Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Tumechelewa kuendana na mabadiliko yanayoendelea duniani halafu mtu anasema ni upigaji, hili taifa lina wajinga wengi sana
Tumechelewa kuendana na mabadiliko yanayoendelea duniani halafu mtu anasema ni upigaji, hili taifa lina wajinga wengi sana
Umesema vyemaTumechelewa kuendana na mabadiliko yanayoendelea duniani halafu mtu anasema ni upigaji, hili taifa lina wajinga wengi sana
Sahihi mkuu, wasichoelewa ni kuwa kwa kuwa sisi tuko ndani ya EAC, negotiations nyingi zina mirror Nchi zote wanachama. Imagine Kenya awe na 0% import duty kwenye EV halafu sisi tuna stay kwa 35% kama nchi tutakuwa tunapata faida gani against Kenya??? Wakati sisi tunakuja kuadopt Kenya anakuwa tayari ashatumia magari, yamezoeleka na pengine ashaatract assembling ya EVs nchini kwake, na kwa kuwa zinazalisshwa ndani ya EAC zikiingia Tanzania zinakuwa na dity ya 0%.
Dah!Bado hata gari ya dizeli hatuimudu, unawezaje kuleta hadithi za gari ya umeme?
IMF imedai serikali imetumia vema fedha katika miradi yake
Elimu ya vyeti na akili ni vitu viwili tofauti.
Inakuwa bora zaidi kama vyote vinaenda sambamba (akili, elimu na vyeti).
Sahihi mkuu, wasichoelewa ni kuwa kwa kuwa sisi tuko ndani ya EAC, negotiations nyingi zina mirror Nchi zote wanachama. Imagine Kenya awe na 0% import duty kwenye EV halafu sisi tuna stay kwa 35% kama nchi tutakuwa tunapata faida gani against Kenya??? Wakati sisi tunakuja kuadopt Kenya anakuwa tayari ashatumia magari, yamezoeleka na pengine ashaatract assembling ya EVs nchini kwake, na kwa kuwa zinazalisshwa ndani ya EAC zikiingia Tanzania zinakuwa na dity ya 0%.
Wabongo baaana;
Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme.
Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani muda mfupi tu baada ya tangazo. Inaonekana watu wanapangiwa faida za kibiashara hata kabla bajeti haijasomwa.
Leo hii ni miezi mitatu tu tangu mwaka wa fedha uanze, magari ya umeme yakiwa yameondolewa kodi. Mara moja dealer kishafungua ofisi ya kuuza magari ya umeme ya kichina hapa Dar, BYD! Inaonesha wakati bajeti inapangwa watu wanajiandaa kufungua ofisi.
Ina maana serikali inaanzisha mambo kwa faida ya watu fulani. Sitashangaa kusikia dealer ni fisadi mzoefu anayefahamika.
Kwani mkataba wa AGOA ni wa nguo za mtumba mkuu?? DaauWewe unajua Mkataba wa AGOA
Rwanda nguo za mitumba wamepiga marufuku kitambo
Tz na KNY na Ug ni wafuqta upepo
Kutumia tu gesi ya Mtwara ktk mqgri imekuwa shida sembuse hayo magari ya kuchaji
Hiyo ni mirqdi ya watu
Wabongo wengi Ngumbaru wanalalamika kila kitu. BYD Hata kama haina Kodi wewe Ngumbaru huiweziWabongo kila kitu wanaona wanaibiwa
Wanadhani BYD anahitaji mawinga kama Kariakoo 😂
"Bajaji nyingi" Nyingi maana yake ni nini?Hapa jukwaani unajifunza kuna watu bado mitazamo yetu iko nyuma sana;
Kmagine wewe ndiyo uwe kiongozi ama mtunga sera? Utakuwa mjuaji sana. Nchi ilivyoanza kuhimiza magari ya gesi zilionekana kama ngonjera. Leo Bajaji nyingi DSM zimatumia gesi, Bolt zinatumia gesi, na wanasema ni cost effective kuliko mafuta.
