Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
2,319
Reaction score
3,128
Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme.

Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani muda mfupi tu baada ya tangazo. Inaonekana watu wanapangiwa faida za kibiashara hata kabla bajeti haijasomwa.

Leo hii ni miezi mitatu tu tangu mwaka wa fedha uanze, magari ya umeme yakiwa yameondolewa kodi. Mara moja dealer kishafungua ofisi ya kuuza magari ya umeme ya kichina hapa Dar, BYD! Inaonesha wakati bajeti inapangwa watu wanajiandaa kufungua ofisi.

Ina maana serikali inaanzisha mambo kwa faida ya watu fulani. Sitashangaa kusikia dealer ni fisadi mzoefu anayefahamika.
 
Leo hii ni miezi mitatu tu tangu mwaka wa fedha uanze, magari ya umeme yakiwa yameondolewa kodi. Mara moja dealer kishafungua ofisi ya kuuza magari ya umeme ya kichina hapa Dar, BYD! Inaonesha wakati bajeti inapangwa watu wanajiandaa kufungua ofisi. Ina maana serikali inaanzisha mambo kwa faida ya watu fulani. Sitashangaa kusikia de
Wakati waziri anasoma bajeti, ndo niliona hii ni nchi isiyo na maono. Yaani ni nchi ya kodi tuuuuu!
Unawezaje kupanga kupunguza kodi ya magari ya umeme, wakati huna kiwanda chochote cha magari ya umeme? Unarahisisha biashara ya nani?

Hii nchi inatia kichefuchefu tu! Halafu kuna limtu wizarani limepewa PhD. Watu wenye PhD ndo walivyo hivyo kweli? Waafrika tuna kasoro za maumbile. sorry!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ni vile hajui strategies za BYD, yeye anafikiri Tanzania pekee ndipo wamefungua dealership.

Nchi za jirani ambazo BYD walitangulia kufungua dealerships ni pamoja na Kenya, Rwanda, Zambia, Zimbabwe n.k huko S.A ndio usiseme.
Kuna watanzania uwa wanaonaga hako kanchi chetu ni special flan,unakuta kuna vitu vinafanyika nchi zingine halafu vikifika TZ,unakuta mtu bila kufanya research anakuja kulalamika!
 
Wakati waziri anasoma bajeti, ndo niliona hii ni nchi isiyo na maono. Yaani ni nchi ya kodi tuuuuu!
Unawezaje kupanga kupunguza kodi ya magari ya umeme, wakati huna kiwanda chochote cha magari ya umeme? Unarahisisha biashara ya nani?

Hii nchi inatia kichefuchefu tu! Halafu kuna limtu wizarani limepewa PhD. Watu wenye PhD ndo walivyo hivyo kweli? Waafrika tuna kasoro za maumbile. sorry!
Elimu ya vyeti na akili ni vitu viwili tofauti.
Inakuwa bora zaidi kama vyote vinaenda sambamba (akili, elimu na vyeti).
 
Wakati waziri anasoma bajeti, ndo niliona hii ni nchi isiyo na maono. Yaani ni nchi ya kodi tuuuuu!
Unawezaje kupanga kupunguza kodi ya magari ya umeme, wakati huna kiwanda chochote cha magari ya umeme? Unarahisisha biashara ya nani?

Hii nchi inatia kichefuchefu tu! Halafu kuna limtu wizarani limepewa PhD. Watu wenye PhD ndo walivyo hivyo kweli? Waafrika tuna kasoro za maumbile. sorry!
Mkuu naona umeamua kubagaza watu bila sababu.

Nina imani mtu anayetunga sera haamgalii 'engo' moja kama wewe uliyoangalia na mathalani uchumi ni muunganiko wa variables mbalimbali.

Kwa kuwa na magari ya mafuta - unaweza kufikiri kuwa fedha za kigeni zinatumika sana kuagiza mafuta (maana yake unabaki na one time costs zinazohitaji fedha za kigeni za kununu gari tu) na kwa kuzingatia kuwa soko la mafuta siyo predictable linaweza kuongeza inflation nchini (kama watu wengi watatumia magari ya umeme na pengine gesi unapunguza 'mzigo' wa kumunua mafuta. Hii ni plus in the long run.

Kumbuka bidhaa ya mafuta ndiyo inaongoza kwenye importation.

