Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Swedi kichaa Yule kachafukwa rohoYaaah hazitakiwi kuvaliwa kabisa, nakumbuka advance pale Same Kuna watu waliadhibiwa Kwa kuvaa rozali na walimu wakristo wote waligwaya kuwaadhibu wale wanafunzi ndo akaja mwalimu mwislamu alikuwa anaitwa (sw*di) akawatandika
Waliosoma same mwaka ule wanakumbuka na waliokuwepo assemble
Sasa na huyu unaambiwa ndiye msomi wa juu wa elimu dunia kwenye hiyo dini,jiulize kama huyu anakuwa na akili mgando kiasi hiki wale darasa la saba au form four failure watakuwaje?Eti baada wa kutimuliwa na waislam Africa,..! poor mind.
Huo ndiyo ujinga uliojazwa nao, sikushangai.Hao nao hawana tofauti na wale mnaowa-brain wash kwenye nyumba zenu za kuabudu mkiwaaminisha wakauwe watu wa dini tofauti na ya kwenu mkiwadanganya kwamba wakifika kwa alaah watapewa bikra 70+ na pombe!
Toka jana tupo humu unapambana kueneza dini yako kwa kubadilisha content ya nyuzi.
Mkiandika kwa kuenzea chuki za kijinga, muandike na sababu zilizopelkea shule hizo kufungwa.Afghanistan wanawake hawasomi sekondari hivyo wanaishia kuzivaa shule ya msingi tu
Tatizo lako wewe bibi unatumia hisia na siyo akili,Mkiandika kwa kuenzea chuki za kijinga, muandike na sababu zilizopelkea shule hizo kufungwa.
Taliban walitangaza wazi wakisema shule za wanawake hazikuwa na "facilities" za wanawake, mpaka zitapofanyiwa mabadiliko zitafunguliwa tena. Na wameanza kuzifunguwa kidogo kidogo siku nyingi:
Some girls' high schools in eastern Afghanistan open - local officials
Reuters
September 6, 20227:34 PM GMT+3Updated a year ago
Female primary school students leave school after a class in Kabul, Afghanistan, October 25, 2021. The hardline Islamist Taliban movement, which stormed to power earlier this year after ousting the Western-backed government, has allowed all boys and younger girls back to class, but has not let girls attend secondary school. REUTERS/Zohra Acquire Licensing Rights Read more
Wagalatia mna shida sana mbona masister wa RC wanajifunika vichwa vyao kama alivyokuwa anajifunika mama yake YesuHuku bongo vitoto vimefunika vichwa vyao kama bata mzinga.
Baadaye wakimaliza shule wanakuwa wacheza vigodoro
Wanajifunika wapi?Wagalatia mna shida sana mbona masister wa RC wanajifunika vichwa vyao kama alivyokuwa anajifunika mama yake Yesu
Unaita chuki za kijinga na hapohapo unadai kulikuwa na sababu za shule hizo kufungwa.Mkiandika kwa kuenzea chuki za kijinga, muandike na sababu zilizopelkea shule hizo kufungwa.
Taliban walitangaza wazi wakisema shule za wanawake hazikuwa na "facilities" za wanawake, mpaka zitapofanyiwa mabadiliko zitafunguliwa tena. Na wameanza kuzifunguwa kidogo kidogo siku nyingi:
Some girls' high schools in eastern Afghanistan open - local officials
Reuters
September 6, 20227:34 PM GMT+3Updated a year ago
Female primary school students leave school after a class in Kabul, Afghanistan, October 25, 2021. The hardline Islamist Taliban movement, which stormed to power earlier this year after ousting the Western-backed government, has allowed all boys and younger girls back to class, but has not let girls attend secondary school. REUTERS/Zohra Acquire Licensing Rights Read more
Mwenye picha ya muislamu kavaa abaya atupieπππ
Wewe yako ya hapa Tanzania yanakushinda unataka ya Afghanistan utayaweza? Kashindwa USA na NATO yake, itakuwa wewe?Unaita chuki za kijinga na hapohapo unadai kulikuwa na sababu za shule hizo kufungwa.
