TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Yaani wafaransa wanamkaribisha Rais wetu kwenye kapeti lilochanika. Hii haiwezi kupita hivi hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hoja nzuri sana. Katika mambo mazuri ya JPM ni kusimama katika mstari kuhusu muungano.JPM angekuwa hai kuna mtanzania yoyote angeongelea uzanzibari na utanganyika?.
Hapana, Wananchi wa Tanganyika na Zanzibar walihojiwa na Tume ya Warioba na kwa pamoja walisema wanataka Tanganyika irudi. Si hoja juu ya nyingine, inajitegemea na Rasimu ipo.Hizi ni hoja ambazo msingi wake siku zote ni hoja nyingine zinazokuwepo, ni hoja nyepesi zinazobeba ubaguzi.
Hapana, Tume ya Jaji Nyalali na Tume ya Mzee Warioba zimeeleza umuhimu wa uwepo wa Tanganyika. Umuhimu huo unaonekana zaidi zama hizi kwasababu Zanzibar imekuzwa kuliko Tanzania. JMT inatumiwa vibaya kwasababu hakuna msimamizi wa masilahi ya Tanganyika. Mfano, inawezekanaje pesa ikopwe na JMT igawanywe Zanzibar lakini deni alipe Mtanganyika?Watu hujitambulisha kwa utanganyika wao kama kulipa kisasi au kama ni kujaribu kuringa kana kwamba na wao wanayo asili yao hivyo hawafai kubaguliwa kwa aina yoyote ile.
Tunarudia tena, Tume ya Jaji Nyalali na Tume ya Mzee Warioba kwa ukubwa na uwazi imeeleza bila kumung'unya hoja za Wananchi wa Tanzania juu ya uwepo wa Tanganyika.Sijauona msingi wa utanganyika ukiwa ni hoja inayojitegemea inayoibuka yenyewe kama yenyewe bali ninaiona ni hoja tegemezi ya hoja nyingine hivyo haina mashiko, haina uzito wowote zaidi ya kutaka kujibu mapigo kwa dharau wanazokuwa nazo wazanzibari.
Tumevumiliana sana lakini je, tutaendelea katika hali iliyopo? Tueleze inakuwaje hatuoni mchango wa Zanzibar katika muungano kama ule wa Mbeya na Mtwara au Simiyu lakini Zanzibar inapewa fursa kubwa kuliko maeneo hayo?Umoja ni upendo, na upendo siku zote huvumilia, haina makuu wala haujikwezi.
Hakuna kilichotokea. Hizi ni hoja zinazoibuka kwa wivu tu wa kuona rais SSH ni mzanzibari. Tume za Warioba na Nyalali kupendekeza kuwepo Tanganyika haina maana ndio maneno ya msahafu kwamba hayawezi kupingwa.Ni hoja nzuri sana. Katika mambo mazuri ya JPM ni kusimama katika mstari kuhusu muungano.
JPM alizuia uchochoro wa biashara kupitia Zanzibar kwa jina la muungano.
Aliwaambia kuhusu bandari na umeme wazi kwamba wanapaswa kulipa kama Raia wengine.
JPM haku entertain hoja za kero akijua wazi hazikuwa na msingi wowote.
Kero zilitajwa wazi ni 11, ghafla zimepatiwa ufumbuzi wa siri kubwa.
Kwa usiri uliopo watu wanahoji , masilahi ya Tanganyika yaliangaliwa na nani?
Isije kuwa usiri ule ule wa IOC uliopelekea kuundwa kwa G55.
Lakini pia kuna suala la Uzanzibar penye masilahi, watu wanahoji kwenye kuwajibika wapo wapi?
Hapana, Wananchi wa Tanganyika na Zanzibar walihojiwa na Tume ya Warioba na kwa pamoja walisema wanataka Tanganyika irudi. Si hoja juu ya nyingine, inajitegemea na Rasimu ipo.
Tume ya hayati Nyalali ilisema Tanganyika irudi, si hoja juu ya nyingine, inajitegemea
Katiba ya Zanzibar ya 2010 imeiondoa katika JMT , kilichobaki ni Tanganyika kwa jina la JMT.
