Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

Rais Samia, na hiyo mitandio inamuondolea smartness. Waoo watakaoaema ni imani, japosi kweli.

Matambara haya yana asili ya mazingira wanayoishi waarabu ambayo yana vumbi la mchanga, ndiyo maana hata wanaume walikuwa wakivaa ili kupunguza adha ya vumbi. Na ni mavazi ya kawaida sana hata kwa watu wanaoishi karibu ya jangwa la Sahara, kutokana na vimbunga vya pepo za Hamatan.
 
Mwigulu hujamuona na litai lake anakusubiria uhamie Gitega
 
Mkuuu kwani TANZANIA WE HUJUI AU ZANZBAR HAIPO HAPO KWENYE TANZANIA?
 
🤔🤔🤔🤔😝😝😝😝Kazi ipo!Binadamu akiwa hataki jambo fulani atatafuta vigingi hadi kieleweke.
Yaani si ndogo kazi yenyewe!
Lkn tutafika tu, yana mwisho na mwisho wake kweli (haki) lazima isimame! Na ukiangalia sana hapo ni mmoja tu aliyevaa ya zenji huku bendera ya tz ikionekana zaidi kuliko ya zenji......mulamula, mwigulu, mlinzi mkuu huyo na hata mwenyewe kifuani. Basi tu
 
Reactions: Tui
Huyo mbona unayemsema hapo sio mlinzi!? Ni waziri wa uwekezaji na uchumi ofisi ya rais visiwani Zanzibar….Mudrick Soraga kagoogle
Unafikiri mapopoma yanafikiri.Umeona nyumbu wakivuka mto kwenda Masai Mara kutoka Serengeti?
Huwa wanafuatana tu bila kujiuliza.Mmoja kaja na uzushi wake wengine wamedandia.
 
Mie huwa navaa ya Simba sport Club.....no big deal.

Na utakuta muanzisha uzi huwa anavaa ya Manchester United!
 
Wao kuvaa barakoa za Zanzibar kunapunguza nini kwenye maisha yako wewe mleta mada?. Hii ni mada ya kitoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…