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Ulimwengu hupitia mabadiliko mbalimbali ya kijiografia.

Hata huyo Mungu huwezi kusema yupo tu au alikuwepo tu.
Msioamini Mungu huwa mnapambana sana kukwepa kutambua original ya mambo yote,kila kitu kina chanzo
 
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu kabla ya kusema hana mipaka.

Usirukie kusema "Mungu hana mipaka" Wakati bado hujathibitisha uwepo wake.

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Ulimwengu haupo tu, bali upo katika mpangilio makini sana. Kwa mfano, nguvu ya mvuto (gravity) au kasi ya upanuzi wa ulimwengu ikibadilika kwa kiasi kidogo sana (hata kwa 10^{-60}), uhai tusingekuwepo.

Hoja: Mpangilio huu makini unashiria Akili (Designer) na si bahati mbaya au "kuwepo tu." Kusema kila kitu kilikuwepo tu ni sawa na kusema saa ya mkononi ilijitengeneza yenyewe na kujiseti muda wenyewe.
 
Msioamini Mungu huwa mnapambana sana kukwepa kutambua original ya mambo yote,kila kitu kina chanzo
Kama kila kitu, lazima kina chanzo, Hata huyo Mungu hawezi kukwepa ulazima huu.

Na yeye lazima awe na chanzo.

Kusema Mungu hana chanzo, halafu hapohapo unalazimisha na kufosi ulimwengu uwe na chanzo, Ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy is an informal logical fallacy where someone claims an exception to a general rule or principle without providing adequate justification. It essentially applies a double standard, exempting a specific case (often the speaker’s own) from the same critical criteria used for others.

The "First Cause" Argument: A common debate point where an arguer states "everything must have a cause," but then claims God is the exception and does not need a cause, often without providing a logical reason why that exception exists.
 
Yote yanawezekana kwamba binadamu tofauti kuumbwa na miungu tofauti au huyohuyo mmoja.

Kwa nini hutaki kwamba miungu inaweza kuwa Mingi wakati huo kuna amri zinasema usiabudu miungu mingine?
Kufuatia kauli kwamba usiabudu miungu inaonyesha hiyo ni miungu feki,mfano wahindu baadhi wanaabudu ng'ombe kwahiyo hiyo ni sehemu ya moungu feki

Kama baadhi ya wanadamu wameumbwa na miungu tofauti,je inakuaje system ya miili yetu ni moja?

Au kwanini Mungu mwingine asingeumba mwanadamu anayeumwa,mbona wote tunachangamoto zile zile?
 
Hoja ya Kusababishwa (Cosmological Argument)
Kila kitu tunachokiona kina chanzo chake. Hakuna kitu kinachoweza kujisababisha chenyewe kuwepo.
Hoja: Ikiwa ulimwengu upo, lazima kuna kitu kilichosababisha uwepo wake. Sayansi ya sasa (kama nadharia ya Big Bang) inakubali kuwa ulimwengu ulikuwa na nukta ya kuanza.

Ikiwa hakuna mwanzo, inakuwaje leo tupo hapa? Huwezi kufika 'leo' kama kulikuwa na idadi isiyo na mwisho ya siku zilizopita (Infinite Regress)."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…