Hapana, Tume ya Jaji Nyalali na Tume ya Mzee Warioba zimeeleza umuhimu wa uwepo wa Tanganyika. Umuhimu huo unaonekana zaidi zama hizi kwasababu Zanzibar imekuzwa kuliko Tanzania. JMT inatumiwa vibaya kwasababu hakuna msimamizi wa masilahi ya Tanganyika. Mfano, inawezekanaje pesa ikopwe na JMT igawanywe Zanzibar lakini deni alipe Mtanganyika?
Ikiwa sivyo mbona hatuoni formula ya kugawana madeni tunaona ya misaada na mikopo?
Huyu JMT ni nani na anachangiwaje wakati anaenda kukopa?
Tunarudia tena, Tume ya Jaji Nyalali na Tume ya Mzee Warioba kwa ukubwa na uwazi imeeleza bila kumung'unya hoja za Wananchi wa Tanzania juu ya uwepo wa Tanganyika.
Bila uwepo wa Tanganyika muungano haupo kwasababu inabaki Tanganyika kwa jina la JMT huku Zanzibar ikivuna pato na fursa za Watanganyika kwa jina la muungano!
Tumevumiliana sana lakini je, tutaendelea katika hali iliyopo? Tueleze inakuwaje hatuoni mchango wa Zanzibar katika muungano kama ule wa Mbeya na Mtwara au Simiyu lakini Zanzibar inapewa fursa kubwa kuliko maeneo hayo?
Jiulize hivi, kwanini Wazanzibar waliodai uwepo wa Tanganyika miaka zaidi ya 50 na Wazanzibar wanaodai ukoloni wa machogo leo wamekaa kimyaa tena wakiushangilia muungano? Kuna nini tofauti kimetokea?
Kwa kiasi nakubaliana nawe kwa hoja kwamba Rais SSH amekuza sana tatizo.Hakuna kilichotokea. Hizi ni hoja zinazoibuka kwa wivu tu wa kuona rais SSH ni mzanzibari.
Tume zimekusanya maoni ya Wananchi. Kama kuna kitu tofauti ni kipi kutoka kwa nani.Tume za Warioba na Nyalali kupendekeza kuwepo Tanganyika haina maana ndio maneno ya msahafu kwamba hayawezi kupingwa.
Ndiyo lakini pia Jiografia inahusu. Kuhusu ukupe hilo halina ubishi.Tatizo la kuiona Zanzibar kama vile kupe linatokana na udhaifu wao wenyewe. Kuna nchi ndogo kama Mauritius zinajitegemea kwa utalii tu.
Hapana, kinachotokea ni pesa za Tanganyika kutumika kujitanua. Ni ukweli usio na shaka.Zanzibar inaweza kujitegemea kwa utalii tu. Na wameanza kujitegemea wakitumia rasilimali walizonazo.
Yes kwasababu wanasimama katika mstari. Kero 11 walizitazama katika jicho lenye busara kwasababu zililenga kumbebesha Mtanganyika mzigo zaidi.Hivi vilio vya bara inaonewa ni vya kisiasa zaidi, havina mashiko kwani husikika wakati kiongozi mkuu anapokuwa anatoka Kizimkazi Unguja , akiwa ni mwenyeji wa Chato au Chalinze huwezi kusikia habari za bara kuonewa.
Uvumilivu kwa Tanganyika pekee! hapana, wakati umefika Tanganyika irejee kama Wananchi walivyosema wakiwemo Wazanzibar!Tuwe wavumilivu tu, kazi ikiwa inaendelea.
Ni nani amemuweka madarakani?aliyewaweka madarakani. 🇾 🇪 🇾 🇪
🇸 🇮 🇲 🇼 🇦 🇰 🇮 🇱 🇮 🇸 🇭 🇮
Ni Nani atalipa hayo madeni?Angeweza kukopa fedha zote hizo bila ya kutangaza na akatuaminisha tutembee kifua mbele tunajenga kwa kodi zetu za ndani
Zanzibar ni sehemu ya TanzaniaSalaam Wakuu,
Nadhani Walinzi walitakiwa Kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania sio Zanzibar kwani, hii ni Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakuambatana na Mwinyi ndo wavae hizi Bara K. Au ni Utalii wa Bluu?
Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12 Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa)
View attachment 2117285View attachment 2117286
Asilimia 95 ya wanaJf, wakati wa utawala wa awamu ya Pili walikuwa elimu ya msingi au hawajazaliwa hawakuona madhara ya utawala ule,Salaam Wakuu,
Nadhani Walinzi walitakiwa Kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania sio Zanzibar kwani, hii ni Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakuambatana na Mwinyi ndo wavae hizi Bara K. Au ni Utalii wa Bluu?
Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12 Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa)
View attachment 2117285View attachment 2117286
Limekuwa Taifa la wajinga hili sasa. Level ya kujadili Barakoa ni dalili ya kuishiwa hojaKukosa Washauri...,
Kuna mambo usipoyafanya hupungukiwi lolote na huenda kuyafanya kwako huvunji sheria ila yanapelekea maneno ambayo yanakutoa kwenye reli au kuongeza shutuma siziso na Afya kwa Taifa
Wacha mama atangaze nchi yake bhana!Salaam Wakuu,
Nadhani Walinzi walitakiwa Kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania sio Zanzibar kwani, hii ni Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakuambatana na Mwinyi ndo wavae hizi Bara K. Au ni Utalii wa Bluu?
Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12 Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa)
View attachment 2117285View attachment 2117286
Hili ni swala la muda tu, kabla hamjaanza kulia tena.Tunawaburuza machogo mpaka muidai tanganyika yenu
Kumbe walikatazwa wasivae za Serengeti na Mangorosi wakalazimishwa kuvaa za Zanzibar tu.Kwa nini isiwe Serengeti au Makongorosi iwe Zanzibar?...au hizo sehemu si sehemu ya Zanzibar?
Ivi ile Tai, hakuna nguvu za Giza kwy Tai. Wengineo wanasema ile ni ............bora hivo, Mwigulu li tai lake ni bendera nzima ya Tanzania,ingekosekana ya Zanzibar
Huyu ndiye mmojawapo wa walimu wangu muhimu hapa JF. Ingawa mimi mwanafunzi wake nimekuwa mkorofi wakati fulani.Hapana, Tume ya Jaji Nyalali na Tume ya Mzee Warioba zimeeleza umuhimu wa uwepo wa Tanganyika. Umuhimu huo unaonekana zaidi zama hizi kwasababu Zanzibar imekuzwa kuliko Tanzania. JMT inatumiwa vibaya kwasababu hakuna msimamizi wa masilahi ya Tanganyika. Mfano, inawezekanaje pesa ikopwe na JMT igawanywe Zanzibar lakini deni alipe Mtanganyika?
Ikiwa sivyo mbona hatuoni formula ya kugawana madeni tunaona ya misaada na mikopo?
Huyu JMT ni nani na anachangiwaje wakati anaenda kukopa?
Unaposema kuwa ripoti za tume ya Warioba na Nyalali siyo misahafu unakosea Sana katika kipindi hiki ambacho Wananchi wengi wamepata japo elimu ndogo tofauti Sana na enzi ya Nyerere.Hakuna kilichotokea. Hizi ni hoja zinazoibuka kwa wivu tu wa kuona rais SSH ni mzanzibari. Tume za Warioba na Nyalali kupendekeza kuwepo Tanganyika haina maana ndio maneno ya msahafu kwamba hayawezi kupingwa.
Tatizo la kuiona Zanzibar kama vile kupe linatokana na udhaifu wao wenyewe. Kuna nchi ndogo kama Mauritius zinajitegemea kwa utalii tu.
Zanzibar inaweza kujitegemea kwa utalii tu. Na wameanza kujitegemea wakitumia rasilimali walizonazo.
Hivi vilio vya bara inaonewa ni vya kisiasa zaidi, havina mashiko kwani husikika wakati kiongozi mkuu anapokuwa anatoka Kizimkazi Unguja , akiwa ni mwenyeji wa Chato au Chalinze huwezi kusikia habari za bara kuonewa.
Tuwe wavumilivu tu, kazi ikiwa inaendelea.