Hapa unaweza kutengeneza demand ya umeme - kwa kuwa inasemekana tuna supply kubwa kwa sasa. Lakini pia demand ya gesi (tumeona vituo vya gesi viankngezeka DSM lakini pia wasafirishaji wengi (bolt, bajaji) sasa wanatumia gesi

'Engo nyingine' - ni kwenye uchafuzi wa mazingira.. ni dhahiri emission ya magari ya umeme N ayale ya gesi ni ndogo sana kuliko mafuta..

Kwa hiyo uchumi ni ngumu sana kuungalia kwa engo moja na ukafanikiwa. Kwa namna ulivyowaatack walikokaa nao wanakushangaa sana na pengine wanaona wewe ndio una shida na ninmweupe sana kwenye uchumi.
 
I

Tatizo la thread ni kwa nini usamehe kodi mwezi July, mwezi oktoba tayari kuna mtu kishakuwa dealer wa BYD! Kulikuwa na njama wizarani. BYD hakuna mkataba wa biashara unaoweza kuanza kama mwanariadha aliyekuwa kwenye mstari wa mbio. Hawa ni mafisadi wa nchi yetu.

Ulipotaja uchafuzi wa mazingira, imenibidi nirudi ukumbi huu kuanzia hapo.

Hii ni nchi maskini ambayo haitakiwi kabisa kuzungumzia uchafuzi wa mazingira. Magari yanachafua vipi mazingira? Ni kupitia hewa ya carbon. Hilo ni sula la mkataba wa dunia na kwa nchi kama TZS kujidai kujali uchafuzi ni kuhalilisaha ufisadi tu. Kwa upande huo, tatizo letu ni misitu na siyo mafuta ya magari.

Suala la kiuchumi ni n¨gumu kulitetea maana asilimia zaidi ya 90 ya magari tunayonunua wa-TZ yametumika. Leo hii unapoleta magari ya umeme kuna nafuu gani? Bei ya gari la umeme ni kubwa kwa dola 5,000 - 15,000 ukilinganisha na gari jipya la mafuta. Ukilinganisha na gari used tunalonunua nje ni dola 10,000 - 30,000! Hizo ni pesa za kigeni ambazo zitatoka TZ kwenda nje.

Hakuna nafuu!
 
Wabongo kila kitu wanaona wanaibiwa
Wanadhani BYD anahitaji mawinga kama Kariakoo 😂
Halafu mtu mwenyewe pesa ya chips kavu tu hana utasikia tunaibiwa.....uibiwe una nini? kodi ikiwekwa matusi, kodi ikiondolewa matusi.. kwani hao BYD ukiweka kodi wao ndio wanalipa au mnunuzi. Tusiwe tunakurupuka kila kitu kibaya. Hapo Kenya tu kufunga umeme wa jua ni rahisi kuliko hapa, kwanini? kodi. vifaa vya solar kodi ingeondolewa ili watu watumie vifaa vya solar kwa wingi na ita save a lot kwa serikali.
 
Mkuu naona umeamua kubagaza watu bila sababu.

Nina imani mtu anayetunga sera haamgalii 'engo' moja kama wewe uliyoangalia na mathalani uchumi ni muunganiko wa variables mbalimbali.

Kwa kuwa na magari ya mafuta - unaweza kufikiri kuwa fedha za kigeni zinatumika sana kuagiza mafuta (maana yake unabaki na one time costs zinazohitaji fedha za kigeni za kununu gari tu) na kwa kuzingatia kuwa soko la mafuta siyo predictable linaweza kuongeza inflation nchini (kama watu wengi watatumia magari ya umeme na pengine gesi unapunguza 'mzigo' wa kumunua mafuta. Hii ni plus in the long run.

Kumbuka bidhaa ya mafuta ndiyo inaongoza kwenye importation.

Hapa unaweza kutengeneza demand ya umeme - kwa kuwa inasemekana tuna supply kubwa kwa sasa. Lakini pia demand ya gesi (tumeona vituo vya gesi viankngezeka DSM lakini pia wasafirishaji wengi (bolt, bajaji) sasa wanatumia gesi

'Engo nyingine' - ni kwenye uchafuzi wa mazingira.. ni dhahiri emission ya magari ya umeme N ayale ya gesi ni ndogo sana kuliko mafuta..