Imagine magari yote ya Dangote yanatumia gesi yakiwa kwenye route ya Mtwara to Dar na wana kotuo chao specific...
Usipojadili hoja hii ki -uchumi kwa kuangalia Forex kias gani tunaloose kwa kununua mafuta kila mwezi utakuwa umeamua kutoadili hoja... usipoangalia inflation pia itakuwa umeamua kuwa mjuaji.
Umeongelea gharama za kuagiza ni kubwa lakini hujaongelea gharama za ku operate kwa kutumia mafuta VS gesi au umeme. btw tusonge mkuu kila mtu ana mtazamo wake.
Kuna mtu hapa JF anasema Miafrika ndo tulivyo.
Kwa hiyo BYD alipita Afrika, Latin America, Ulaya, Asia na Australia akiwashawishi waondoe kodi? Maana huko kote BYD wanauza EVsKuna mtu hapa JF anasema Miafrika ndo tulivyo.
Kwa hiyo unaona ni jambo la kuwahiana. Yaani wengine walianza zamani kuondoa kodi, eti?
Mtindo huo ndo uliotumika kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula yasiyosafishwa, eti Kenya na Uganda walishaondoa. Kumbe mwenye biashara aliwafuata mmoja mmoja.
Spika naye akaongeza mishahara ya wabunge kwa kisingizio kwamba wenzetu nchi jilani wana mishahara mikubwa. Rubbish!
Usiendesha nchi kwa kuiga wakati unajua walioko Ikulu wanatofautiana maono na ubora.
Huwa sipendi sana watu wanao- argu bila kuzingatia context. Inafanya kukosa mantiki. Hili sio professional group kwamba kila kitu kitakuja na actual data.. lakini kwa context public transport dunian ina run cost effectively kwa kutumia nishati mbadala tofauti na mafuta. Na tumeona Tanzania Bajaji na Bolt nyingi zinatumia gesi na hii utaona kwenye ongezeko la vituo vya gesi DSM."Bajaji nyingi" Nyingi maana yake ni nini?
Hizo ni lugha za kizembe tu! Yaani bajaji unazitolea mfano, halafu hujui ni ngapi, wewe umeona ni nyingi. Nyingi!
Nakurudisha kwenye gari ya umeme. NIi gharama kubwa kwa nchi kuliko kuendesha gari ya mafuta. Hii ni nchi ambao hata waya wa umeme unaagizwa nje. Usiangalie hadithi za gharama za kuagiza mafuta. Kwani zinaibiwa ngapi kutoka hazina? Kwani hao wajali kiasi hicho?
Tatizo la Tanzania wenye maamuzi wengi wanawaza ufisadi tu, ndo maana mafisadi yanapewa viti vya mbele kwenye mifumo ya utawala. Tanzania misamaha ya kodi haileti unafuu wowote kwa wananchi wa kawaida. Niambie ni kitu gani nchi hii kimesamehewa kodi wananchi wana-enjoy unafuu wake. Bidhaa zinazotozwa kodi na zile zisizotozwa kodi kwa nchi yetu vyote viko sawa, wanaonufaika na misamaha ya kodi ni mafisadi lakini sio wananchi.Halafu mtu mwenyewe pesa ya chips kavu tu hana utasikia tunaibiwa.....uibiwe una nini? kodi ikiwekwa matusi, kodi ikiondolewa matusi.. kwani hao BYD ukiweka kodi wao ndio wanalipa au mnunuzi. Tusiwe tunakurupuka kila kitu kibaya. Hapo Kenya tu kufunga umeme wa jua ni rahisi kuliko hapa, kwanini? kodi. vifaa vya solar kodi ingeondolewa ili watu watumie vifaa vya solar kwa wingi na ita save a lot kwa serikali.