Na katazo la kuzuia madaktari wa kiume kutibu wanawake, wakati huo kuna vikwazo vya wanawake kwenda vyuo nalo unatolea utetezi gani. Wakati almost β ya madaktari na wanafunzi wa udaktari wamekimbia nchi tangu Taliban iingie madarakani, yenyewe iko busy kulazimisha wanawake watibiwe na wanawake wakati idadi ya madaktari wa kike ni ndogo.
Utumbo mtupu uliouandika.Jambo jema kabisa,hata huu upuuzi wa kuvalisha wanafunzi hijabu huku tz ufutwe. Unatengeneza ubaguzi wa kidini.
hawawezi hata kidogo.Wana abaya waanzishe shule zao! Wamezidi!
kuvaa hivi sio kitu kizuri. ila nakuhakikishia, enzi za ujana wangu, wananwake wavaa ushungi tena tinted kabisa niliotembea nao ni kibao, wengine niliwatoa bikra kabisa ial akiinama chumamboga unaona hole kwenye toilet. kuvaa manguo hayo haimaanishi ninyi ni watakatifu, utakatifu upo moyoni na katika kila dini kuna waovu na wasafi hata kama wanavaa nguo za staha. hata masista wapo kibao tu wanapelekewa moto pamoja na kushinda na manguo na vilemba, sembuse hawa kina bihawa wanaovaa kininja ukiwaongelesha wananengua sauti? sisimuliwi, hata wewe faiza tungekutana ningekufukunyua pamoja na ushungi wako enzi hizo. hamna lolote nyie hata yule dada wa zanzibar mliyemkamata kwa kuwaambia ukweli kwamba nyote mnadanga pamoja mlimuonea tu.Hatuna kabisa, wenye haya ni wale wanaotembea nusu uchi, au siyo?
MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI
Mchungaji mmoja nchini Kenya amewaambia wanawake waumini wa kanisa lake waache kuvaa nguo za ndani wanapohudhuria ibada ili "mungu aweze kuwaingia vema na kwa urahisi"
Mchungaji huyo anaejulikana kwa jina Njohi wa kanisa la Lord's Propeller Redemption Church la Nairobi amesema hayo kwa wanawake wa kanisa hilo huku akiongezea kuwa kuingia kanisani bila nguo ya ndani kunasaidia mtu kuwa huru kimwili na kiroho ili kumpokea vema kristu kwa mujibu wa "Kenyan Dialy Post"
Pia amewaonya kuwa wafuate maagizo hayo kuepuka madhara watakayoyapata kama hawatafuata maagizo hayo.Lakini inaaminika kuwa maagizo hayo hawajapewa wanaume wa kanisa hilo.
Wanawake wa kanisa hilo wameanza kufuata maagizo hayo ya kuhudhuria ibada bila nguo za ndani na mchungaji amewambia wanawake hao kuwafuatilia mabinti zao kama nao wanafuatilia agizo hilo.
Kanisa hili liko eneo la Dandora mashariki mwa jiji la Nairobi.
Chanzo: MCHUNGAJI:WANAWAKE MARUFUKU KUVAA CHUP* KANISANI
ukiwauliza hao walioshika bango kwamba waislam wananyanyaswa, kwamba mnanyanyaswa nini, utakuta hana hata jibu. kanisa katoliki limejikalia zake paleee, lina shule zake, hospitali zake, ninyi ndio mlalifuata kwa kupeleka watoto wenu kwenye shule zao na hospitali zao, si mjenge zenu?
Hata wale wa kanisani wanavaa ushungi.kuvaa hivi sio kitu kizuri. ila nakuhakikishia, enzi za ujana wangu, wananwake wavaa ushungi tena tinted kabisa niliotembea nao ni kibao, wengine niliwatoa bikra kabisa ial akiinama chumamboga unaona hole kwenye toilet. kuvaa manguo hayo haimaanishi ninyi ni watakatifu, utakatifu upo moyoni na katika kila dini kuna waovu na wasafi hata kama wanavaa nguo za staha. hata masista wapo kibao tu wanapelekewa moto pamoja na kushinda na manguo na vilemba, sembuse hawa kina bihawa wanaovaa kininja ukiwaongelesha wananengua sauti? sisimuliwi, hata wewe faiza tungekutana ningekufukunyua pamoja na ushungi wako enzi hizo. hamna lolote nyie hata yule dada wa zanzibar mliyemkamata kwa kuwaambia ukweli kwamba nyote mnadanga pamoja mlimuonea tu.