Unalolisema ni kweli kabisa lakini shida inakuja hao Serekali wana tambua ufugaji ni nini? kuna saa tunapata shida mpaka unafika mahala huamini unachokutana nacho pindi unakwenda kwenye hizo ofisi husika kwaajili ya kuomba msaada wa kitaalamu kwaajili ya kupata msaada wa kinacho kukabili.Nikisoma Uzi kama huu nashangaa sana kwamba wizara ya kilimo na taasisi zinazohusika na mambo haya ya mifugo wanafanya Nini? Kwa Nini pasiwepo mkakati WA makusudi kuboresha mbegu za kienyeji ili kuongeza tija?
Tunaupokea ushauri wako na tunaufanyia kazi Ubarikiwe.Hongereni wakuu kwa kufuga,ukiachana na uzoefu, ushauri wangu kwenu ni kuwatumia wataamu wa mifugo (vets) kama sehemu ya input ktk biashara zenu
Habari kaka, Nimependezwa sana na ujumbe wako ila ningependa sana kupata mawasiliano yako. Natamani kujifunza sana kutoka kwakoNawasalimuni kwa jina la Mungu. naomba niwapongezeni sana nyote ktk kujenga mawazo ya kutaka kuingia ktk miradi kama hii ya ufugaji. Mimi ni mfugaji wa Mbuzi na nina fuga Mbuzi kwa muda mrefu, niwaombeni kitu ufugaji ni mzuri na una faida na changamoto zake, kikubwa ni kukubali kujifunza na kujijengea umakini ktk ukaguzi na usimamizi wa mifugo yako. Kwa aliyepo Dar namkaribisha kwangu aje tujifunze pamoja na tugawene ujuzi kwa pamoja. Kwa anae anaza kufuga nakuomba sana usinunuwe mbegu kwanza kabla hujapita kwetu wafugaji tulio kutangulia ujifunze vitu halafu ndio uingize Mbegu shambani kwako. Karibuni kwa maswali mbali mba;li nipo hapa tutasaidiana kwa kadiri Mungu atakavyo tujaalia.
nyumbani ni wapi?Karibu sana napatikna jumapili Nyumbani.
Karibu sana Kibamba Dar.nyumbani ni wapi?
Samahani kulitatua hilo ningalikushauri umshirikishe vet aweze kumkagua vyema maana naona inawezekana ikawa shida inayohitaji uchunguzi wa kina na kitaalamu zaidi.Mbuzi wangu ana miezi 10 tangu azae uzao wake wa mwisho,.. Ajabu ni kwamba ana mimba kubwa na ni wiki ya 3 sasa anaonyesha dalili za kuzaa lkn hazai na dalili zinapotea na kuanza tena,.. Nini kifanyike
Naam,..ukimsikiliza huyu mfugaji wa mbuzi na wewe utatamani kufuga.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rFSqNDDfQbY
cc MUBENDE, Malila
Isiolo anakuuzia kwa bei gani?Naam,
Hili game nililifanya Mkuranga hadi raha, wizi ulinifanya nibadili gear angani, kuna ndugu mmoja amenitafutia mbegu bora kabisa ya mbuzi inaitwa Isiolo, nimeshapata shamba salama la kufugia. Mbuzi watamu sana kuwafuga kibiashara, kila mara wateja wako hewani. Kipindi cha uchaguzi mbuzi nilikuwa napiga hadi laki na nusu pale Mkuranga, looh
Naomba kujua wewe unanunua kiasi gani Hao mbuxi ? Ikiwa unauza laki na nusuIsiolo anakuuzia kwa bei gani?
Ataniuzia dume la mbegu kwa Tsh 300,000/Isiolo anakuuzia kwa bei gani?
Nikweli hiyo ndio bei yake na wanapanda mpaka laki 5 kwa Dume na jike laki 2.5 unapata jike mkubwa mzuri kabisa.Ataniuzia dume la mbegu kwa Tsh 300,000/
Mungu akubariki sana ktk ufugaji wako, uwe mfano bora kwa wafugaji wachanga.Naam,
Hili game nililifanya Mkuranga hadi raha, wizi ulinifanya nibadili gear angani, kuna ndugu mmoja amenitafutia mbegu bora kabisa ya mbuzi inaitwa Isiolo, nimeshapata shamba salama la kufugia. Mbuzi watamu sana kuwafuga kibiashara, kila mara wateja wako hewani. Kipindi cha uchaguzi mbuzi nilikuwa napiga hadi laki na nusu pale Mkuranga, looh
Monduli Arusha kulikuwa na zoo sijui Bado IPO ila walikuwa na aina 3 ya utalii. Mamba kadhaa,Ngamia wawili (kumpanda na kupigia picha Kwa malipo)Nyoka .Kobe na nyoka sidhani kama utapata watu mkuu.