Kwa hiyo uchumi ni ngumu sana kuungalia kwa engo moja na ukafanikiwa. Kwa namna ulivyowaatack walikokaa nao wanakushangaa sana na pengine wanaona wewe ndio una shida na ninmweupe sana kwenye uchumi.
Bado kuna watu munaamini hadithi za mazingira eti? kwa kuwa munangalia TV baadaye munaona ndo munavyotakiwa kuishi! Acheni hizo hadithi za kitoto. Hizi ni nchi za upigaji tu! Ndo maana unaona wakulima wa alizeti wa Singida hawana soko la alizeti, lakini serikali, waziri huyo huyo anayetoka Singida, anaruhusu mafuta kutoka nje yaingie bila ushuru. Rubbish creature!

Mtu anaona sifa eti gari ya umeme, gesi, vituo bhla bhla! Bado hata gari ya dizeli hatuimudu, unawezaje kuleta hadithi za gari ya umeme? Unajipanga kusamehe kodi ili biashara ya fisadi fulani ipate soko. Halafu mtu unakuja hapa unaanza kusema Kenya bhla bhla! Iweje sasa? Sisi na ulaya tuna gap ya zaidi ya miaka 200, lakini bado gari za umeme hazijashika kasi. Bado zinaangaliwa kwa mashaka.

Tuwe na tahadhari. gari siyo simu ya mkononi.
 
I

Tatizo la thread ni kwa nini usamehe kodi mwezi July, mwezi oktoba tayari kuna mtu kishakuwa dealer wa BYD! Kulikuwa na njama wizarani. BYD hakuna mkataba wa biashara unaoweza kuanza kama mwanariadha aliyekuwa kwenye mstari wa mbio. Hawa ni mafisadi wa nchi yetu.

Ulipotaja uchafuzi wa mazingira, imenibidi nirudi ukumbi huu kuanzia hapo.

Hii ni nchi maskini ambayo haitakiwi kabisa kuzungumzia uchafuzi wa mazingira. Magari yanachafua vipi mazingira? Ni kupitia hewa ya carbon. Hilo ni sula la mkataba wa dunia na kwa nchi kama TZS kujidai kujali uchafuzi ni kuhalilisaha ufisadi tu. Kwa upande huo, tatizo letu ni misitu na siyo mafuta ya magari.

Suala la kiuchumi ni n¨gumu kulitetea maana asilimia zaidi ya 90 ya magari tunayonunua wa-TZ yametumika. Leo hii unapoleta magari ya umeme kuna nafuu gani? Bei ya gari la umeme ni kubwa kwa dola 5,000 - 15,000 ukilinganisha na gari jipya la mafuta. Ukilinganisha na gari used tunalonunua nje ni dola 10,000 - 30,000! Hizo ni pesa za kigeni ambazo zitatoka TZ kwenda nje.

Hakuna nafuu!
Hapa jukwaani unajifunza kuna watu bado mitazamo yetu iko nyuma sana;

Kmagine wewe ndiyo uwe kiongozi ama mtunga sera? Utakuwa mjuaji sana. Nchi ilivyoanza kuhimiza magari ya gesi zilionekana kama ngonjera. Leo Bajaji nyingi DSM zimatumia gesi, Bolt zinatumia gesi, na wanasema ni cost effective kuliko mafuta.

Imagine magari yote ya Dangote yanatumia gesi yakiwa kwenye route ya Mtwara to Dar na wana kotuo chao specific...

Usipojadili hoja hii ki -uchumi kwa kuangalia Forex kias gani tunaloose kwa kununua mafuta kila mwezi utakuwa umeamua kutoadili hoja... usipoangalia inflation pia itakuwa umeamua kuwa mjuaji.

Umeongelea gharama za kuagiza ni kubwa lakini hujaongelea gharama za ku operate kwa kutumia mafuta VS gesi au umeme. btw tusonge mkuu kila mtu ana mtazamo wake.
 
Bado kuna watu munaamini hadithi za mazingira eti? kwa kuwa munangalia TV baadaye munaona ndo munavyotakiwa kuishi! Acheni hizo hadithi za kitoto. Hizi ni nchi za upigaji tu! Ndo maana unaona wakulima wa alizeti wa Singida hawana soko la alizeti, lakini serikali, waziri huyo huyo anayetoka Singida, anaruhusu mafuta kutoka nje yaingie bila ushuru. Rubbish creature!

