Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

Hii Mbogo iko mooa gani
 
Pole sana ndugu kwa hii chanagamoto naomba nikushauri kitu, ktk ufugaji wako unapotafuta Mbegu ya mapacha uwe unajuitahidi kutafuta na kuona kabisa Mbuzi mwenye watoto mapacha na kama ikiwezekana akuuzie na watoto wake kabisa itakusaidia kuwa na uhakika ktk hilo hitaji lako. Mimi huwa naitumia hiyo njia ktk kujihakikisha kama namhitaji huyo Mfugo, ila kwangu mimi kipaumbele ni Mbuzi kuzaa sio lazima mapacha ikitokea namshukuru Mungu nasonga, kipaumbele ni kuwa na majike bora yenye kunipatia matokeo bora, Barikiwa sana ktk ufugaji huu.
 
Mavunofarm, Mbogo ranches, Asas, hao ndio waletaji wakubwa wa Mbegu hizo toka south africa, Bei ya chini ni 2.5milion. chini ya hapo atakuwa F1.
Bei iliyochangamka
Hapo ni pair ama
Cross breed nao vipi
 
Bei iliyochangamka
Hapo ni pair ama
Cross breed nao vipi
Cross wanauzwa na Mbogo mara ya mwisho aliweka lak 3.5 kama sijakosea mkuu, ila ukiingia kwenye page yao wameweka na bei kabisa hao ni F1 na wameweka ni cross ya Mbuzi yupi na yupi ili kukusaidia kufanya maamuzi ya kipi kina kufaa.
 
Cross wanauzwa na Mbogo mara ya mwisho aliweka lak 3.5 kama sijakosea mkuu, ila ukiingia kwenye page yao wameweka na bei kabisa hao ni F1 na wameweka ni cross ya Mbuzi yupi na yupi ili kukusaidia kufanya maamuzi ya kipi kina kufaa.
Nimeangalia Instagram page yao, hata maswali hawajibu
Ngoja nitafute namba zao
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba niwataarifu kuna mwenzetu mmoja analeta Mbuzi majike ya Mubende kutoka karagwe na jana tumewapokea Mbuzi 100 kwajili ya wafugaji ambao waliagiza. nawakaribisha sana .
 
Hongereni wakuu kwa kufuga,ukiachana na uzoefu, ushauri wangu kwenu ni kuwatumia wataamu wa mifugo (vets) kama sehemu ya input ktk biashara zenu
 
Nikisoma Uzi kama huu nashangaa sana kwamba wizara ya kilimo na taasisi zinazohusika na mambo haya ya mifugo wanafanya Nini? Kwa Nini pasiwepo mkakati WA makusudi kuboresha mbegu za kienyeji ili kuongeza tija?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…