Mtu anaona sifa eti gari ya umeme, gesi, vituo bhla bhla! Bado hata gari ya dizeli hatuimudu, unawezaje kuleta hadithi za gari ya umeme? Unajipanga kusamehe kodi ili biashara ya fisadi fulani ipate soko. Halafu mtu unakuja hapa unaanza kusema Kenya bhla bhla! Iweje sasa? Sisi na ulaya tuna gap ya zaidi ya miaka 200, lakini bado gari za umeme hazijashika kasi. Bado zinaangaliwa kwa mashaka.

Tuwe na tahadhari. gari siyo simu ya mkononi.
Watu wanaadapt na sasa wemgi tu wanaconvert magari yao kwenda kwenye gas, na magari ya umeme yameanza kuingia.

Wewe endelea kutazama kila jicho kwa ufisadi; dunia itasonga mbele utajikuta umeachwa pekee.
 
Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme.

Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani muda mfupi tu baada ya tangazo. Inaonekana watu wanapangiwa faida za kibiashara hata kabla bajeti haijasomwa.

Leo hii ni miezi mitatu tu tangu mwaka wa fedha uanze, magari ya umeme yakiwa yameondolewa kodi. Mara moja dealer kishafungua ofisi ya kuuza magari ya umeme ya kichina hapa Dar, BYD! Inaonesha wakati bajeti inapangwa watu wanajiandaa kufungua ofisi.

Ina maana serikali inaanzisha mambo kwa faida ya watu fulani. Sitashangaa kusikia dealer ni fisadi mzoefu anayefahamika.
Nakukumbusha tu, Bongo kuna wajanja na baadhi yao wapo kwenye mfumo.
 
Hii nchi ishakamatwa na MAFISADI COMPLETE baada ya Samia na genge lake kuichukua ikulu.

Kipindi cha Fisadi Jakaya angalau nchi ilikuwa na wapinzani wa kweli na uchawa hakuwa ktk kiwango cha hivi sasa, hata ufisadi ulifanyika kwa viwango fulani kwa kubalance mambo.

Baada ya ujio wa magufuri nadhani mafisadi wa Jakaya waliusoma mchezo na kuyajua madhaifu yao wakishindwa kumcontrol THE HEAD OF STATE na ndipo walipoamua kuingia mzigoni mazima ili kuondoa ile control ya upinzani wa ndani(rais asiye wa mlengo wao&CCM wasiopenda wizi) na upinzani wa nje(wanasiasa wa upinzani wasionunulika&raia wa kawaida wasiofuata itikadi za kifisadi& Institutes zisizonunulia), yaani mafisadi wakaamua sasa waingie kila mahala na kucontrol kila mirija yote ya kipesa.

Ndiomana kipindi hiki kila wizara imejaa ufisadi wa hatar, wizara zote zimeoza kwasababu huku kote kumejaa wale wale puppets wa MAFISADI walioamua kuicontrol mirija yote ya pesa, Kiufupi kwasasa hakuna nchi, kuna kikundi cha washenzi wachache wanaoitawala Jumuiya ya zaidi ya makundi 120 ya watu ktk hii ardhi ya East Afrika, Jeshi limeoza, polisi kumeoza, Usalama kumeoza, hao watu wa sheria na mahakama ndio TAKATAKA kabisa,
FAILED STATE
 
Ni vile hajui strategies za BYD, yeye anafikiri Tanzania pekee ndipo wamefungua dealership.

Nchi za jirani ambazo BYD walitangulia kufungua dealerships ni pamoja na Kenya, Rwanda, Zambia, Zimbabwe n.k huko S.A ndio usiseme.
Nadhani mkuu hujaelewa mtoa mada kauliza juu ya nini. Nadhani anachojiuliza ni kutolewa kwa ushuru kwenye magari haya.

Hizi nchi umetaja mkuu, upande wao ushuru ukoje kuingiza haya magari?
 
Screenshot_20251015-221730_Chrome.jpg

Kanchi kenu kalichelewa kuadpot EVs, kama kawaida kila siku mko nyuma
 
Back
Top Bottom